Search results

 1. F

  Muasisi wa Tanganyika African National Union ametutoka

  Chief Patrick Kunambi mmoja wa waasisi wa TANU amefariki dunia. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu sehemu pema peponi na awape faraja wote aliowaacha. Amandla.....
 2. F

  Helen Suzman atutoka!

  Ni mara nyingi huwa tunajisahau na kudhani kuwa vita ya kumkomboa mwafrika ilipiganwa (?) na mtu mweusi peke yake. Tunawasahau wakina Ruth First, Joe Slovo, Athol Fugard, Nadine Gordimer na wengine ambao walisimama kidete kumpigania mtu mweusi Afrika ya Kusini. Leo mmoja wao, Helen Suzman (...
 3. F

  Wangapi watasheherekea Kwanzaa?

  Wakati sisi wamisheni tunajiandaa kusheherekea Krismas na wenzetu kusheherekea Iddi hivi karibuni, ni wangapi katika sisi tunaojivunia weusi wetu tutakaosheherekea Kwanzaa? Hasa wenzetu mlio kwa Obama! Kwa wale wasiojua Kwanzaa ni nini, waangalie hapa The Official Kwanzaa Web Site - Kwanzaa...
 4. F

  Tutawaachia nini wanaotufuata?

  Tutabaki na nini? Hivi hao watalii tunaotegemea kukaa kwenye hiyo Hoteli Sunrise watatoka wapi baada ya sisi kubomoa majengo yote ya kale? Mji wa Dar es Salaam unasikitisha kwa kasi ya kubomea majengo ya zamani na kujenga maghorofa bila kuangalia infrastructure iliyokuwepo! Lesser Flamingoes...
 5. F

  Hongera Zakia Mrisho Mohamed

  Ni mara chache watanzania tunapata nafasi ya kushangilia mwana riadha wetu. Jana kwa kushika nafasi ya nne huko Stuttgart umenifanya nipate faraja. Pengine hao viongozi wetu wangewatilia maanani mnaoshindana aibu iliyotukuta Beijing isingetupata. Hongera sana, binti wa Kitanzania. Usikate tamaa...
 6. F

  Mbona hatujivunii hawa?

  Katika nchi tuliyokuwa na upungufu wa role models ni vizuri kusoma kuwa bado kuna wazaliwa wa nchi yetu hawajakata tamaa na wanajaribu kuleta tofauti katika maisha ya muafrika. Mzungu, ndio, lakini ni muafrika kamili!
 7. F

  Ugomvi katika kuzika wa nini?

  Hii inawezekana imeishatoka kule kwenye mambo ya dini. Ninachojiuliza ni vitu viwili: 1) Mbona hatusikii watu wakigombania kuuguza? 2) Huyo Mungu atakuadhibu kutokana na utakavyozikwa(ambacho kiko nje ya uwezo wako maana ndio yameisha kukuta) na siyo ulivyoishi? Mimi naona ni aibu kubwa...
 8. F

  Uchumi wa Zanzibar

  Hivi kweli nchi yenye watu zaidi ya milioni moja( sawasawa na Mauritius) inaweza kujisifia kuongeza export kutoka dola milioni tatu kwa mwezi hadi milioni tisa na nusu? Na hii ikafanywa kichwa cha habari! Tutafika kweli?
 9. F

  Mlimani City Project

  By THISDAY REPORTER Dar es Salaam THE Chief Secretary, Philemon Luhanjo, has intervened to help convince Mlimani Holdings Limited carry on with the multi-billion shillings Mlimani City project whose progress has been proceeding at a snail’s pace. Documentary evidence availed to THISDAY...
 10. F

  Mpaka wetu na Malawi uko wapi?

  Kutokana na ramani nyingi ( mfano ni hiyo hapo juu) mpaka huu uko ukingoni mwa ziwa Nyasa/Malawi na ziwa lote ni la Malawi.Ina maana kuwa wavuvi na boti zetu zinaposafiri mno zinaingia bila kibali katika nchi nyingine? Au wametuazima kwa muda? Mbona hali ni tofauti kwenye maziwa Tanganyika na...
 11. F

  Elimu ya hesabu katika jamii yetu.

