Search results

 1. F

  Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

  Ingependeza zaidi kama angevaa t shirt ya chama chake kipya. Amandla..........
 2. F

  TCRA kulazimisha laini moja tu kwa kila mtandao kwa Raia si sahihi!

  Sasa atawezaje kujua wameona au wameshuhudia nini bila wenye kufanya maamumizi kutoa sababu za kuyafanya? Amandla....
 3. F

  TCRA kulazimisha laini moja tu kwa kila mtandao kwa Raia si sahihi!

  Hivi kwa nini wanakunyang'anya namba kama hujaitumia kwa siku 90? Mtu ukipata kozi ya zaidi ya siku 90 basi line yako unapoteza? Wengi gharama za ku roam haziwezi. Hizi namba tunawapa wengi na ukiipoteza ni usumbufu mkubwa! Na kuna raia wanaishi nje na wanamiliki laini za simu kuwarahisishia...
 4. F

  Makonda: Kigamboni inaweza kuwa kama Visiwa vya Jessie. Nitaigeuza kuwa kama mji wa Manhattan Marekani

  Mbona anaingilia taaluma za watu? Yale maghorofa ya Manhattan na yanayoendelea kujengwa Hudson Yards hayajajengwa na serikali. Na kuwa na skyscrapers haina maana kuwa umeendelea. Angeshughulikia kwanza makazi duni ambamo wakazi wengi wa Dar es Salaam wanaishi. Hiyo Kigamboni anayoiota haitakuwa...
 5. F

  Hii picha kila niitizamapo moyo hupata maumivu. Nini ilikuwa hatma ya huyu kijana?

  Zamani ilikuwa hivyo. Sasa hivi huo ushikaji unaouzungumzia haupo tena bungeni na nje ya bunge. Amandla........
 6. F

  Mitt Romney akalia kuti kavu GOP baada ya Usaliti, hata USA usaliti not allowed!

  Senate haina mamlaka ya kum impeach rais. Kazi hiyo ilishafanywa na wakina Pelosi. Maamuzi ya Senate ya kukataa kumvua urais hakubadilishi status yake ya kuwa alikuwa impeached. Donald Trump Jr ni domo kaya. Hana mamlaka yeyote kwenye chama cha Republican. Kingine ni kuwa mtu hahitaji kuwa...
 7. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Kwa hiyo " akili maandazi" ni sifa nzuri? Kwa kujua kuwa anatafuta ujiko wa siasa ndio mkaone heri mumpe ujiko huo! Amandla.......
 8. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Barua ya kufukuzwa (iliyoandikwa na Katibu Kata wake) imetoka baada ya video ya yeye kuwasema vibaya viongozi wa Chadema Arusha ( hakumsema Lema peke yake) kusambaa kwenye social media. Sasa mtu yeyote ataviunganisha hivyo vitu. Kama kuna sababu nyingine basi waliomfukuza wataweza kuitoa. Mimi...
 9. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Sasa hamuoni kwa kumtimua namna hii ndio mnathibitisha kuwa Chadema Arusha imevurugika? Kwa vile mliishamstukia, mngejibu tuhuma zake na kumwambia kuwa sio vizuri alivyofanya. Angeendelea ndio mngemfukuza. Hapo hamna ambae angemtetea. Amandla....
 10. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Kuna set precedence. Baada ya huyu watafukuzwa wengi tu. Au wataamua kukaa kimya na kutotoa ushauri pale unapohitajika. Amandla.....
 11. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Kukosoa ni sehemu ya kutoa ushauri. Unakosoa halafu unatoka ushauri wa nini cha kufanya ili kuokoa jahazi. Na ndivyo alivyofanya huyu Mheshimiwa. Amandla....
 12. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Hivi ukimtukana mtu usiyemjua unapata faida gani? Unajisikia kama kambabe fulani au siyo? Bila shaka wewe ni mashabiki na sio mwanachama wa Chadema. Huyu unaemshambulia amesema hadharani kinachomkera katika chama chake kwa sababu anaona kinakoelekea si kizuri. Kwa kufanya hivyo amekipa fursa ya...
 13. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Hoja ni kuwa hawakufukuzwa. Waliondoka wenyewe. Amandla.....
 14. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Hazina umuhimu maana kila mmoja alikuwa na sababu zake. Cha msingi ni kuwa waliondoka kwa hiari yao na hawakufukuzwa. Na huko walikohamia wanaendelea vizuri tu na shughuli zao. Amandla.....
 15. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Kuhama ni tofauti na kufukuzwa. Katika hai nani amefukuzwa? Amandla......
 16. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Kumbe mnawaiga CCM? Mlitakiwa kuonyesha kuwa nyie ni tofauti na kuwa kwenu kuna uhuru wa kutoa mawazo kama jina leni linavyosema. Inawezekana kabisa huyu bwana ameitisha press conference baada ya kuona huko kwenye vikao hasikilizwi. Na kama anachosema ni kweli basi mwaka huu msitafute mchawi...
 17. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Huu ni ujinga uliopitiliza. Chama kilichokomaa ni lazima kikubali kukosolewa. Kwa kumfukuza, kinathibitisha alichosema kuwa Arusha kweli kuna tatizo. Walitakiwa kumshukuru kwa kuwa muwazi na kufanyia kazi tuhuma zake. Uamuzi wa kumfukuza mtu uanachama hautakiwi kufanywa kirahisi rahisi hivi...
 18. F

  Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

  Taabu kweli kweli. Inaelekea huyu jamaa alichokua article ya kirusi ( au lugha nyingine) akai google translate ndio akaishusha! Amandla........
 19. F

  Haya huyo wenu wa CIA mnayemuami kwamba ni mkweli, aletwe sakata la Tundu Lisu!

  Unakosea tena. FBI ni mapolisi na wako chini ya Department of Justice. Hawa ndio wakali wa forensic science na wanatumia utaalamu huo kushika wahalifu. C.I.A ni majasusi ambao kazi yao kubwa ni kulinda maslahi ya nchi yao dhidi ya nchi nyingine. Ndio maana kwenye balozi zao kuna maafisa wa C.I.A...
 20. F

  Haya huyo wenu wa CIA mnayemuami kwamba ni mkweli, aletwe sakata la Tundu Lisu!

  "The lips of the righteous teaches many, but fools die for want of wisdom" Amandla......
Top