Search results

 1. FrediusSnowden

  Gazeti la UHURU Desemba 14: “Hali inaruhusu vyama vingi nchini – Nyerere.”

  Kama unakumbuka vizuri mnamo DESEMBA 13 mwaka 1991 Mwalimu Julius Nyerere alizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Msasani, Dar es Salaam, juu ya kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini ambao ulianza mwaka 1992. Baada ya mazungumzo yale pale nyumbani kwake, Siku iliyofuata...
 2. FrediusSnowden

  Gazeti la UHURU Desemba 14: “Hali inaruhusu vyama vingi nchini – Nyerere.”

  Kama unakumbuka vizuri mnamo DESEMBA 13 mwaka 1991 Mwalimu Julius Nyerere alizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Msasani, Dar es Salaam, juu ya kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini ambao ulianza mwaka 1992. Baada ya mazungumzo yale pale nyumbani kwake, Siku iliyofuata...
 3. FrediusSnowden

  Inaitwa zoea nanga kabla haijanoa; mwanasiasa sio tunda bado tunangoja.

  Wasalamu, Ngoja ngoja inang'ata taifa ila bado hatujashtukia. Matusi mengi tunapewa na kuambiwa kwamba kizazi hiki ni cha mjusi; bado hakijasimama kijasiri kupigana. Niwazi kwamba moyo huu bado hauna tiba! Je kuna saa moja uliona muda ni mwanaharamu hauna maana kwa zama hizi? Pale mwanasiasa...
 4. FrediusSnowden

  ARUSHA: Mgombea Udiwani Kata ya Kiutu Bahati DAVID avamiwa na kuporwa fomu ya rufaa

  "Mgombea Udiwani Kata ya Kiutu Bahati David.Jana 24/8/2018 alivamiwa na kupigwa ktk jengo la Halmashauri ya Arusha na kuporwa fomu ya rufaa aliyokuwa anarudisha baada ya kuenguliwa kihuni katika uchaguzi huu.Piki piki waliyokuwa wanaitumia imeharibiwa vibaya na gari ya watekaji. "- Godbless Lema...
 5. FrediusSnowden

  Baada ya kujiunga kwenye makundi sogozo mke haambiliki

  Wakubwa habari.. Ni muda sasa umepita (mwezi) ambapo baada ya mke wangu kuwa anajipaka kitunguu maji sirini na kubadilisha mikao wakati wa kushirikiana ndoa nilikuja kugundua kuwa amejiunga kwenye makundi whatsapp. Nilibaini kuwa huko kundini wanajadiliana na kufundishana masuala ya mapenzi...
 6. FrediusSnowden

  Tafakari baada ya habari ya TBC wametulisha tango!

  Ni pale jamaa alipodai kuwa Ibrahim ametoa Ishmael kama sadaka na kushushwa kondoo. Mimi nijuavyo ni Isaka.. Fredius Snowden, 5th Avenue Madson, NY758, USA
 7. FrediusSnowden

  Tafakari baada ya habari ya TBC wametulisha tango!

  Ni pale jamaa alipodai kuwa Ibrahim ametoa Ishmael kama sadaka na kushushwa kondoo. Mimi nijuavyo ni Isaka.. Fredius Snowden, 5th Avenue Madson, NY758, USA
 8. FrediusSnowden

  Tafakari baada ya habari ya TBC wametulisha tango pori!

  Ni pale jamaa alipodai kuwa Ibrahim ametoa Ishmael kama sadaka na kushushwa kondoo. Mimi nijuavyo ni Isaka.. Fredius Snowden, 5th Avenue Madson, NY758, USA
 9. FrediusSnowden

  News Alert: US Air Force zooms ahead on 2 new hypersonic weapons plans

  The arms race is picking up considerable speed, and the United States doesn't want to get left behind. Over the past four months, the U.S. Air Force has awarded two contracts for hypersonic weapons worth a maximum of $1.4 billion to aerospace giant Lockheed Martin. The first contract...
 10. FrediusSnowden

  Mollie Tibbetts, missing Iowa student, found dead, sources say

  The body of missing college student Mollie Tibbetts was found Tuesday, her father and two sources told Fox News, bringing an end to an intensive search that lasted more than a month and captured national headlines. A law enforcement source told Fox News the body was found in Iowa, but more...
 11. FrediusSnowden

  Mwl Julius Nyerere alikataa kukaa meza moja na Idd Amin kwasababu Amin alikuwa muuaji

  “Siwezi kuchangia meza moja na mwuaji aliyeloa damu” alitamka Rais Nyerere, ulimwengu wote ukamuunga mkono hata mgomo wake uliposababisha kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki! SWALI: Ikiwa Nyerere alikataa kukaa meza moja na dikteta Idd Amin kwavile aliua binadamu takriban 350,000, Jumuiya...
 12. FrediusSnowden

  Baadhi ya swali ya kujiuliza ilikugundua ukweli wa asili yako

  Utangulizi Kabla ya kufanya uchambuzi huu wa wazi na kujikita ndani kabisa kuna mambo ya msingi ya kujiuliza kabla ya kuchimba Zaidi, kwanza fahamu kwamba kutafuta ukweli juu ya jamii yako au dini yako sio dhambi ni moja kati ya njia ya kujitambua na kumwamini Mungu wako wa Kweli. Kama...
 13. FrediusSnowden

  Yanayoendelea nchini na msemo wa 'ukimfukuza sana mjusi anageuka kuwa nyoka'.

