Search results

 1. Nyani Ngabu

  Julius Nyerere: Democracy, Zanzibar, and African Unity

  Nyerere akitema madini. Nadhani ilikuwa ni mwaka 1966. Anzia dakika ya nne [4].
 2. Nyani Ngabu

  ‘CHADEMA sio mama yangu’

  Hayo ni maneno ya mbunge wa CHADEMA. Je, hayo ni maandishi ukutani? Naye yupo mbioni kuelekea CCM?
 3. Nyani Ngabu

  1968 Oscar Kambona interview

  Kwa mujibu wa video, mahojiano haya yalifanyika huko nchini Nigeria mnamo mwaka 1968. Mwaka mmoja baada ya Kambona kwenda ukimbizini huko nchini Uingereza.
 4. Nyani Ngabu

  Maoni ya Zitto kuhusu Mashinji kujitoa CHADEMA na kwenda CCM

  Zitto hana tatizo na watu kuhama vyama. Nakubaliana naye kwenye hilo.
 5. Nyani Ngabu

  Rais Magufuli amchenjia Makonda?

  Rais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe. Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo. Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani...
 6. Nyani Ngabu

  Kwanini Serikali haijatoa tamko rasmi mpaka sasa kuhusu Makonda kufungiwa?

  Ni zaidi juma sasa, tokea serikali ya Marekani itoe tamko la kumpiga marufuku ‘Gavana wa jimbo la Dar es Salaam’ pamoja na mkewe, kukanyaga ardhi ya Marekani. Kwenye tamko lake hilo ilitangaza vikwazo vingine vidogo vidogo dhidi ya Tanzania na nchi zinginezo. Mpaka sasa mimi sijasikia tamko...
 7. Nyani Ngabu

  Tokea Magufuli aingie madarakani, hajasafiri kwenda nje ya Afrika

  Imekaribia kufika miaka mitano [5] tokea Rais Magufuli ashike hatamu za uongozi wa serikali ya Tanzania. Tokea aingie madarakani, Rais wetu huyu hajasafiri sana kwenda nje ya Tanzania. Mimi binafsi sina tatizo kubwa sana na yeye kutokusafiri kwenda nje, ingawa naona ni ajabu kiaina. Mwaka wa...
 8. Nyani Ngabu

  Whataboutism

  Whataboutism, or if you like, whataboutery. What is it? It’s a rhetorical device. It’s a form of ‘tu quoque’. ‘You too’. When someone employs it as a tactic, it’s proof positive that they’re on the back foot. Look here, there’s no perfect society anywhere in the world. I have never ever seen...
 9. Nyani Ngabu

  Nini hatma ya Dreamliners?

  Dreamliner ni moja ya aina za ndege zinazotengenezwa na kampuni ya Kimarekani ya Boeing. Rais wetu huyu, tokea aingie madarakani kaweka moja ya vipaumbele vyake kulifufua shirika la ndege la taifa. Ufufuzi huo unaenda sambamba na ununuzi wa ndege, zikiwemo hizo zinazotengenezwa huko Marekani...
 10. Nyani Ngabu

  Kitendo cha kiongozi wa nchi kuzuiliwa kuingia Marekani kina athari gani? Ni adhabu?

  Mapema leo [kwa wengine tayari ishakuwa jana], wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani imetangaza kuwazuia 'Gavana' wa jiji la Dar Es Salaam, Paul Makonda [au ukipenda Daudi Bashite] na mkewe, kwenda nchini humo. Jambo la kwanza lililonijia kichwani ni swali. Je, hii ndo mara ya kwanza kwa...
 11. Nyani Ngabu

  Dar mpaka Moshi: Abiria wapandisha mizuka hatari

  Ina maana usafiri wa hizi treni unabamba sana au ni propaganda tu? Kuna njia moja tu ya kulijua hilo. Itabidi nami nipande moja ya hizi treni kabla mwaka haujaisha. Naona sasa hata ‘Wachaga’ wanamkubali Rais Magufuli 🤣
 12. Nyani Ngabu

  Sorry, But I don’t believe in your GOD

  That’s from Willie D, one third of the seminal rap trio from Houston, Texas, the Geto Boys. He has a very interesting take on the existence of God. He says he is God. There is no some guy in the sky whom a bunch of people worship. Watch the clip for more.
 13. Nyani Ngabu

  Tacit admission?

  Mr. Mbowe’s plea to President Magufuli to have a national reconciliation [not sure even for what exactly] seemed to have come out of left field. That was evidenced by the reaction of people whom one would consider to be allies’ of Mr. Mbowe and his CHADEMA. So if one were to read the tea...
 14. Nyani Ngabu

  Kwa wazazi, hususan wababa na binti zao

  Sina uhakika kama suala hili lilliletwa hapa na kujadiliwa. Suala lenyewe ni lipi? Ni kuhusu bikra ya binti aliyepevuka, ambaye ana umri wa miaka 18. Takriban kama mwezi sasa, mwana Hip-hop wa Marekani ajulikanaye kama T.I. alizua mtafaruku huko Marekani na kwingineko pale aliposema kwamba...
 15. Nyani Ngabu

  Kamala Harris ends 2020 presidential campaign

  She was touted as perhaps the next Obama. She had the looks. She had all the ingredients, so they said, to make it to the White House. But, thanks to Rep. Tulsi Gabbard, today Kamala Harris drops out of the race. Rumor had it she was the Obama's favorite. === Sen. Kamala Harris ended her...
 16. Nyani Ngabu

  Kocha wa Los Angeles Chargers [NFL] asaidia kujenga shule Tanzania

  Leo ni football 🏈 Sunday. American Football, that is. Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa NFL. Najua humu tupo wachache sana. Nadhani hata 10 hatufiki, ambao ni wapenzi kindakindaki wa huu mchezo. King Shaat where ya at? Licha ya hilo, nimeona hili ni jambo zuri la kuwashirikisha. Leo kwenye NFL...
 17. Nyani Ngabu

  Meg Thee Stalion

  Okaaaay, I see you Meg.
 18. Nyani Ngabu

  What is he?

  This guy Palamagamba Kabudi. What is he? An academic? A diplomat? Both? Neither? Something else? You make the call. What I can say is, I never thought he was going to make a good Tanzania’s Foreign Affairs Minister at the time when he was appointed. I still think I was right in thinking that...
 19. Nyani Ngabu

  There are many more roadkills out there

  When driving drivers normally see, among other things, one thing. That one thing is roadkill. Almost always it’s in the middle of the road. Squirrels, possums, deer, etc. You see them dead in the middle of the road. Almost always hit by passing vehicles. In his recent post Mzee Mwanakijiji...
 20. Nyani Ngabu

  Rais Magufuli ahimiza viongozi kuandika vitabu

  Katika uzinduzi wa kitabu cha Rais mstaafu Benjamin Mkapa uliofanyika mapema leo, Rais John Magufuli amewahimiza viongozi wastaafu kuandika vitabu vya maisha yao. Hususan, Rais Magufuli amesema atafurahi kusoma kitabu cha Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa kweli hata mimi nitafurahi sana, mno...
Top