Search results

 1. Mwawado

  Mabalozi waandamizi kustaafu Utumishi wao...

  Kuna habari zilizothibitishwa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (MOFA) kuwa, Mabalozi Waandamizi Jaka Mwambi (Urusi), Mwanaidi Majaar (USA), Omari Mapuri (China) na Sisco Mtiro (Malaysia) wanastaafu Utumishi wao mwanzoni mwa mwaka 2013. Balozi Mtiro amekwisharudi...
 2. Mwawado

  "Waziri Mkuu wa Italia - Mario Monti amejiuzulu (Ijumaa - Dec/21/2012)"

  Waziri Mkuu wa Italia Mchumi Mario Monti ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo kuanzia Ijumaa ya tarehe 21/Dec/2013.Kutokana na kujiuzulu wadhifa huo,Nchi ya Italia itakuwa na Uchaguzi wa nafasi hiyo mapema Februari/2013.Monti amekuwa katika nafasi hiyo kuanzia Novemba/2011 kutokana na...
 3. Mwawado

  Wazungu Hawa Wanafanya nini Tanga?

  Ndugu Wanajamii!, Kuna Wazungu Watatu wanaishi mjini Tanga,Ni raia wa Nchi za kigeni.Ni Wazungu ambao wamekuwa kero kwa Wakazi wengi wa Tanga.Inasemekana kuwa Wazungu hao ni Wawekezaji,haijulikani wanawekeza kwenye kitu gani,wamekuwa wanazurura kila kona ya Tanga mjini na kutoka na...
 4. Mwawado

  Mjomba Muhidin Maalim Gurumo ni Mgonjwa;

  Mzee Muhidini Maalim Gurumo ni mgonjwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Wodi ya Mwaisela,wodi No.5.Mzee Gurumo ni mmoja wa wakongwe wa Muziki alianza Muziki mwaka 1960 akiwa na Bendi ya NUTA. Muhidini anasumbuliwa na kujaa maji katika mapafu.Wapenda Muziki,Ndugu na Jamaa tupite...
 5. Mwawado

  Viwango Hivi Vya Elimu Vimepitwa na Wakati!

  Ndugu Wanabodi, Katika Mchakato wa kutafuta wagombea Ubunge kupitia Chama Tawala (CCM), kumetokea mwamko mkubwa kutoka kwa wananchi wa kawaida kutaka ridhaa ya kuwawakilisha wenzao Bungeni. Katika Mchakato huo kumetokea watu wa rika, rangi, dini na makabila tofauti. Utofauti huo wa wagombea...
 6. Mwawado

  5 Kenyans indicted in scam targeting agencies in 4 States:

  Tuesday,November 17,2009, CHARLESTON, W.Va. – A federal grand jury in West Virginia has linked five more people to an international scam that allegedly tricked government agencies in several states into paying at least $3.3 million to bogus companies with names that sounded like...
 7. Mwawado

  Matumizi sahihi ya Maneno ya Kiswahili:

  Je unakubaliana na huyu Muungwana anayeandika matumizi ya haya maneno hapo chini? Si vibaya tukapeana japo nyepesi nyepesi za lugha ya kiswahili baada ya kuonekana watu wengi kuitumia lugha hii ndivyo sivyo. Kwa uchache labda nichambue matumizi ya maneno yafuatayo. 1. Kuonyesha hali ya utashi...
 8. Mwawado

  Rais Kikwete Ziarani Marekani:

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo New York kwa ziara ya Kikazi nchini Marekani itakayomchukua siku 12.Mheshimiwa Rais ameongozana na Waziri wa mambo ya Nchi za Nje pamoja na ujumbe wa watu 20. Siku ya Jumanne (22/09/09) Rais atahudhuria Mkutano unaohusu Mazingira na Hali ya Hewa Duniani.Mkutano...
 9. Mwawado

  Mzee Tryphon Maji Amefariki Dunia

  Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi La polisi Mkoani Dar-es-Salaam Mzee Tryphon Maji amefariki Dunia.Ndg Maji amefariki Dunia leo jioni kwa saa za Tanzania,Marehemu alikuwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa shinikizo la Damu,alifariki Dunia katika Hospitali ya Tumaini.Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa...
 10. Mwawado

