Search results

 1. Mwanajamii

  Mbunge: Blog na mitandao zinatumika kutukana

  Mheshimiwa Leticia Nyerere amesema Tanzania haina mamlaka ya kimataifa ya kutumia mtandao wa Internet na kutumia huduma zinazotokana na internet kama E-mail mitandao ya kijamii n.k. Je hayo ni ya kweli?
 2. Mwanajamii

  Zitto: Nia, Uzalendo na Uwezo wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania ninao!

  Mheshimiwa ZITTO ZUBERI KABWE leo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Sayansi na Teknolojia amesema anao uwezo wa kuongoza nchi, anao uzalendo kwa nchi yake na anao uwezo wa kuwa amri jeshi mkuu wa Tanzania.
 3. Mwanajamii

  Nani msemaji wa CHADEMA katika masuala ya kiintelijensia?

  Nakumbuka tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikitolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo kuhusu kutaka kuhujumiwa ama na Chama tawala au Serikali, matamko yake yamekuwa yakitolewa na katibu mkuu wa CDM, Wilbroad Slaa au Mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wakati mwingine John Mnyika. Lakini...
 4. Mwanajamii

  Chadema isijarabu kuingia mikoa ya pwani- wananchi

  Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona umaskini ulivyowaandama. Wanadai baada ya Uhuru nchi ilichukuliwa na watu wa Mikoa ya kaskazini kitu...
 5. Mwanajamii

  Kwa hali hii waziri wa mambo ya ndani ujiuzulu tu

  Mara ya 2 hii kuwatumia jeshi la polisi kupiga watu misikiti. Sijasikia polisi kwenda kumkamata au kumpiga mabomu askofu Gamanya aliedhalilisha polisi ambao walitoa taarifa ya Kukamatwa kwa Aliempiga ulimboka. ni wazi Lile tukio la kiongozi wa kikiristo kutoa maneno ya Uchochezi dhidi ya jeshi...
 6. Mwanajamii

  Waziri wa mambo ya ndani matatani. Dvd za polisi kupiga mtoto zanzibar zasambazwa

  Dvd zinazoonyesha polisi wakimpiga mtoto mdogo ndani ya nyumba huku mtoto huyo akihaha kutafuta njia ya kutokea zinaanza kusambazwa visiwani huko. Dvd hizo zilipigwa siku ya tukio la kuwapiga mabomu waislam walipokuwa wanasoma dua sasa zimekuwa zikisambazwa kwa wingi visiwani huko. Wanadai...
 7. Mwanajamii

  Mbaroni kwa kuoa mtoto wa miaka minane

  Mbaroni kwa kuoa mtoto wa miaka minane na Grace Macha, Arusha MFANYABIASHARA wa jijini Arusha, Joseph Ngisha (24), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuoa mtoto wa kike (jina limehifadhiwa) akiwa na...
 8. Mwanajamii

  Ilvyoripotiwa tukio la Uamsho Zanzibar kati ya vyombo vya habari huru na vya propaganda

  1)BBC SWAHILI: waumini wa dini ya Kiislam wa Zanzibara wametayanywa na askari polisi walipokuwa wakiwaombea dua waliofariki 2)Idhaa ya kiswahili ujerumani. Polisi watumia nguvu kuwatanya waislam waliokuwa wakiomba dua. 3)Idhaa ya Kiswahili VOA: Polisi wazuia dua iliokuwa inasomwa na waumini wa...
 9. Mwanajamii

  Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

  Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu. Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa...
 10. Mwanajamii

  Spika Anne Makinda apigwa laana misikitini Unguja - Annur

  Leo gazeti huru la Annur limeandika kwamba kitendo cha Mh spika kukataa hoja za wabunge alipoombwa kuahirisha bunge na kutoa maneno amabayo hayakuwa na Msingi kulifanya baadhi ya Wazanzibar kumlaani na kumupmbea dua mbaya misikitini wanadai wanaglikuwa wamekufa WABENA na WAHEHE angalitoa...
 11. Mwanajamii

  Kwanini chadema wanampenda zaidi lowasa kuliko kikwete?

  I)kwa sababu lowasa Anatoka Arusha na kikwete anatoka Mkoa wa pwani wenye waislam wengi?
 12. Mwanajamii

  Mapungufu ya Muungano:Wazanzibar wanapeleka wawekazaji Bara. Wabara wanapeleka Wamachinga Zanzibar.

