Search results

 1. JohnShaaban

  Uongozi Muhimbili unafisadi wagonjwa NHIF

  Admin naomba msihamishe hii kwa kuwa inahitaji msukumo wa kisiasa. Uongozi wa Muhimbili NH (MNH) umekuja na ufisadi mpya unaosababisha usumbufu mkubwa kwa wagonjwa wa NHIF.
 2. JohnShaaban

  MIFARE contactless smart cards

  Habari wakubwa. Naomba kujua duka/mahali napoweza kupata contactless smart cards za MIFARE. Hizi ni smart cards zinazotumika kwenye access control mbalimbali kama vile digital locks, n.k.
 3. JohnShaaban

  Jinsi ya kuunganisha FM-Radio Towers?

  Habari wakuu. Jamaa yangu ana mpango wa kuanzisha FM radio mjini Dar (tayari ana leseni na frequency). Anatarajia kuunganisha matangazo toka Dar kwenda kwenye vituo vya kurusha matangazo katika miji ya Dodoma, Arusha, Mwanza na Mbeya. Je, kuna teknolojia gani rahisi anayoweza kutumia...
 4. JohnShaaban

  Bagamoyo Airport or Extension of JKN Intl. Airport?

  Bandugu, nimesoma hii habari kwa mshangao mkubwa, pengine ni 'ignorance' yangu kuhusu umuhimu wa viwanja vya ndege. Lakini mshangao wangu ni hapa ambapo tunalipa watu wa Kipawa kupisha upanuzi wa JKN Intl. Airport wakati kumbe maandalizi ya ujenzi wa Bagamoyo Airport yanatafuna pesa!!! Someone...
 5. JohnShaaban

  JK aanza Kufunikwa!

  Nahisi kama mwaka huu utakuwa mbaya kwa JK maana baadhi ya watendaji wake wameanza kumuonyesha jinsi gani anatakiwa kushughulikia issues kama BUZWAGI, BoT na nyingine ambazo zina utata. Una'act' promptly pale unapoona maslahi ya jamii yanachezewa!
Top