Search results

 1. Susuviri

  MUHIMU: The fuel crisis - facts and figures - Pata undani wa ukokotaji wa bei ya mafuta!

  DISCLAIMER: I am not and never have been an employee or beneficiary of any Oil Marketing company or dealer. What has pushed me to do this calculation is in trying to find the truth and in finding it more clearly in facts and figures. I am looking forward a clean debate free of political...
 2. Susuviri

  Why Kikwete should not be asked to resign....

  With the electricity crisis ever worsening and the budget of the Ministry of Energy and Minerals having been withdrawn amid allegations of attempted corruption of MPs, more and more people are saying that JK should resign. He shouldn’t be asked to resign. In a radio interview recently with BBC...
 3. Susuviri

  The Fierce Urgency of Now: Tunahitaji vitendo sasa hivi na si kusubiri mpaka 2015!

  Naomba nianze kwa kumnukuu kinara wa haki za binadamu, mwanaharakati na shujaa Martin Luther King Jr: “We are faced with the fact, my friends, that tomorrow is today. We are confronted with the fierce urgency of now. In this unfolding conundrum of life and history there is such a thing as being...
 4. Susuviri

  Connecting the dots - ICC co-arbitrators who gave the Dowans ruling

  Naomba kuwasilisha kwanza article hii: Mi nimefanya research ndogo ili watanzania tupate kujua hawa watu wawili waliofanya maamuzi haya ni akina nani. tuanze na Sir Jonathan Parker, anaonekana ni mtu mwenye heshima yake huko UK Bofya hapa kwa habari na picha yake Ila huyu mwingine...
 5. Susuviri

  Election 2010 Uchakachuaji wa kura ni uhaini

  Uchakachuaji wa kura ni uhaini Prudence Karugendo Tanzania Daima Tumemaliza Uchaguzi Mkuu, tumempata rais, wabunge na madiwani. Kwa upande wa Tanzania Visiwani wenzetu wamenufaika zaidi kwa vile wana vitu viwili zaidi ambavyo sisi, watu wa Bara, hatuna. Wamempata rais wao na wawakilishi...
 6. Susuviri

  Global economic Crisis: Government steps in rescue bank

  Global economic Crisis: Government steps in rescue bank The Citizen By Damas Kanyabwoya and Mkinga Mkinga Senior Bank of Tanzania (BoT) and ministry of Finance officials met in Dar es Salaam yesterday to discuss a special rescue plan for local banks reeling from the effects of the global...
 7. Susuviri

  Wafungwa Zimbabwe - in concentration camps? - SHOCKING IMAGE

  NAOMBA NIWASIKIE WANA- JF AMBAO WANATUHUBUTU KUENDELEA KUMSIFIA NA KUMTETEA MUGABE! Hii ni aibu kubwa sana for Africa and for Tanzanians! Tumeikomboa Zimbabwe only to give the country to a sadist!
 8. Susuviri

  Obama's Online Town Hall Meeting

  Kwa wale wenye uwezo na bandwidth waende Welcome to the White House waangalie live streaming ya townhall meeting ambapo Obama anachukua maswali live kutoka kwa wananchi wake online na katika chumba cha mkutano. GOBAMA!
 9. Susuviri

  Susuviri and MTM quoted by ThisDay - our voices are heard!

  Naomba niwasilishe hoja ya kuwa Jamiiforums imekuwa sasa part of mainstream media na kumbe matusi tunayotukanwa na new members wanaokuja na lengo la kupamba administration ya JK ni kutokana na kuonekana kutoa hoja za nguvu, naomba niwasilishe article ya This Day ya March 12, 2009, Nyani my...
 10. Susuviri

  Uso wake Michael Jackson umeshaoza kabisaa!

  Yule mwimbaji na entertainer makini tuliyewahi kujivunia naye kwamba ametuwakilisha watu weusi amefikia mwisho wake si kijamii au kisanii tu bali hata kibinadamu! Nimebamba picha zake za Getty images katika press conference alipotangaza kuanza tour yake. Kwa kweli mi namsikitikia because he...
 11. Susuviri

  Michael Steele - RNC chair - a true Black entertainer!

  Jamani Michael Steele who was recently elected head of the Republican National Committee and is the first African American elected to this office. Many pundits and even within the GOP were hoping to see a real challenge to Obama, not only in the fact that they are both African American, but also...
 12. Susuviri

  Bobby Jindal - the star of the GOP that fizzled on national and international stage!

  Naomba niwasilishe CV ya Indian (from India) American governor of Louisiana - BOBBY JINDAL. For more than a week, all major publications, including online ezines were oozing with praise that Jindal is the GOP's Obama, he is the star, the hope of the Republican party.... and tonight was...
 13. Susuviri

  Hivi kweli uchumi wa MArekani na dunia ilikuwa imechungulia kaburi?

  Jamani nimepata ripoti hii ambapo mbunge wa Marekani anaeleza jinsi uchumi ulivyoyumba Septemba mwaka jana, kama ni kweli basi inatisha sana! Food for thought. Let the debate begin.....
 14. Susuviri

  Mugabe na ZANU PF wapanga birthday party ya kufuru!!

  Jamani huyu mwendawazimu ni lazima atimuliwe. hana uzalendo wala upendo na wananchi wake, in fact anawakejeli! Yaani nasubiri mtu aseme kuwa eti huyu ni mzalendo!
 15. Susuviri

  Sarah Palin kushtakiwa kwa kutumia ofisi yake vibaya

  Haya Kisura wa McCain amejikuta akibaki kushangaa pala ambapo wanachama wenzake wa Republican party na maofisa wake walipoamua kumshtaki kwa kuvunja maadili na kutumia ofisi yake vibaya wakati wa kampeni... Rule of Law ni kitu kizuri sana! Atta girl McLeod!!! get ready for some cat fights...
 16. Susuviri

  President Obama's first 100 days

  Jamani wanaJF, the first 100 days of Obama have officially kicked off and while we are all busy celebrating his inauguration today, we can see that his staff is busy repairing damage done by Bush aka Kichaka this just in: Kudos!
 17. Susuviri

  Hanging up on President-elect Obama TWICE!

  Jamani it is good to be cautious but let this serve as a notice to the overly cautious! :D At least Obama has a good sense of humour!
 18. Susuviri

  Vituko vya W Bush huko Beijing!!

  PREZ KICHAKA AKIWA ANAENJOY THE OLYMPICS GAME... JE MR PREZ ALIKUWA AMESHAPATA KIDOGO? LOOKS DRUNK TO ME!!!! Please note Laura alivyoamua ku-ignore na ku-save Katika event nyingine, Barbara alianza kuchukia mapema, babake anawaumbua sana Hapa binti ndo kabisaaa amekereka Imebidi...
 19. Susuviri

  Richard Quest.. CNN Showman held over drugs !

  Jamani msione vinaelea vimeumbwa! Huyu respected journalist wa CNN Richard Quest anayefanya vipindi vya Business na interview za maana kumbe nimtumiaji mzuri wa madawa ya kulevya na sasa yuko matatani: From the NY Times blog! Aisee huyu jamaa nilim-admire sana kumbe amepotea!
 20. Susuviri

  Dar firm sues PM, others over oil pipeline project

  By Bernard James Prime Minister Edward Lowassa and two other cabinet ministers are being sued over the $2.6bn (about Sh3.3 trillion) Dar es Salaam-Mwanza petroleum pipeline. Sued alongside Lowassa are the minister for East African Cooperation Dr Ibrahim Msabaha and the minister for...
Top