  ~Welcome To The 5th International ADHT Conference~

  The fifth International African Diaspora Heritage Trail conference will take place in Tanzania from October 25 - 30,2009, with venues in both Arusha, the safari capital on the mainland and on the exotic island of Zanzibar. This marks the first time the conference is held in Africa and Tanzania...
 11. Mwawado

  Robert Novak dies:

  Mwandishi wa Habari wa siku nyingi Robert Novak amefariki Dunia asubuhi hii.Bob Novak alikuwa anasumbuliwa na Brain Cancer.Novak mwenye umri wa miaka 78 alifanya kazi na Kampuni ya Television CNN kwa miaka 25.Atakumbukwa zaidi kwa vipindi vyake vya Uchambuzi wa mambo ya siasa kama "The Capital...
 12. Mwawado

  Uzinduzi wa jumuiya ya watanzania amerika (dicota)

  Dear Colleagues, You are cordially invited to participate in the inaugural convention of the Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA) to be held in Houston, Texas, USA from October 1st to 4th, 2009 at the Renaissance Houston Hotel Greenway Plaza. In September 2008, approximately 30...
 13. Mwawado

  Msaada wa Mawazo/Mali unahitajika!

  ------ Dear Friends and well wishers, I humbly write to you in connection to above mentioned lady who is a daughter of The late Richard Muro who passed away sometimes in 2002.I received a call from Gaborone regional Immigration Office sometimes in June last year regarding Neema. They wanted to...
 14. Mwawado

  Katibu Mkuu UN kuitembelea Tanzania.

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) anatarajia kufanya Ziara ya kikazi Nchini Tanzania kuanzia wiki ijayo,Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkazi wa UN -Tanzania Bw. Fernandez Taranco inaonyesha kuwa Katibu Mkuu,Mr Moon atafanya Ziara katika Nchi za Congo-DRC,Rwanda,Afrika kusini na kumalizia...
 15. Mwawado

  Mtanzania yupo rumande - washington dc.

  Ndugu Wanajamii, kuna Mtanzania mwenzetu mmiliki wa kampuni ya "Mambo Jambo (USA) "amekamatwa Jumapili ya tarehe 18/01 na kufikishwa mahakamani Alhamis ya tarehe 22/01 .Dhamana ya Mwenzetu huyo ni $ 1.7m.Bado haifahamiki wazi makosa ya mwenzetu huyo,Watu wa Ubalozini wamefahamishwa Tukio...
 16. Mwawado

  Mike sikawa afariki dunia

  Mwandishi wa Habari wa siku nyingi Mike Sikawa (55) amefariki Dunia,Nyumbani kwake Njiro - Arusha siku ya Jumatatu (17.11.2008).Marehemu Sikawa amefarikiki baada ya kusumbuliwa na Ugonjwa wa Kisukari kwa muda mrefu. Katika uhai wake amewahi kufanya kazi Katika kampuni ya magazeti ya serikali...
 17. Mwawado

  Mabalozi Waandamizi Warudi Nyumbani...

  Mabalozi Wanne Waandamizi wanarudi nyumbani baada ya muda wao wa kulitumikia Taifa aidha kustaafu kufika Kikomo.Mabalozi Emmanuel Mwambulukutu (South Africa),Ret.Maj.Gen Makame Rashid (Malawi),Dr.Ben Moses (Sweden) na Dr.Mahiga (U.N) wamemaliza muda wao na wanarudi nyumbani mwezi huu wa Novemba...
 18. Mwawado

  Balozi Edward Mhina Amefariki Dunia...

  Balozi/Mwalimu Edward Mhina amefariki Dunia Leo Jijini Dar-es-Salaam Tanzania.Mzee Mhina amefariki Dunia nyumbani kwake Makongo Juu.Habari za Msiba na mazishi Mtaarifiwa Baadaye.
 19. Mwawado

  Tumuombee Mwenzetu

  "NDUGU WANA JAMBO KUNA MDAU MWENZETU HUMU NI MGONJWA MAHUTUTI.HABARI NILIZOZIPATA HIVI PUNDE NI KWAMBA MWENZETU HUYO YUPO HOSPITALI HUKO HOUSTON TEXAS,ANAENDESHA MAISHA YAKE KWA MSAADA WA MASHINE,NA KWA MUJIBU WA MADAKTARI NI KWAMBA PENGINE IJUMAA WATAONDOA HUDUMA HIYO .WOTE KWA PAMOJA TUJIUNGE...
Top