Search results

 1. K

  Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

  Mzee ES, Habari za masiku mkuu? Nimekuwa busy na ujenzi wa Taifa kwa ari, nguvu na kasi mpya ya ajabu.. kiasi imekuwa ngumu kuwa active humu JF, but trust me .. nnapita pita every now and then, na nnapata mengi ya faida.. ingawa na uongo pia uko mwingi. Baadhi ya uongo ni kwa...
 2. K

  Ahadi ya ajira milioni moja changa la macho?

  HII NI PAMOJA NA KUONGEZA MAZINGIRA YA AJIRA NA PIA UFANISI KATIKA KAZI. MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YANAWEZEKANA... Mishahara minono bajeti ijayo-Kikwete 2007-04-29 10:05:09 Na Godfrey Monyo SOURCE NIPASHE Watumishi Serikalini kuchekelea bajeti ijayo, kwa kuongezewa...
 3. K

  Ahadi ya ajira milioni moja changa la macho?

  Pia Kazi nyingine nyingi hutangazwa hapa: www.tzonline.org Ukiingia kwenye JOB SECTION inakuwa nzuri unaweza kuona hata kazi za mikoani.
 4. K

  Ahadi ya ajira milioni moja changa la macho?

  Itasaidia pia tukijenga mazingira ya kupita hapa, wana ajira nyingi huzitangaza mara kwa mara. Sasa hivi ni wakati muafaka kwa wazalendo wa kweli kujitokeza na kushiriki katika maendeleo ya nchi ikiwa ni pamoja na kupashana habari kuhusu kazi hizi. Mugishagwe: Yes ni hoja nzuri hiyo...
 5. K

  Ahadi ya ajira milioni moja changa la macho?

  Sambamba na ahadi ya Rais ya kutengeneza ajira milioni moja kwa ngwe yake hii na pia kujikita zaidi katika kilimo, mipango imekamilika kuajiri kwa kuanzia mabwanashamba lukuki kama mnavyoona. This is good for our country....more jobs coming... Mabwanashamba 2,500 kuajiriwa 2007-04-28...
 6. K

  Just in: UDSM wafukuzwa

  Kumbe wengi wameweza kujilipia! UDSM reports positive fee paying response KILASA MTAMBALIKE Daily News; Thursday,April 26, 2007 @00:05 THERE has been a positive response among parents and guardians in paying tuition fees for students at the now closed University of Dar es Salaam...
 7. K

  Just in: UDSM wafukuzwa

  Nia nzuri ni ipi katika mgomo? Hawa ni vijana ambao hawakuexplore all options za negotiations wamegoma...i can understand their argument lakini they about it the wrong way!
 8. K

  Katiba ya Tanzania: Ilivyo na mapendekezo ya mabadiliko

  Mheshimiwa Kayombo katoa jibu zuri sana, a real answer for hypothetical question! We need more Kayombos in government..... Chagua CCM!
 9. K

  Katiba ya Tanzania: Ilivyo na mapendekezo ya mabadiliko

  Mzee Mwanakijiji: Ingekuwa wachangiaji wetu wote hapa wanachangia objectively kama wewe, wakubwa wetu wengi wangekuwa wanakuja hapa na kujifunza maoni hasa ya wananchi, they're not necessarily correct lakini at least ni views zinazoweza kusikilizwa na wasomi, this is good and I encourage you...
 10. K

  Just in: UDSM wafukuzwa

  MWANASIASA Ni kweli hawa vijana wamewahi sana kugoma kama chuo kilivyochukua hatua ya kuwataka waondoke 'ghafla'... Hatua nilizoshauri awali ni ile waombe ushauri,audience na rais,barua ya wazi,lobbying in the parliament[ hii naongeza sasa] na mwisho kutishia kwa kuweka deadline kuwa...
 11. K

  Just in: UDSM wafukuzwa

  Hili jambo hakika you have to be a bit sceptic kuangalia namna ya kuchangia humu. WANAFUNZI: Ni kweli beyond doubt kwamba 3500 kwa tanzania haitoshelezi mahitaji ya mwanafunzi lakini how do you go about claiming the money? Walimuomba rais 'kichama' akaahidi kufuatilia, hatukisikia...
 12. K

  Matatizo ya Tanzania na mapendekezo ya wana JamiiForums

  Kwani hivi ni wapi hapo ambapo wapinzani walitaka kufungua radio wakazungushwa? tutajie mpinzani huyo manake hii msibeat around the bush.... Nawajua wapinzani ambao wanafanya biashara zao freesh tu: Ndesamburo: The hotel tycoon pale moshi, dar na kwingineko , hivi umesikia lini watu...
 13. K

  Matatizo ya Tanzania na mapendekezo ya wana JamiiForums

  Ideally mwanakijiji you are right kuwa kile aliye mtanzania kwa vigezo vyovyote vile lazima na ni wajibu wake kikatiba kuenjoy national cake, hili lipo wazi halikuhitaji shule yeyote, I am afraid you are lost in the details 1. Mfano wako wa Professa Lipumba uko wrong: - Sina shaka na elimu...
 14. K

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Leo Arsenal wamepigwa bao kama watoto! NNE MOJa! DUH NA MANCHESTER ANAENDELEA KUMKUNG'UTA BLACKBURN....
 15. K

  Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

  I can understand why inakuwa tabu kwa 'wapiga kelele wa ukabila' kutoa contacts zao. Unlike the TRA guys, these JF members need to maintain their anonymity kama wanavyotumia nick names hapa, kwa hiyo hawataki sauti zao zisikike humo redioni! Labda Mkjiji awapatie namna nyingine ya wao...
 16. K

  Mbowe na tafakuri zake...

  Naam, 1. Kwa namna hii thread ilivyokwenda, wanabodi wanaweza kunielewa kwa nini kila mara huwa nnasema kuwa .. among the Chademas I know so far, Mwanasiasa is their presidential material. Mmeshuhudia alivyo tofauti na wengine katika kujenga na kukabili hoja kwa hoja. Keep it up Mwanasiasa. I...
 17. K

  Mbowe na tafakuri zake...

  Dr.WHO kaweka wazi kuwa hii ni kumpa nafasi huyu Rais au washabiki wake kuweka records clean. Sasa unless there is something to hide.. this is your chance to straighten things up!
 18. K

  Mbowe na tafakuri zake...

  Duh, Baadhi ya wajumbe wanashangaza kweli kweli. DrWHO kishaanzisha threads kibao tu kuhoji maswali kuhusu watu mbali mbali maarufu. Nlizozipata kwa haraka haraka humu ni hizi: RITA MLAKI http://www.jamboforums.co.tz/showthread.php?t=2281 PIUS MSEKWA...
 19. K

  Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

  Lunyungu ''ya Tunduru'' Ni Yapi Hayo Yanayomshinda Rais? Hivi Jk Anapofanya Jitihada Katika Jumuiya Ya Kimataifa Kama Mwakilishi Wa Sadcc Hilo Ni Tatizo. Mambo Mengine You Have To Put Politics Aside Kweli.... Mugabe Anahitaji Kuelezwa Alichofanya Ni Makosa, Wananchi Wake Wanataabika...
 20. K

  Ukiwaona Ditopile Kills a DalaDala Driver!

  MKJJ Wasiliana na ofisi ya DPP, kwani huu uoga wa nini si unyanyue tu simu piga omba maelezo nk Huu ni utawala wa uwazi na ukweli as we are committed to good governance you have right to access the information. Mpigie Bwana Kaduri akupe maelezo unayotaka.. as to your accusation, mh...
Top