Search results

 1. Augustine Moshi

  Maneno Hayavunji Mfupa

  Mtukufu wa awamu ya kwanza alisema hatawavumbia macho wabadhirifu wa mali ya umma na wazembe. Lakini aliwafumbia macho. Sana sana alikuwa anawabadilishia majukumu tu. Mrithi wake akasema angetumia fagio la chuma kukomesha ufisadi. Lakini ufisadi ulishamiri vizuri sana wakati wake. Wa awamu ya...
 2. Augustine Moshi

  Mawazo ya Kukanyagwa

  Wale waliobahatika kusikiliza vipindi vya Mazungumzo Baada ya Habari vya miaka ya sitini hadi themanini watakumbuka Mzee Paul Sozigwa alivyokuwa anaonya vikali tuachane na "Mawazo ya kukanyagwa". Je, ilikuwa kazi bure? Maana haya mawazo ya kukanyagwa yameshamiri sana Tanzania ya leo. Nitoe...
 3. Augustine Moshi

  Ucheleweshwaji wa Maendeleo

  1. Umilikishaji wa viwanja: Hili linazungumziwa na Waziri Lukuvi lakini matendo yanakwamishwa na watendaji. Yako maelfu ya viwanja Dar ni miji mingine ambayo yangemilikishwa na kulipiwa kodi fedha za miradi mikubwa ya kitaifa zingepatikana. Waziri anaongeza uhimizaji kwa maneno lakini hajaweza...
 4. Augustine Moshi

  Kodi Vurugizi zinapunguza mapato

  Hizi ni kodi ambazo zinavuruga au zinahujumu uchumi. Kwa mtazamo usio wa kina zinaweza kuonekana kama kodi za kuchangia mapato ya serikali lakini ukichunguza vizuri utaona kwamba zinapunguza sana economic activity na mwishowe hupunguza kiasi kitakachokusanywa. Nitoe mfano hai. Nimekwenda sehemu...
 5. Augustine Moshi

  Wizara ya Ardhi Badilikeni

  Wizara ya Ardhi bado kabisa kubadilika. Nilishinda makao makuu ya wizara jana nikilipia kodi ya kiwanja. It was a daunting task. Their operations are primitive to the extreme. Nilikaa kwanza kwenye foleni ya kupewa assessment. This ought to be done online, as is done by the TRA when one...
 6. Augustine Moshi

  Mtazamo Mpya wa Uwekezaji Kwenye Mali Asili

  Afrika imejaliwa mali asili nyingi na uwekezaji kwenye hizo mali umefanyika kwa miaka mingi (kwa nchi nyingi, hii ni angalau miaka 50 baada ya uhuru), lakini umasikini wa kukithiri bado ni tishio kubwa. Uwekezaji Congo na Tanzania ni mfano mzuri. Dhahabu, almasi, tanzanite na madini mengine...
 7. Augustine Moshi

  Tubadilishe gari na sio gia tu

  Kama gari linatembea kwa misukosuko, na una ridhaa ya kubadilisha na kuendelea na safari na gari jipya, kwanini ukatae na uamue kubadilisha gia tu? Watanzania tuko safarini, na gari linalotupeleka tunakotaka kwenda ni serikali. Mara kwa mara gari letu linapata misukosuko ya ufisadi wa ajabu...
 8. Augustine Moshi

  Lazima CCM waondoke, Lazima mabadiliko yaje

  Can you imagine CCM ruling Tanzania for another five years? I get goose bumps when I try to do that. Yaani tuendelee na hali hii kwa miaka mitano zaidi? Yaani hali ya wizi mkubwa wa fedha za umma kila baada ya siku chache, mauaji ya ndugu zetu albino, chuki na hata mauaji ya kidini...
 9. Augustine Moshi

  Vitisho Muflisi Vya Kwenda Mahakamani

  Mheshmiwa sana Dr Slaa alipotoa tamko la kihistoria la "List of Shame" walikurupuka wazee wakatishia kwenda mahakamani. Aliwaambia watangulie lakini waliogopa. Mwaka 2005 wakati wa kampeni za Urais gazeti moja la Uingereza liliandika kwamba kambi ya Kikwete ilipewa dola milioni 20 na Iran...
 10. Augustine Moshi

