Search results

 1. E

  Namna ya kuweka website / system yako ya website kwenye internet

  Je una website iliopo offline? na unataka kuiweka kwenye intenet? pata msaada wako hapo WA BURE pia kwa wanaojua mnaweza kuchangia na kunikosoa!. Kwa mtazamo wangu naona kuna njia mbili kuuu. 1)Kutumia server ya bure(Japo kuna faida na hasara zake) Mifano ya server za bure(Ntazitaja kadhaa lakin...
 2. E

  Njoo nikupe msaada wa bure wa website na wordpress

  Je ikiwa unahitaji msaada wa maelekezo kuhusiana na yafuatayo uliza na utasaidiwa bure 1) Msaada kuhusu website (iwe ni kiushauri) 2) Chochote kuhusu Wordpress 3) Chochote na php au laravel 4) Python Nitakusaidia kadri ya uwezo wangu. Kwa bure kama unadhani ni siri njoo uni PM. Pako wazi kwa...
 3. E

  Idea for jf

  Hey mambo nimekuja hapa kudiscusss swala moja la idea from nowhere kwamba kumekuwa na wimbi kwamba watu wana double accounts! So mimi nlichokua nafikiria kwamba kungekuwa na "MACHINE LEARNING" ambayo ingekua ina zitaja accounts ambazo zimejirudia japokuwa accounts huku ni SIRI bado hiyo...
 4. E

  Nataka kujua kama kuna sheria juuu ya kuanzisha company ya it.

  Habari wanasheriana wengineo wa MMU .Mimi ni mdau wa mambo ya technologia na pia nina ka ujuzi kidogo. Nimekua na maswali mengi sana kichwani pangu kuhusu mambo ya sheria kuhusu mambo ya technical.Mimi swali langu kuuuubwa ni kwamba "Je kuna sheria katika kuanzisha makampuni ya ict mfano vile...
 5. E

  Swali kwa ma player na watu watu wagumu. kama wewe sio mgumu au player usisome

  Jaman habari zako? maaana najua akat unasoma uko mwenyewe!. Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kupendwa na mdada mmoja hapa jirani juzi alianza kuonyesha dalili kitambo.Mfano nikikutana nae anikumbatia kwa nguvu anafrahi ana changamka sana!. lakin mimi kusema kwel ndo walaaaaaaa...
 6. E

  Jaman naitaji binti(19-23) wa arusha

  Mambo vipi jaman natamani kuwa na gf wa arusha Masharti Ataeka mwenyewe either strings attached au A friend with benefit Kuhusu mimi nina miaka 23 Nasoma Chuo flani hivi Hapa Arusha Usogope karibu kuni pm
 7. E

  Anaejua kifurushi cha vodacom(uni-ofa) cha chuo aje tuongee hela zipo nje nje

  Jaman habari naitaji mtu ambae anaweza kunsaidia kujiunga niwe nasajili watu kifurush cha university offer .Mambo ya Hela tutaongea zaidi unaweza ukafanya kucoment au ukanitext tu (0753395920) Nina shida nayo kwa kweeeli
Top