Search results

 1. BabaH

  Nyumba inapangiswa Kijichi Mgeninani

  Hallow ndugu Nyumba inapangiswa ipo kijichi mgeninani Vymba 3 vya kulala kimoja ni master Subule kuubwa kabisa Dinning room Choo na bafu stoo ya jikoni Jiko la nje Maji safi kabisa, na reserve tank ya litta 1000 ukuta na pave safi kabisa kwa mawailiano zaidi piga no 0786777679 Karibuni saana
 2. BabaH

  Namba za simu za wafuatao plz

  naomba nambaza simu ya wafuatao kiongozi wa chadema wilaya ya Temeke meya wa temeke namba ya Nape namba ya katibu mkuu ccm kinana Nitashukuru sana kama nitasaidiwa, asanteni sana
 3. BabaH

  Mh Tibaijuka Mapori haya mpaka lini?

  Mh waziri sisi wakazi wa mwanagati, kitunda Ilalla tumechoka na mateso Tumekuwa kukivamiwa mara kwa mara na majambazi kuibiwa, kuteswa na pengine watu kupoteza maisha, hali hii inasababishwa na mapori mengi yaliyoko maeneno ya mwanagati. Mapori haya ni viwanja vya wafanyakazi wengi wa wizara ya...
 4. BabaH

  Mwenye kujua nini kinaulizwa kwenye usaili wa mchujo na jamaa wa tume ya ajira

  Ndugu zangu, nimesota sana, sasa nimeitwa na jamaa wa ajira kwa ajiri ya usaili wa mchujo mwenye kujua nini haswa huwa wanauliza hawa jamaa tusaidiane jamani ndugu zangu nimekaa benchi sana kwa mda mrefu ndugu zangu Natanguliza shukrani zangu kwa msaada
 5. BabaH

  Doctors tukutana hapa JF kama DonBosco, Starlight haiwezekani

  Hallow Doctors Kwakuwa ulimwengu wa technolojia umekuwa, sio lazima kukutana Don Bosco wala starlight, njooni tupeane updates na kuzungumza yanayotuusu na jinsi ya kuendeleza vikao vyetu mpaka kieleweka hapa JF. kama huna account ya JF tengeneza plz Twende kazi
 6. BabaH

  Election 2010 Mambo Ya Kikwete: Shule ya Shilingi billion 4.3 yajengwa Bagamoyo

  Mr. Prezident ameamua kufanya mambo kwa kujenga shule ya billion nne. .... kule bagamoyo mmesema sana hoo shule za kata, sasa kaja na kali zaidi ya billion nne twende kazi
 7. BabaH

  Majambazi wawashangaa Police kwa kuwaacha wakiendelee kutesa tu

  Jeshi la Police linabidi lipitie ushahidi uliotolewa na mashahidi waliokuwa wakitoa ushahidi wao kuhusu kesi ya Zombe Ebu wanaJF angalie ni kwa jinsi gani police wa tanzania walivyokuwa na mambo yao ya ajabu Hii inatoka kule majira ndugu zangu SHAHIDI wa 25 katika kesi ya mauaji...
 8. BabaH

  Hivi Watanzania tukoje jamani??

  Sisi watanzania tutakuwa na matatizo sana jamani Tuna matatizo kibao yanaendelea nchi mwetu lakini cha ajabu ni kuwa kwanza ni wepesi wa kusahau mambo, ukiuliza hapa mambo ya majina ya wauza unga na majambazi aliyosema President anayo na akaahidi kuwashugulikia, utashangaa, watu wameshasahau...
 9. BabaH

  Hii ndio serikali ya Kikwete na Mafisadi yake

  Haya leo baada ya mauti kumfika muuaji, ukweli unajulikana wazi wazi Jamani, eti serikali ilihadi kutumia pesa za walipa Kodi kumjengea yule mama wa dereva wa aliyeuawa na Ditto! Kweli hii nayo mpya, sio sheria ilitakiwa kuchukua mkondo wake, na Ditto akitoa "vijisenti" kwa kazi hiyo...
 10. BabaH

  Tamko kwa Jakaya Kikwete

  Ninaomba kuwaeleza wananchi wenzangu wenye uchungu na nchi yetu kuwa Tanzania tunadharaulika sana tena sana na hii ni kutokana na ujinga wa haya majiviongozi yetu Jakaya Kikwete anadhubutu kusemakuwa eti hajui kwanini Tanzania ni nchi maskini!! Huu si ndio unafiki sasa, inakuwaje kwa hali ya...
 11. BabaH

  Toute za JK mbona hasiendi TZ Vijijini??

