Search results

 1. MURUSI

  Niliyoyashuhudia kwenye mkutano wa injili wa Mwamposa Moshi

  Nilifanikiwa kuhudhuria mikutano miwili siku ya Ijumaa na Jumamosi. Kuna vitu nilivishuhudia ambavyo kwa kweli kama Wakristo tunapotoka sana. 1. Kwenye mkutano hakuna aliyekuwa amebeba Bible-Hiki ndo kitabu cha mwongozo kwa Wakristo ila pale sijaona mtu mwenye bible. 2. Mtumishi alivyo mkuwa...
 2. MURUSI

  Brela wanazingua sana Online Registration

  Nimefanya Regstration nimefikia sehemu ya kulipia na nimelipa baada ya hapo naona kimya. Nikituma email hawajibu. Kuna mwingine alisha kutana na tatizo kama langu? Sent using Jamii Forums mobile app
 3. MURUSI

  Wamiliki wa NBC, yaani ABSA ndio walioinunua Barclay Africa

  Kuna watu wanachanganya mambo mara Barclay kainunua NBC, BarclayAfrica hajawahi kuinunua NBC bali NBC ilinunuliwa na ABSA ya South Africa. Hawa ABSA ndio sasa wameinunua Barclay Africa. Pia kuweka record sawa Barclay Africa ndio imeuzwa na sio Barclay International ile ya Uingereza. Barclay...
 4. MURUSI

  Msaada: Tatizo la UTI limeisha lakini bado mkojo unaendelea kuchoma na kuwasha

  Habari wakuu. Nilikuwa na shida ya UTI kwa muda ilinisumbua nikaja nikatumia dawa hasa za mitishamba ikaisha maana za dukani zilidunda zote. Shida ni kwamba bado mkojo unakuwa unachoma ila nikipima no UTI. Nimeshapima hadi hospitali kubwa inaleta negative. Je, nini tatizo? Msaada please Sent...
 5. MURUSI

  José Eduardo dos Santos, mwisho wa ubaya ni aibu

  Tunawaambia siku zote kwamba watu wakue kuna mwisho, na gharama za mabaya zitalipwa hapa hapa Bongo. CCM hawajifunzi hata kwa yanayoendelea huko Duniani. Wanaamini wanavyoamini wanaamini hii nchi ni yao. Bint wa José Eduardo dos Santos aliyekuwa Rais wa Angola ameanza kuandamwa na Utawala...
 6. MURUSI

  Hivi tunasubiri watekwe wazazi wetu, watoto, waume au wake zetu ndio tujitokeze?

  Kitu tusichokijua hii triend ya utekaji huenda mbali zaidi kiasi kwamba unaweza kuta hata level ya kijiji Mtendaji akaanza kuteka wale wanaomkosoa na anajifunza wapi? Anajifunza juu. Usishangae hata makazini watu wakaanza kutengenezeana mbinu za kutekana kisa tu wanawekeana mizengwe makazini...
 7. MURUSI

  Kilindi, Tanga: Wakina mama wajifungulia vichakani kutokana na ubovu wa barabara

  Aisee kuna mambo yanasikitisha sana nchi hii, huwezi amini ni nchi inayonunua ndege kwa cash. Dah! ======== Wakazi wa Kilindi Asilia wilayani Kilindi mkoani Tanga wanalazimika kujifungulia vichakani kutokana na ubovu wa barabara inayoelekea kituo cha afya, ambayo imeharibiwa na mvua...
 8. MURUSI

  Tetesi: Tunashukuru kwa Serikali kumalizana kabisa na Mkulima wa ndege

  Habari za weekend? Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na malipo yalikamilishwa Jumanne iliyopita, na ni madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia sasa. Cha kushangaza kidogo...
 9. MURUSI

  Kuna 'plundering' inaendelea kwenye shule na watawala wapo kimya

  Janauary inakaribia na watoto waanze shule wale wanaoanza Form 1 na wale wanaoanza Standard one. Ila kuna uharamia wa wazi wazi kabisa unafanyika na wakuu wako kimya kabisa. 1. Watoto kuambiwa wapeleke zana kama majembe, mafyekeo, panga. Kila mwaka hivi vitu hupelekwa na Form 1 na shule...
 10. MURUSI

  Kuvaa wigi au Brazilian Hair Kanisani, Je huwa kuna Mungu anahubiriwa kweli?