  Election 2010 Ununuzi wa Hati za Kupiga Kura

  Habari hii hapa chini iko kwenye tolea la sasa la Arusha Times. Inaonekana mafisadi wakiona hawana sapoti mahali wanatumia fedha kuhujumu uchaguzi ujao. Tufanyeje? Voters reported to sell their rights at Tsh 10,000 By Arusha Times Reporter There is a new election-related racket taking place...
 11. Augustine Moshi

  Ni Ajabu Na Kweli

  OPEN FOR BUSINESS: This traffic police office at the Buguruni Police Station compound in Dar es Salaam looks overwhelmed as accident exhibits keep piling up at its doorstep, making operations difficult. Our roving photographer captured the scene earlier this week. Source ippmedia.com We have...
 12. Augustine Moshi

  The Slaa Difference

  We know, with much certainty, what Tanzania would look like under a second Kikwete term. It wouldn’t be just a continuation of what we have now. For what we have now is the best that JK could produce in order to get a second term. If he were to get that second term, then his economic...
 13. Augustine Moshi

  Journalistic Mumble Jumble

  Our journalists, particularly those that work for The Guardian, continue to exhibit signs of very low understanding of facts and figures. Do neither the Reporters nor the Editors know that a thousand billions is a trillion? Do they not know further that the entire national budget of Tanzania is...
 14. Augustine Moshi

  Fake TUC Claim

  Professor Mayunga Nkunya is quoted in today’s papers as stating that it is against the law for anyone to question the validity of other peoples' degrees. I hope that he has been misquoted, for it would indeed be very sad if he were to espouse such a position. It is not illegal to question the...
 15. Augustine Moshi

  Hadhi ya Viongozi na Hadhi ya Tanzania

  Viongozi wetu wanapigania sana kitu wanachoita HADHI yao. Wako wanaokataa kuishi nyumba za serikali na badala yake wanapangisha za milioni hata 10 kwa ajili ya HADHI yao. Magari ya viongozi yananunuliwa ya bei kubwa sana kwa ajli ya HADHI yao. Sasa HADHI ya taifa vipi? Mimi nimejikuta...
 16. Augustine Moshi

  Thought We Had Hit Bottom But We Haven’t

  Words, I now can confirm, do not amount to much. We used to proudly proclaim that we would run while they walked. Words, my friends, words. We then said binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Ndugu zako how when you are regularly giving yourself a per diem of $200 while you attend...
 17. Augustine Moshi

  Ufinyu wa Mambo

  (Angalia picha iliyoambatanishwa. Imetoka kwenye ippmedia.com, ikiambatana na habari kwamba Polisi wamekamata mashua (dhows) 8 zenye magogo mabayo yalikuwa yanapelekwa kusikojulikana) It is pleasing to see that the Marine Police have finally found something they could outrun! You could...
 18. Augustine Moshi

  Regional News

  I haven't seen a picture of Sumbawanga. I haven't been to the place. They need to a have a local newspaper there. I am very thankful that there is Arusha Times. I visit them (at www.arushtimes.co.tz) every weekend. I know all about what is going on in Arusha. You see, you cannot depend on the...
 19. Augustine Moshi

  Class Struggle in Tanzania

  Do we still have class struggle in Tanzania? Did we ever have class struggle in Tanzania, or was it just a case of intellectual theorizing? I recall our beloved Professor Isa Shivji writing a book on Class Struggle in Tanzania. He also wrote a book, or at least an essay, on “The Class...
 20. Augustine Moshi

  Kudorora Kwa Utawala wa Kisheria Tanzania

  Nimetishika sana niliposoma makala hii hapa chini. It looks like law enforcing agencies in Tanzania have become completely lawless. When did we allow ourselves to sink this low? =============================================== Corruption eats 20 pct of govt budget` 2009-03-03 10:37:16...
Top