Search results

 1. dfreym

  Msaada miche ya vitunguu inakauka

  Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu. Msaada please.
 2. dfreym

  Msaada Miche ya vitunguu inakauka

  Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu. Msaada please.
 3. dfreym

  Dagaa wa Chakula cha kuku

  Nataka nianze kufuga kuku wa kisasa tatizo nahofia dagaa na upatikanaji wake kwa anayejua ntawapataje kwa bei nafuu, kwa kanda ya ziwa anielekeze tafadhali..
 4. dfreym

  Wakala wa mbegu kahama

  Nataka nilime vitunguu. Na kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua ili upate mbegu halisi ni vyema ukanunua kwa wakala wa mbegu.sasa nitamjuaje kama huyu ni wakala halisi? Kwa anayemfahamu kwa kahama anisaidie kunielekeza ikiwemo na sehemu au mawasiliano, Nahitaji mbegu za red Bombay...
 5. dfreym

  Ntapata wapi kitabu cha mkimbizi?

  Kama kuna mtu anaweza nielekeza kitabu kama hicho bado kinachapishwa na kuuzwa. Kama ndiyo ntakipata wapi kwa dar.
 6. dfreym

  Anahitajika Fundi Computer- KAHAMA

  kwa wale wenyeji wa mji wa kahama, ni fundi yupi ni mzuri katika maswala ya hardware? laptop yangu haitoi sauti. ila nikiconnect headphone inatoa sauti. au kwa yeyote Mwenye suluhisho la tatizo anaweza toa maoni. Pia betri yake na keyboard naweza pata wapi na kwa shillingi ngapi. BRAND...
 7. dfreym

  The best android voice recorder

  msaada: mwenye kufahamu application nzuri itakayo faa kwenye android. inayorecord sauti vizuri ya mtu anayenipigia. nimejaribu androrec inarekodi sauti kwa mbaali sana. kiasi kwamba najikuta inafanya kazi vizuri pale ninapoweka loud speaker. Ipi ntaipata iliyo bora na inayorekodi clealy mtu...
 8. dfreym

  je simu yangu inahitaji antvirus?

  wadau mi ni mmoja wa internet addicted. mara nyingi sana nimekuwa nikijihami kwa kuinstall strong antivirus. hiyo ni kwenye laptop ila sasa hivi nimenunua ka samsung galaxy . je na kenyewe kanahitaji antvirus? kwani kila siku ni wa kusurf na kudownload kwa simu. natumia android jelly bean.
 9. dfreym

  msaada: simu yangu inagoma kudownload kupitia Google play

  Ni samsung galaxy s advance gt i9070. Inagoma kudownload application yoyote kwenye Google play. Internet iko sawa tu kwani natumia 3g. Na inabrowse vizuri tu. Tatizo lilianza juzi. Kwa kugoma whatsapp nikaiunstall kujaribu kuinstall upya inagoma kuregister namba yangu. Nikajaribu kureset...
 10. dfreym

  msaada: simu yangu inagoma kudownload kupitia Google play

  Aina ya simu ni samsung galaxy s adcanced gt i9070. Tangu juzi imegoma kudownload any application on google play inanambia error 403 Pia imegoma na whatsapp nika reset factory imegoma kuregister whatsapp phone number. Nimejaribu njia nyingine kama kuunistall n a kureinstall inagoma. Help...
 11. dfreym

  Nikita season 03 episode 01 is out

  Samahani kama taarifa imerudiwa. ila napenda kuwataarifu kwa wale tuliokuwa tunaisubiria hii season, jamaa wameanza kuirusha tena. enjoy. for torrent download tembelea hapa Download Nikita S03E01 HDTV x264-LOL[ettv] Torrent - KickassTorrents
 12. dfreym

  Ni software gani hutumika kutengenezea video za music?

  Wakuu naomba kuuliza hawa jamaa wanaotengeneza video za music huwa wanatumia software zipi kwa editing na production? Nawasilisha....
 13. dfreym

  je kusamehe ni lazima kurudiana?

  wadau, habari, kuna maswali kadhaa ambayo ningependa tujadili......... watu hukoseana katika mahusiano, tena inafikia hatua mpaka kuachana (sababu ya makosa hayo). kwa mfano makosa kama kufumania, matusi (kutukanwa/kutukana), kudhalilishwa, kusalitiwa na mengine meengi...... kuna baadhi ya...
 14. dfreym

  Je unafuatilia ama ulifuatilia Tv series gani?

  KUNA TV SERIES KIBAO, ILA MIONGONI MWAO ZILIZO BAMBA NI NIKITA (ikaishia hewani) GAME OF THRONES (ikaishia hewani), KUNA PREASON BREAK, 24 HRS. NAHITAJI KUANZA KUFUATILIA TV SERIES NYINGINE NZURI, JE NI IPI AMBAYO UNAHISI INAWEZA KUWA NA LEVEL HIZO HAPO JUU, AMBAYO UMEWAHI KUIFUATILIA, AU BADO...
 15. dfreym

  Just cry like me.....

  https://fbcdn-sphotos-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash4/318070_360600530676042_145263028_n.jpg
 16. dfreym

  Tuzungumze kuhusu luku./ tanesco

  Wadau najua kuna thread nyingi tofauti tofauti, ila nimeona nifanye kitu hiki kwani mimi ni mmoja wa wahanga wa luku. ninaishi kwenye nyumba ya kupanga, sina vitu vya kiviile vinavyotumia umeme mkubwa, kwani nina subwoofer watt 250. laptop moja, taa mbili energe server (sebuleni na chumbani) na...
 17. dfreym

  Usitukane Wakunga Wakati Uzazi Ungalipo.

  Ukipata fedha usidharau watu ukajiona wewe ni bora kuliko wasiokuwa nazo, Ukipata nafasi ya kusoma na usiwaone wale wasiosoma sio kitu, hata kama ni Wazazi wako, huwezi kujifanya wewe ndo wewe ukawaambia Wazazi wako hawajaenda shule, kumbuka walinyima wewe uende shule, unapata Mshahara...
 18. dfreym

  Hutu tu modem twa airtel zte mf 190 tunachakachulika kweli?

  eti jamani modem za counterblocked hazijapata simple solution za kuchakachua kama zte, na huawei nyingine?
 19. dfreym

  Nitapata wapi adobe after effects 32 bit?

  Ninatumia windows 7 32 bit, nimepata AE cs5.5, tatizo ni 64 bit, kuna mtu anaweza kunisaidia nifanyeje ili iweze kuwa installed katika 32 bit yangu? Kama haiwezekani, ntaipata ya 32 bit? Kama haipo, kuna windows 7 64 bit? Je, nikiipata itaweza kuinstall program zote za kawaida ikiwemo na AE cs...
 20. dfreym

  Nahitaji kuconnect modem yangu via linux

  Wana jamvi naomba msaada wenu, nahitaji kutumia modem yangu ya tigo (zile za zamani) au voda zte k3571 katika kuunganisha internet ili niitumie kwenye linux, nifanyeje, nisaidieni,
Top