Search results

 1. Mahesabu

  CCM kujenga chuo kikuu

 2. Mahesabu

  Mageuzi makubwa CCM

  Tarehe22/12/2016, Asubuhi saa2, Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Ndugu Humprey Polepole atakuwa Clouds Tv na Uhuru Fm akizungumzia mageuzi Makubwa Ndani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM). Usikose.
 3. Mahesabu

  Watch "Maradona's respect to Ronaldinho!" on YouTube

  KING RONALDINHO
 4. Mahesabu

  Hivi yule John Mnyika "machachari" yuko wapi? Kapatwa na nini? Mbona hasikiki tena?

  Ni muda mrefu sasa toka uchaguzi mkuu upite mwanasiaasa huyu amekuwa haonekani hadharani. Ni nadra kumsikia akizungumza chochote na sana sana utasika wenzake wakimtaja kuwa John Mnyika NAYE amesema jambo fulani, kitu ambacho hakikuzoeleka kwa mwanasiasa huyu. Je nini hasa kimemsibu mwanasiasa...
 5. Mahesabu

  Zantel : Udini

  Katika kuwatakia wateja wake salamu za sikukuu kampuni hii ya simu mara kadhaa inashindwa kuwatakia wateja wake walio tofauti na dini ya KIISLAM heri ya sikukuu. Sikukuu watakazoweza kuzitaja na kuwatakia heri ni zile za dini ya kiislam tu tena kwa kuzitaja na majina. Kama vile HAPPY MAULID...
 6. Mahesabu

  Hongera TANESCO kwa mabadiliko

  Nitoe pongezi zangu kwa shirika la umeme Tanzania (Tanesco). Pongezi hizi nazitoa kwa mabadiliko niliyoyaona ndani ya siku chache toka leo. Sifa na pongezi zinatokana na juhudi za kitengo cha mawasiliano ya umma (mahusiano) ambapo hapa JamiiForums "KOLEBA", na hata baada ya kupiga simu kueleza...
 7. Mahesabu

  Vijana kuvalishwa sare za CCM na kujifanya kurudisha kadi -Arusha

  1. Habari zilizopo ni kuwa, vijana kupewa sare za CCM pamoja na kadi na kuzirudisha katika mkutano hapa Arusha 2. Wapiga debe kupewa mda mrefu zaidi wa kuongea kuliko mgombea Urais hapa Arusha ! 3. Nyumba za wageni zimejaa mpaka sasa Arusha 4. Magari yanayosomba watu kuwashushia mbali...
 8. Mahesabu

  Tanzia: Chief Matunge afariki dunia

  Chief Matunge aaga dunia.... Poleni familia
 9. Mahesabu

  Shilingi 200/= Yaleta Kifo MANZESE

  Kifo cha kusikitisha kimetokea Manzese Midizini, Shilingi 200 ikiwa ni sababu. Mtu mmoja ameuawa kwa kuchomwa kisu maeneo ya shingoni, mashuhuda wameeleza kuwa kijana mmoja (marehemu) akiwa anafahamiana na mwenzake (muuaji) wakati ametoka shule/chuo alipita mahali walipo rafiki zake. Ndipo...
 10. Mahesabu

  Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Igunga ageukia Ubunge

  Siku moja baada ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Jakaya Kikwete, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu amesema sasa anageukia ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi. Kingu alisema siku nyingi alikuwa na shauku ya kugombea ubunge katika jimbo hilo, kwamba kuondolewa katika...
 11. Mahesabu

  Tatizo la mistari kwenye Samsung galaxy note 10.1, naomba msaada

  Habari za majukumu wakuu, nina Samsung Galaxy Note 10.1, 1. toka jana (16 febr 2015) imeleta mistari inayocheza cheza na kama mawingu vile kwenye screen. Nimejaribu kufuta application zote na media files zote lakini bado hali ni ile ile (jana nilijaribu kufuta adobe ikarudi normal...
 12. Mahesabu

  Wabunge wahusishwe paredi ya uhuru/muungano/mapinduzi

  Ningefurahi kuona wabunge wetu waliomaliza mafunzo ya "mfano" ya JKT wawepo katika gwaride za sherehe mbalimbali za kitaifa ambazo majeshi ya ulinzi na usalama yanahusika! UZALENDO at the beginning stage!
 13. Mahesabu

  Mavazi ktk vyuo vikuu Tanzania

  CHUO KIKUU CHA TUMAINI (KURASIN) kilicho chini ya KANISA LA KILUTHERI baada ya kupiga marufuku suruali kwa wanachuo wa kike na baadhi ya mavazi kwa wanaume DEAN atengua rasmi katazo hilo...sasa SURUALI ni ruksa kwa akina "ke" na yeyote atakayemzua ama kuhoji mavazi hayo aelekezwe kwa DEAN...
 14. Mahesabu

  GRAVIOLA kwa kiswahili ni tunda gani?

  Topetope au stafeli? https://m.facebook.com/photo.php?fbid=349339301851876&id=265573826895091&set=a.265581016894372.64870.265573826895091&_rdr#349365355182604
 15. Mahesabu

  mgogoro wa maji MERU (sing'isi vs poli)

  Maji yatokayo mlima Meru ambayo hutumika kwa umwagiliji wa asili toka miaka na miaka yamezua mgogoro kati ya kata mbili (POLI na SING'ISI) Ambapo kata moja sasa imezuia maji yasiende kata nyingine kwani wao wapo juu hivyo kuwa na haki ya kuyatumia pekee. Kamati ya maji kata ya poli pamoja na...
 16. Mahesabu

  Ipad vs Samsung Tab note 10.1

  Msaada pliiz! Ipi kati ya hizi ina option nzuri! Hasa usomaji na upatikanaji wa vitabu mbalimbali kwa unafuu zaidi! Nimekutana na mawazo yanayofanana kuwa product hizi zinafaa kwa VITABU ila ipi ni zaidi! Natanguliza shukrani
 17. Mahesabu

  eneo la wazi mwananyamala panajengwa madrasa!!!!?!!

  Eneo la wazi mwananyamala,nyuma ya kanisa na jirani na kituo cha polisi pana ujenzi unaendelea wa madrasa Eneo hilo ambalo siku nenda rudi limekuwa likitumika kwa michezo "wenye" eneo wameona wajijengee madrasa Nawapongeza
 18. Mahesabu

  shut down :hibernate,stand by faint restart turn off havifanyi kazi

  msaada : nikitaka kuzima computer STAND BY na HIBERNATE zipo faint huku RESTARTna TURN OFF zikionyesha zaweza fanya kazi lakini niki-click RESTART haikubali na niki-click TURN OFF mara nyingine inakubali mara nyingine haikubali COMPAQ laptop WINDOW XP
 19. Mahesabu

  Civics o'level

  qn: What do you understand the UNO? With examples mention the ORGANS and FUNCTIONS of UNO and its organs
 20. Mahesabu

  Ushairi. ....tbc. ..maji ya ndimu &mpoto

  mpoto akitetea mabadiliko hukuMaji ya ndimu akisisitiza shairi ni shairi
Top