Search results

 1. Mahesabu

  Aliyepanda treni ya Dar - Moshi aje atupe mawili matatu

  Treni ina vyoo ndani kwa ndani, wakati inatembea watu wanakula, wanakunywa, wanalala, wanachimba dawa na kadhalika
 2. Mahesabu

  Chanjo mpya malaria kuingia sokoni Oktoba Mwaka huu

  Chanjo ya malaria
 3. Mahesabu

  Treni yaleta ‘kilio’ usafiri wa mabasi Dar - Moshi

  Nimecheka sana ....tena sana... 🤣🤣🤣🤣!! Ndugu zangu tupunguze kebehi , Behewa moja linabeba abiria zaidi ya 65 wa basi.... na treni tunakuta inabehewa 15 mpaka 30!!! Leo mtu anatwambia treni inabeba watu sawa na behewa 2 tu!!!! Mnaweza kusema hakuna athari yeyote maana kwamba kila abiria ana...
 4. Mahesabu

  Uepukaji utapeli katika mauziano ya Ardhi na Nyumba

  Bado usipochukua tahadhari unatapeliwa
 5. Mahesabu

  Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

  Bonnke haikuwa THE BIG NOVEMBER... THE big ilikuwa na akina ROY DURMAN , GEORGE GICHANA , baadaye wakaja kina YONA SELEMAN, N.SASALI (baba yake na Samuel Sasali wa Clouds) na wengineo...... Tulikuwa tukipata Dozi za rohoni za maana sana.... Hapo APRIL ilikuwa tunamsubiri MZEE MOSES KULOLA...
 6. Mahesabu

  Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

  Ni kipindi cha mapigo kwa INJILI YA KWELI, Great men wa TRUE GOSPEL wanatangulia 1. Bill Graham 2. Moses Kulola 3. Reinhard Bonnke 4. 5.
 7. Mahesabu

  Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

  Amekwenda..... Ametangulia...... Amepaa.....
 8. Mahesabu

  Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

  The great man has gone
 9. Mahesabu

  Zoezi la uokoaji wa VIP la makomandoo

  Asante mkuu, Ntajitahidi. t
 10. Mahesabu

  Zoezi la uokoaji wa VIP la makomandoo

  Kwenye sekta ya ulinzi wa viongozi kuliwahi kuwa na thread humu..... nadhani ililetwa na IDIMI ilikuwa imeshiba mambo mengi
 11. Mahesabu

  Nanunua Land Rover TDI

  Mi natafuta 109
 12. Mahesabu

  Jipatie huduma za kilimo kwa gharama nafuu

  Gharama ndogo isiyotajwa ni ipi???
 13. Mahesabu

  Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

  Tunazidi kuwaonya WATANZANIA kuwa sasa tuna MAKUWADI WA MABEBERU ambao hapo mwanzo tuliwaona kama wakombozi wetu na wa rasilimali zetu, Naipongeza serikali kwa kuzuia mkataba huo wa kinyonyaji na kuweka mbele maslahi ya taifa na vizazi vijavyo. Na ninatumaini bado mradi upo pale pale na...
 14. Mahesabu

  Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

  Zitto ni kinara wa "STATE CAPTURE" AMetumika na akina ACACIA, akatumika na akina SCBHK -STANDARD CHARTERED BANK HONGKONG na sasa WACHINA WA BANDARI YA BAGAMOYO (ambao ndio haohao wa mradi wa makaa ya mawe mchuchuma na liganga) "Mr. STATE CAPTURE "
Top