  Wigi au nywele za bandia, kucha za bandia na kope za Bandia hivi sio tu kwamba ni urembo bali ni kumsahihisha Mungu alie kuumba. Nitawaunga mkono hao wamini kama watavaa wigi la nywele za kiafrica au kucha za kiafrica. Kitendo cha kuvaa sijui Brazilian Hair au Indiani hair ni kwamba Mungu...
 11. MURUSI

  Awamu hii Spika wa Bunge ni kama Mlinzi wa Rais au Sekretari wa Rais

  Kuna mihimili mitatu ingawa mmoja ni mkubwa yes ila haindoi dhana ya Check and Balance. Nashindwa kuelewa kama Bunge kwa sasa linaweza isimamia serikali make miradi ya Serikali na Spika yupo anaibaliki hata kama itakuja kutokea Ufisadi au utata wowote ule. Kenya huwezi kukuta Spika anaandamana...
 12. MURUSI

  Reinhard Bonnke, mmoja wa wahubiri wakubwa waliotikisa dunia, amefariki

  Reinhard Bonnke nadhani kizazi cha miaka ya 1990 hadi 2000 mwanzoni watakuwa wanamjua vyema huyu mhubiri ambaye mikutano yake ilikuwa inatikisa vilivyo. RIP ====== German Pentecostal evangelist, Reinhard Bonnke who is principally known for his gospel missions throughout Africa is dead aged 79...
 13. MURUSI

  Ripoti: Njia pekee ya kukomboa South African Airways (SAA) ni kuliunganisha na shirika lingine

  Imeelezwa kuwa moja ya mipango ya kuokoa biashara hya Shirika la Ndege la Afrika Kusini (SAA) ni kuliunganisha na Shirika la ndege la Ethiopia lenye mafanikio, kwa lengo la kukuza biashara ya usafirishaji kwa pamoja. Mapendekezo hayo yalitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa SAA Vuyi...
 14. MURUSI

  Dagaa kwa lugha ya Kiingereza

  Wakuu mwenye kujua dagaa kwa kizungu wanaitwaje anisaidie. MICHANGO YA WADAU:
 15. MURUSI

  Russia’s Nuclear Tsunami Apocalypse Torpedo is Named 'Poseidon'

  Urusi anawaza mbele sana, kwa sasa ana Russia’s Nuclear Tsunami Apocalypse Torpedo is Named 'Poseidon'. Hii ni kwamba ikidondondoshwa Km kadhaa kutoka Pwani inapeleka kilio kikubwa sana kwenye Pwani ya Audi. Hii ni ya kusababisha Tsunami tu yenyewe inapigwa majini, inadondoshwa majini na...
 16. MURUSI

  Kwanini Russia hataki kuwekeza kwenye Aircraft Carrier kama USA?

  Watu wengi sana wamekuwa wanajiuliza hilo swali na kuona kwamba kitendo cha kuto kiwa na hizo aircraft carrier ni kosa kubwa mno kwa Urusi. Billi Clinton, Rais wa Zamani wa USA aliwahi kusema kwamba Endapo kutatokea Vita kubwa cha kwanza USA watakacho jiuliza ni je ziko wapi aircraft carrier...
 17. MURUSI

  Wanaolia bei ya mahindi ipo juu ni wakulima na wanaoitwa wanyonge

  Tunataka kuaminishana kwamba wanaolilia bei ni watu wa mjini. Hapana, ni wakulima, wa vijijini tena. Watu wa mjini wanaweza mudu bei ya mahindi ila kijijini sio rahisi kabisa. Pia Rais atambue kwa sasa mahindi yanauzwa na wafanya biashara na wala sio wakulima. Hakuna mkulima mwenye mahindi ya...
 18. MURUSI

  Nionavyo: Upatikanaji wa taarifa za rushwa ndio umekuwa mgumu awamu hii, na wala sio rushwa kupungua

  Wakuu hebu tutathimini hili ni kweli kabisa rushwa imepungua awamu hii? Zile idara vinara wa rushwa zimeacha? Police rushwa imepungua? Uhamiani rushwa imepungua? Mahakamani? TRA? Taasisi kama TBS na kwingineo je rushwa imepungua? Kwa mtazamo wangu taarifa za Arushwa ndio upatikanaji wake...
 19. MURUSI

  Idara za kivita ambazo Urusi anaendelea kuogopwa hadi kesho

  Urusi yuko pekee na NATO ni Ulaya plus USA na Canada ila Urusi anabakia kiwa tishio mno kwa NATO yote. 1. Nyambizi - Inaaminiwa Urusi ndo kiongozi wa nyambizi, linapokuja suala la Submarine Russia hapo ndo uwanja wake wa nyumbani. 2. Makombora ya masafa marefu - Urusi pia hapa anaendelea kuwa...
 20. MURUSI

  Wazazi wanachangia sana kuua future za watoto wao. Elimu sio kila kitu

  Vuta picha mkiwa Primary school au Secondary enzi hizo. Kuna watu walikuwa ni wakiambiaji balaa leo hii wangekuwa wanashindana na wakina Bolt wa Jamaica, Ila where are they? Wazazi waliaminisha kwenye kusoma na leo hii wengine labda ni madereva na wengine hawana hata future tena. Vuta picha...
Top