  Nakumbuka msemo huu wa "UKIMKIMBIZA SANA MJUSI HUGEUKA KUWA NYOKA" na mambo ambayo yanaendelea hapa Bongo ni wazi pengine unashabihiana kwa namna fulani hivi.. Nakumbuka kipindi fulani nikiwa shuleni mwalimu wangu alipata kutuambia darasani, "..nyie vijana wa leo ni kizazi cha mjusi, hamjui...
 14. FrediusSnowden

  Ukweli juu ya hoja ya baadhi ya Waafrika ndio Waisraeli halisi.

  Niweke wazi kwanza ile nadharia yangu kwamba, "WAAFRIKA/WATU MWEUSI NDIO WAISRAELI HALISI; BALI SIO KILA MTU MWEUSI NI MUISRAELI" Kabla ya kujiuliza kuwa kwanini Katika historia ya mtu mweusi Mwafrika wa leo ime/tumejikita sana kuanzia biashara ya utumwa, ambayo ili ratibiwa vyema na Waarabu...
 15. FrediusSnowden

  Je, kuna sababu za msingi kwa Anunnak kuwa na kichwa cha tai?

  Comrades habari! Katika kitu ambacho kinasumbua dunia kwa sasa ni kufichwa/kuficha historia ya mtu mweusi. Ambapo kwa sasa historia ya Miungu wa Misri kuwa habari zinazochanganya sana jamii ya leo. Kuna nadharia ambayo ninafikiri kwamba jamii iliyoendelea miaka ile ni historia ya mtu mweusi...
 16. FrediusSnowden

  Baada ya 'utundu' wa mke wangu nimefanya tafiti na kugundua haya

  Habari za jioni wakuu... Binafsi kwangu ni vigelegele kwa wingi, mambo si haba mke wake angu ananitunza vyema. Tena leo amefanya mapishi motomoto kweli.. Najua utakumbuka juu ya wasiwasi wangu kwamba huenda ni limbwata au vipi? Nashukuru kwa walio nifungua macho na kunipa mawaidha kadhaa.. Sina...
 17. FrediusSnowden

  Safari za kuhama za wanaosemekana ni Waisraeli Weusi/ Wabantu

  Upande wa Kusini wa Afrika inajulikana kwa jina maarufu kama Afrika ya Juu. Ukisoma kwenye maandiko na vitabu mbalimbali vya kihistoria wanasema juu ya Misri ya Juu na Misri ya chini. Niweke wazi kuwa ukisoma au kusikia Misri yaa Juu tambua kuwa ni Misri ya Kusini na ukisikia au kusoma Misri ya...
 18. FrediusSnowden

  South African Advocate Dali Mpofu will lead a legal team to challenge the Zimbabwe elections outcome

  South African Advocate Dali Mpofu will lead a legal team to challenge the Zimbabwe elections outcome on behalf of the opposition MDC Alliance leader Nelson Chamisa. Mpofu confirmed to Sabc news that his team will include renowned Advocate Tembeka Ngcukaitobi. The MDC Alliance Legal Team...
 19. FrediusSnowden

  UJINGA: "Ajiona samaki kwasababu amezungukwa na maji?"

  Habari za leo wakuu.. Naomba tufikirishane masuala.. Ni hii leo pale Mbeya, ambapo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Rungwe, Mbeya kimemfuta uanachama na kumvua udiwani wake wa Kata ya Kambasegela, Kiswigo Mwakalebela kwa kile ambacho kinadaiwa ni kukiuka taratibu na kanuni...
 20. FrediusSnowden

  TARIME: Mbunge Esther Matiko apigwa, aumizwa vibaya sana na Polisi. Mwandishi wa Tanzania Daima apigwa akiwa kazini

  "Wakuu hali inayoendelea Tarime inatisha Mh Matiko kapigwa vibaya. Sala kunusuru taifa. Nitawajuza zaidi...!" Sala ni muhimu, kusimama ni lazima. Tumepata fursa ya kumwona Mbunge Esther Matiko ( Tarime Mjini ). Ameumizwa sana baada ya kupigwa ( akiwa chini ya ulinzi ). Askari Polisi aliyempiga...
Top