Search results

 1. Donatila

  Shilingi imegeuka, sasa wadada wananunua penzi

  Wakuu wazima... Sasa shilingi imegeuka upande wa pili, ikiw na maana sasa wadada wananunua penzi. Hapo awali shilingi kabla haijageuka, vidume walipata tabu sana. Yani kama huna senti basi kwisha habari yako, ila sasa ngoma droo. Saivi hata kama huna senti kidume wewe shoo yako iwe karee tu...
 2. Donatila

  Aris TPSC Dar kwanini mnabadili matokeo ya wanafunzi?

  Habari wakuu, Nina mtoto wa ndugu yangu namsomesha Chuo Cha Utumishi wa Umma Dar (TPSC) kimezoeleka kwa jina la Magogoni.. Ni mara ya pili matokeo ya mtoto wa ndugu yangu yamebadilishwa.. Nimeona nilete huku maana wahusika hawataki kufanyia kazi. Pia sio huyu mtoto wa ndugu yangu tu anasema...
 3. Donatila

  Wema, kupungua mwili sasa basi. Utakuwa mifupa

  Habarini... Kiukweli murembo Wema alikuwa likibonge hadi akapoteza muonekano. Mimi pia sikupendezwa na ubonge ule...ila sasa dada amepungua sana na kufikia kuwa mifupa a.k.a kimbaumbau... Hapo awali tetesi zilisema kuwa murembo aliamua kwenda kukata utumbo ili apungue na kuwa mwembamba. Kwa...
 4. Donatila

  Wanaume wanaojituma wanapungua, nini kifanyike?

  Habari wakuu, Twende kwenye mada... Husika na kichwa cha habari hapo juu, Ni kwamba nimekuwa nikiangalia namna ambavyo vijana wa kiume wa sasa na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi... Utakuta vijana wa kiume hawajitumi katika kufanya kazi kwa bidii ili wajiingizie vipato na badala yake...
 5. Donatila

  Nimerudi tena, JF patamu

  Wakuu habarini... Nimewamiss sana... Nimerudi humuu...habari za huku tamuu..comment za humu tamu...wadada wa huku watamuu...wakaka wa huku watamuu...yani mambo yote JF matamuu... Donatila...
 6. Donatila

  Nini kinasababisha Lady Jaydee atake kujiua?

  Wakuu, Kama mjuavyo Lady Jay dee ni msanii mkongwe hapa nchini Tanzania. Na amekuwa akifanya vizuri katika muziki huu wa Bongo. Katika vitu nilivyojifunza kwa mwanadada huyu mkongwe wa muziki ni pamoja na kuumizwa na mapenzi. Maana mara nyingi amekuwa akiimba nyimbo za mapenzi zenye ujumbe...
 7. Donatila

  Kwanini watoto wengi wa nje ya ndoa hufanikiwa kimaisha?

  Wakuu habarini, Nilikuwa mahali fulani mara mjadala ukazuka juu ya watoto ambao wanazaliwa nje ya ndoa kufanikiwa kimaisha. Mimi nikawaambia binafsi pia nimewaona watoto wa hivyo wengi tu wakiwa na maisha mazuri ila natamani nijue ni kwanini... Mmoja kati ya waliokuwapo hapo akasema hata...
 8. Donatila

  Tujuzane majina waliochaguliwa kusoma diploma TPSC 2018/2019

  Wakuu, Naomba kujuzwa kama majina ya waliochaguliwa kusoma chuo cha utumishi wa umma TPSC Magogoni...kama yametoka... Asante...
 9. Donatila

  Jini mahaba chanzo cha wadada wengi kutoolewa

  Wakuu, Nimesimuliwa na rafiki yangu aliyeteswa na jini mahaba zaidi ya miaka 32... Yawezekana umewahi sikia kuhusu jini mahaba...mimi pia nilikuwa nikisikia watu wakimueleza na namna anavyomuoa mdada bila yeye kujua. Pia majini mahaba ambayo huwa na mahusiano na wadada na wanajua hata...
 10. Donatila

  Unajisikiaje ukikutana na mpenzi wa zamani?