  Jamani ndugu zangu naomba kuhuliza na kueleweshwa Wakati Mkuu akiomba kura alihakikisha anafika walau kila mahali na ambapo ilikuwa ngumu kufika huku akifanya kila awezalo ili kupata kura za wananchi, Sasa leo hii baada ya kupata kura za hao walala hoi Amekuwa safari zinaishia mijini tena...
 12. BabaH

  Jamani Kipindi cha Maigizo bado??

  Ebwana wakuu, hicho kikundi cha Maigizo cha CCM mbele ya kiongozi wao, Kikwete akijaanza kuigiza hapo Diamond?? waliokalibu tupeni leo kaja na igizo gani tena, maana naona maigizo yao hata joti na mpoki hawafikii Huyu hakufaa kuwa president alitakiwa akajiunge na wasanii wa maigizo wa vikundi...
 13. BabaH

  Mawazo ya wana CCM

  Kweli viongozi wa CCM ni wapumbavu wa hali ya juu sana, nasema haya nikinukuu, maelezo yaliyotoka kwenye hazeti la mwananchi Kutokana na hatua ya Mbunge Mkono, walisema hakuna sababu ya kumtuhumu kwa ufisadi, kutokana na kutumia sehemu kubwa ya mapato yake kuwapelekea wananchi maendeleo ya...
 14. BabaH

  Pendekezo kwa Wizara ya Afya na Serikali ya JK

  Ndugu Watanzania napenda kutoa maoni yangu ambayo kwa namna moja au nyingine, nimekuwa nikiumia sana tena sana kwa mambo ambayo yanatokea Tanzania Katika Hospitali zetu tumekuwa na matatatizo kibao ambayo yanasababisha vifo vya kujitakia na vya kizembe, nasema haya kwa sababu nyingi tu...
 15. BabaH

  Minister belittles link with JK's son

  Kwa kusema kweli habari hii inanipa utata sana kwa sababu nina vigezo vyote vya kuwa na wasiwasi soma habari hii http://www.majira.co.tz/kurasa.php?soma=tanzania&habariNamba=5915 Huyu jamaa ni mwongo mkubwa kabisa, Mawaziri gani hawa unaweka Kikweete??????? moja Masha kalidanganya Taifa kuwa...
 16. BabaH

  Tunaomba msaada kwa wanasiasa na watu wenye fedha zao

  Tunakuomba wewe mtanzania, Kiongozi mwanasiasa, Tajiri na mwenye uwezo wa aina yoyote ile, utuwezeshe kwa namna yoyote ile tuweze kuponya maisha ya huyu ndugu yetu, Pia tunakuomba raisi hawa ndo watu wa kuwasaidia Haya ni Maelezo ya Binti huyo na picha ziko chini hapo, Admin naomba kuiweka...
 17. BabaH

  Tanzania, Tunaenda wapi jamani?

  Hizi ndo sifa zilizitawala Tanzania yetu Viongozi ni wezi sana kupita maelezo, kila mtu anaiba kutokana na nafasi yake Viongozi ni wababe sana na wanajichukulia sheria mikononi wanavyotaka, Hajira Hakuna, na kila kukicha zilizokuwepo zinatoweka wanaotafuta Riziki mitaani wanapigwa tu na...
 18. BabaH

  Kurudishwa kwa Fedha za BOT

  Jamani naomba kuelekezw hapa mimi niliwahi kutoa thread hapa kuhusu urudishwaji wa pesa BOT, nikaambiwa sio zenyewe na thread ni chaka, sawa Lakini mkifuatilia habari ya leo kwenye Alasiri, mtajionea wenyewe, sasa ebu tuambiwe hapa, kwanini Hatuambiwi nani karudisha kiasi gani Na...
 19. BabaH

  Tuwe makini na urudishwaji wa pesa BOT jamani

  Naomba kuwambia wana JF Katika mambo ambayo yatatufanya kuwa wazembe wa kfikilia ni haya yanayotokea sasa hivi Wizara ya Fedha na BOT, nasi kuyachukulia kama sawa tu. Vyombo vya habari vimeanza kuandika siku za hivi karibuni kuwa wafanyabiashara waanza kurejesha fedha BOT, Lakini hawataji ni...
 20. BabaH

  Zijui Sifa kuu tatu za Kikwete

  Mwana JF mmoja kaeleza vizuri sana sifa za Raisi wa Tanzania KIKWETE. Naomba sana watanzania mziangalie hizi sifa za huyu muheshimiwa wetu na mlinganishe na mambo yanayoendelea hapa Tanzania jamani, Sifa binafsi za huyu bwana ni kama zifuatazo:- Mnafiki - Anawachekea watanzania lakini...
Top