  Unaona wafanya biashara wakubwa kutoka Zanzibar wamewekeza Bara.kama BAKHARESA. TURKEY. na wengine ambao wanaingiza kodi kubwa kwa upande wa bara Lkn kwa upande wa Bara kwenda Zanzibar wengi wa wabara ni wauza Nyungo,viazi, wantembeza mabeseni, visu, sabuni , mapeas. Wachoma mahindi, muhogo wa...
 13. Mwanajamii

  Itv na uchomaji wa makanisa vs ajali za meli

  Inaonekana ITV lilopokuja swala la Kuchoma makanisa ilivalia njuga na hata kufikia kupotosha watz. Lkn kuhusu kuzama kwa MV SPICE na tukio hili la sasa ni tofauti kabisa inavyoripoti. Breaking news ilikuwa kila wakati Wkati wa tunaarifiwa uchomaji wa makanisa zanzibar. itv ilituma waandishi...
 14. Mwanajamii

  Kiongozi wa uamsho ahojiwa kuzama kwa meli zanzibar?

  ni kundi la waandishi wa habari kutoka Nje ya nchi na watz bara wakiona umuhimu wa maelezo wa mmoja wa viongozi wakuu wa Jumuia ya Uamsho Zanzibar hapo Malindi. Kabla ya tukio hili. badhi ya vyombo vya habari hasa vya Tanzania bara vilaindika vibaya jumuia hii hasa kuhusu kuchomwa moto...
 15. Mwanajamii

  Helikopta iliotoka tanzania bara kuzuia uamsho kuchoma makanisa imeishia wapi?

  Kwanini haikutumika jana kupunguza idadi ya Vifo? Badala yake zilitumika zaidi boti za Kutoka Zanzibar ambapo kwa kiasi kikubwa zilichelewa kufika. kama ingalitumika Helikopta iliotumika kuzuia Uamsho hali isingefikia hivyo ilivyofikia
 16. Mwanajamii

  Dr. Ulimboka na dr. Deo=kanumba na ray?

  Leo saa tatu asubuhi kupitia redio CLOUDS amesikika Dr. Deo akielezea tukio la kutekwa kwa rafiki yake, Dr. ULIMBOKA. Kwa mujibu wa maelezo ya DR. Deo ni dhahiri kabisa kwamba takribani muda wote hadi Ulimboka anatekwa walikuwa pamoja. Aidha maelezo yake kupitia kituo hicho cha redio...
 17. Mwanajamii

  Nini mahusiano kati ya watu/makundi haya hasa katika sakata la mgomo wa madaktari?

  Sakata la mgomo wa Madaktari ambalo linaibuka na kutoweka kama samaki baaharini, linapelekea watu kujiuliza maswali mengi hususani juu ya nini uhusiano uliopo na mgomo huu na watu ama Makundi haya? John Mnyika: tangu mgomo wa kwanza na huu wa sasa amekuwa akiwa wa kwanza kutoa tamko la kuunga...
 18. Mwanajamii

  Wabunge hawajui kanuni za bunge au wanataka kuwafurahisha wapiga kura?

  Mara kadhaa Wabunge wamekuwa wakikiuka kanuni za bunge kwa kuacha kuchangia hoja na badala yake kutoa lugha za matusi, kejeli na kufedhehesha. Je Wabunge hawajui kanuni za bunge au wanataka kuwafurahisha wapiga kura wao? Je watanzania tumekuwa dhaifu kiasi hicho cha kufurahia madudu ya wabunge...
 19. Mwanajamii

  Wabunge na wananchi kama wasanii na mashabiki wao

  Nafananisha Wabunge wetu wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wapiga kura wao kama ilivyo kwa Wasanii wa filamu na Muziki kwa mashabiki wao. Kila Msanii ana mashabiki wake kwa sababu tu ya aina ya muziki/filamu anazocheza bila hata kujali athari za aina ya uigizaji huo katika jamii na...
 20. Mwanajamii

  Ni mabadiliko gani tunayoyahitaji watanzania?

  Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana dhana ya mabadiliko inavyohubiriwa na makundi mbali mbali ( wanasiasa, wanazuoni, wana harakati na wengine wengi). Je ni aina gani ya mabadiliko tunayoyahitaji watanzania?. Je ni mabadiliko ya tabia na mienendo ya viongozi wetu? (kuwa wazalendo, kuacha...
Top