  Wakuu habari, Katika mapenzi kunakuwa na utamu hasa pale penzi linapoanza ila penzi hilo huwa shubiri pale tu wawili hao wanapoachana. Yawezekana ikawa kwa mwanamke kumuacha mwanaume ila maranyingi wanaume ndio wanaacha sana. Pia kuna sababu nyingi tu zinazoweza kupelekea wapenzi hao kuachana...
 11. Donatila

  Upepo umebadilika: Wanawake saivi ndio wanahonga

  Habari wakuu, Baada ya vidume kuwa vigumu kuhonga sasa wanawake ndio wanahonga. Tena wanahonga haswa maana wanakulisha, kuvisha, kodi na gari la kutembelea. Zile kelele za kuhusu wanawake wanaomba pesa saivi zimekwisha maana vidume vinapewa pesa na wanawake. Uzuri ni kuwa wanawake wao...
 12. Donatila

  Mwanawake kuishi na wdogo wa kike kwenye ndoa ni kumtega mmeo

  Wakuu, Naomba tujadili hii dhana ya wanawake kuishi na wadogo zao wa kike kwenye ndoa zao. Kama mjuavyo familia nyingi za kiafrika kuna utegemezi, hivyo hufanya kati ya mke au mume kuishi na ndugu zao. Utakuta mke ana mdogo mkaree hatari kuliko yeye alafu anamleta kwake, na mjuavyo mavazi ya...
 13. Donatila

  Stuka: Mapenzi ya 'kishirikina' ndio habari ya mujini

  Wakuu, Nipo mahali napata fanta ya baridi...na kiyepe yai...naona udenda ushakushuka... Tuache hayo njoo kwenye mada. Mbele yangu kuna meza imejaa wadada wa mjini wametupia pamba kali hatari. Nasikia mmoja anasema mh! Yani yule kaka nimempa mara moja tu kachanganyikiwa.. Wakacheka...
 14. Donatila

  Aibu: TCRA Fay tanzania mambo ya anayofanya hamuyaoni?

  Wakuu, Naandika nikiwa na donge/uchungu rohoni , ni hivi kuda mdada anayejiita Fey tanzania instagram. Huyu mdada amekuwa akionyesha mambo ya kitandani hadharani katika acc yake ya insta iitwayo Fey-tanzania. Amekuwa akijifanya anafunda watu huku akiwa anadhalilisha maadili ya kitanzania...
 15. Donatila

  Wadada kuingiza wanaume kwenye vigeto vyao ni zaidi ya ukahaba

  Nimerudi... Wazima huku... Maadili ya kina dada yanazidi kuporomoka. Hivi ni nani aliyewaloga ninyi wadada... Inasikitisha sana kuona baadhi ya wadada wamepanga nyumba zao na kukaribisha midume waishi nao. Hivi ndio kusema mnapenda sana naniliu! Au ndio kukosa kuolewa! Yani kama huku...
 16. Donatila

  House boy wanavyokula wake za watu kiulaini

  Wakuu za usiku, Kubali kataa ila ndio ukweli lazima usemwe... Kumekuwa na tabia siku hizi ya wanaume kujichelewesha kuoa kwa makusudi wakisema bado wapowapo... Wakija kuoa wao damu zimelala na wake zao zinachemkaaa... Maana wanaoa wadada wabichi huku wao umri umesongaa... Wanaume wengine...
 17. Donatila

  Wimbi la wadada wa sasa kuzaa bila kuolewa chanzo ni nini?

  Wakuu habari, Kumekuwa na wimbi kubwa la wadada wa sasa kuzalia nyumbani. Wapo waliopata mimba kwa bahati mbaya..na wapo ambao wanaamua kuzaa tu kwa kuona umri umeenda. Tujadili kwa undani... Je chanzo cha haya yote ni nini? Kwanini wadada hawaolewi? Doncute
 18. Donatila

  Kufanya mapenzi na mdada anayejichua ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu

  Wakuu za mida, Jamani nililiyiyasikia leo huko kwa daladala nilijikuta natega sukio japo umbea sipendi...ila ni suna kwa mwanamke. Sasa bwana kulikuwa kumekaa wakaka wawili nyuma yangu... Nikasikia mmoja akimwambia mwenzake kuwa demu wangu ninamkamua ila wapi...hafiki kileleni.. Mwenzie...
 19. Donatila

  Wanaume tuseme ukweli: Mwanamke akijifungua mapenzi mnafanya wapi?

  Wakuu habarini, Leo naomba kufahamu ukweli kuwa kipindi ambacho mwanamke anakuwa amajifungua wanaume mnfanyaje. Mseme ukweli maana kuvumilia sio rahisi maana ulizoea kupewa mara kwa mara sasa imekatishwa paa! Kipindi cha uzazi mwanamke anakuwa anapumzika kwa muda fulani. Wengine...
 20. Donatila

  BUKOBA: Mabweni ya chuo cha Lake Zone yateketea kwa moto

  Chuo cha udereva cha Lake Zone Bukoba mkoani Kagera kimeteketea kwa moto ktk mabweni ya wanafunzi. Taarifa zaidi kukujia
Top