  Hivi hii ni kwa wanafunzi peke yao? Kama walimu wenyewe wanakacha kufundisha hili somo GUMU, tunategemea nini kutoka kwa wanafunzi? Wahindi hivi wamefanikiwa vipi maana inaelekea kule wanatoa wataalamu wengi wa hisabati? Ikiwa jamii yenyewe, kuanzia wazazi na ndugu zake, inamueleza huyu...
 12. F

  Nani anawatetea watoto wakiwa?

  Najua wengi mmeisoma hii habari. Hivi kweli vitendo hivi vinaweza kuendelea kufanyika with impunity? Hao mawakili wetu mashujaa kwa nini wasiichukue kesi hii pro bono na kumgeuza huyu Suzan kuwa Rosa Parks wa haki za watoto wakiwa? Hivi hakuna sheria inayolinda haki zao na kumsimamia msimamizi...
 13. F

  Haya yataweza kutokea kwetu?

  Saudi Arabia to execute woman for 'witchcraft' Human rights group appeals to Saudi king to stop execution Kwa vile tunaangalia uwezekano wa kuanzisha mahakama za kadhi nchini mwetu nadhani ni vyema tukiangalia jinsi sharia inavyotekelezwa katika nchi nyingine. Tutaweza kufanya nini ili...
 14. F

  Biashara ya Utumwa ililetwa na nani hapa kwetu?

  Katika nchi nyingi za ulaya kukana kuwa palikuwa na Holocaust ni kosa la jinai. Wamefanya hivi kutokana kuwa na hofu ya kwamba kwa kukana ukweli huu kutaruhusu kupenyezwa tena imani na vitendo vya kibaguzi dhidi ya wayahudi. Hii ikiruhusiwa itapelekea kurudia hali iliyotawala katika miaka ya 30...
 15. F

  Kiumbe kipya chagunduliwa Tanzania! "grey-faced elephant-shrews (Rhynchocyon udzungwensis)"

  Last Updated: Friday, 1 February 2008, 00:38 GMT E-mail this to a friend Printable version Nimeiweka hapa ili kuwakumbushia jinsi tulivyobarikiwa lakini kwa sababu ya ulafi wetu tunaendelea kuangamiza neema hii.Akija kesho mwekezaji akasema anataka kujenga kiwanda kwenye milima hii...
 16. F

  Tutaangalia mpaka lini?

  Takhriban miaka 14 iliyopita tulishikwa na butwaa tuliangalia jirani zetu wa Rwanda wakichinjana kwa mapanga. Tuliangalia tukikosa la kufanya hadi idadi ya waliopoteza maisha yao ilipofika karibu milioni moja! Kwa miaka zaidi ya mitano tumebaki tukiangalia yanayotokea Dhafur na kwenyewe bila...
 17. F

  Wafanyakazi wa Ndani: Je, Hausigeli Huyu Ana Kosa?

  Naona huyu mtoto ameishahukumiwa. Hivi haiwezekani ikawa anasema ukweli? Mara ngapi tumeona watoto wakilazimishwa kulipwa kwa kubanwa pua? Hivi madaktari na wataalam wengine hawawezi kutambua kama kifo hicho kilitokea wakati analishwa? Naona wameishamzika marehemu bila kufanya uchunguzi zaidi...
 18. F

  Urithi wetu

  Wakati tunawabebea mabango hao tunaowaita mafisadi kuna umuhimu wa kuangalia sehemu nyingine za rasilimali zetu. Hapa juu tunazungumzia footstep zinazokisiwa kutoka kwa jamii ya kwanza ya binadamu kutembea wima. Hizi ziko kwetu. Si wengi tunajua hilo. Inakwenda na maji kama yanavyoainisha...
 19. F

  Kulikoni na majina haya?

  Hivi karibuni pametokea majina yanayochanganya kidogo. Nilizoea kumwona MTOTO WA MKULIMA sasa naona kuna MTOT WA MKULIMA, vile vile nilimzoea MzalendoHalisi naona sasa kuna ZalendoHalisi. Hivi hawa ni hao hao au wana uhusiano wa namna fulani hadi kuchukua majina yanayofanana kiasi hicho? Au hao...
 20. F

  Hivi vituo vya televisheni Tanzania zinampango wakwenda digital?

  Ikiwa nchi zote zilizoendelea zikiwa ziko mbioni ( baadhi tayari) kuondoka kwenye analog transmissions kwenda digital, Tanzania wana mpango gani? Na nini athari zake kwetu sisi ambao ni addicts wa CNN na BBC?
Top