Search results

 1. Kasinja jr

  Umesema kimoja dogo toka umo ndani 😂😂😂

  Pale Maeneo ya Mabatini mwz inasemekena awa madada uwa wana Mabausa kabisa.. Na hela unaacha mlangoni na mabaunsa wanasikiliza rhythm zako.. Utasikia Umesema kimoja dogo toka umo ndani 😂😂😂
 2. Kasinja jr

  Mchezaji Bora wa Dunia wa Muda wote

  Dani Alves amekuwa mchezaji wa kwanza kwenye soka kushinda na kubeba makombe 40 uhakika hakuna anayemfikia kwa mafanikio, 6️⃣ La Liga⁠ 5️⃣ Spanish Supercup⁠ 5️⃣ Copa del Rey⁠ 4️⃣ European Supercup⁠ 3️⃣ Champions League⁠ 3️⃣ Club World Cup⁠ 2️⃣ Europa League⁠ 2️⃣ Ligue 1⁠ 2️⃣ French Supercup⁠ 2️⃣...
 3. Kasinja jr

  Wanakagera ebu tuzungumzie kidogo kuhusu hifadhi ya Taifa BULIGI ambayo kwa uelewa wangu ninajua kuwa ipo wilaya ya biharamulo

  Wanakagera ebu tuzungumzie kidogo kuhusu hifadhi ya Taifa BULIGI ambayo kwa uelewa wangu ninajua kuwa ipo wilaya ya biharamulo mkoani kagera. Lakini kwa Sasa imehamishiwa mkoa wa GEITA wilaya ya chato na imepewa jina la hifadhi ya BULIGI-CHATO ivi kweli wahaya wenzangu na wanamkoa kagera hamuoni...
 4. Kasinja jr

  Yule dada alimuambia itakuwa kumbukumbu yake kumbe askofu alipoenda kuoga dada alijifowadia

  Jimbo la kawe aisee watatoana roho Video ya pili nimeiona leo
 5. Kasinja jr

  Yaliyonikuta Dar es salaam, sitarudia kieleele cha kusaidia aliyeachwa na Mme wake

  Nimeshuka kutoka ktk DalaDala ili niende zangu kwa Anko maeneo ya Masaki . Nilipo kuwa njiani nikaona gari aina ya mercedes benz likapaki pale nje, nilipokuwa bado nashangaa uzuri wa gari lile, kukashuka jamaa mmoja hivi amekaa kihasara hasara, kisha akaanza kwenda huku amekasirika. Mara...
 6. Kasinja jr

  Naomba ushauri wa haraka kuepuka kesi hii inayonikumba ya Ubakaji

  Juzi ijumaa nilikutana na mtoto mkali kwenye club tukakubaliana kwamba Jumamosi aje kunitembelea. Sasa kuanzia saa saba Jumamosi nikaanza kutumika imenitoka Tsh. 60,000 kuanzia vinywaji, nyama aina ya mdudu na usafiri bajaji Tumekubaliana kupiga show ya kibabe, kumbe yeye nia yake ale vyangu...
 7. Kasinja jr

  Kibaha, Pwani: Mtoto ameokotwa jirani na ofisi za NIDA

  Ameokotwa usiku wa tarehe 25 Februari 2019 na bodaboda pale NIDA Kibaha. Yupo Tumbi hospitali, yupo salama kiafya ila tu alikuwa amechoka sana kwa njaa na jua Kama kuna mtu ana taarifa kuwa kuna ndugu, jirani, jamaa aliyekuwa amejifungua karibuni na sasa hana mtoto tafadhali toa taarifa Polisi
 8. Kasinja jr

  Wakuu uskani (Steering) wa gari langu umejifunga msaada wa haraka

  Jana baada ya mizunguko yangu, nikazima gari vizuri tu, sasa Leo naweka ufunguo kuwasha hata hauzunguki, Nikajaribu kuzungusha steling nasikia kama imebana haitoki, nikajua hapa steling imeloki, Msaada naifunguaje, Gari ni Voxy
 9. Kasinja jr

  Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

  Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es...
 10. Kasinja jr

  China Ready to Write off East Africa Community Debts in Exchange with Lake Victoria

  Chinese government is ready to write off huge debts for the East Africa Community in exchange with Lake Victoria for a period not exceeding 231 years. President Xi Jinping has urged African states to continue partnering with China in looking for moral and financial support and ignore the West...
 11. Kasinja jr

  Nimesema Britannica akihama CCM si pigo tu kwa ccm bali hata kwetu sisi tutakosa habari za vitengo

  Mara kadhaa katupatia madini huko Inbobo,.PM sasa nakumbuka Juzi alisema kwamba kuna safisha safisha zimekuwa kweli, Nakumbuka uzi wa Membe na Nape.kutumi kina akram.azizi kuhujumu CCM, baada ya siku akakamatwa akram. Kuna uzi wa Mfalme wa Beirut kwamba mkosoaji wa elimu yake aliliwa na chatu,
 12. Kasinja jr

  Four types of photographs! Define Siro photography

  There are four types of photographs 1.Aerial 2.Ground 3.Vertical 4. Siro photography Describe SIRO PHOTOGRAPHY Chit chat
 13. Kasinja jr

  Tulio wai kukopa ukweni hela tukutane hapa

  Zamani nilikuwa na aibu sana kukopa hela ukweni, Sasa siku moja nikaingia loss kazini nikaambiwa nilipe ndani ya masaa 24, Uko mama mkwe alikuwa kastaafu, amepewa pension 50+ millions, Wkati mi natakiwa nilipe 880,000 aisee ilibidi nimtume wife akope hahahahahaha na hakuchelewa, nami nilikuwa...
 14. Kasinja jr

  Je, umewahi kumwamini ndugu au rafiki wa karibu na akakutapeli mkwanja mrefu?

  Yaan usimwamini mtu, Hata kama ni ndugu, Nakumbuka mwaka 2001 nikiwa ufaransa namalizia masomo yangu,nikapata mchongo mkubwa wa hela, ni siri yangu sitasema, Nikaamua niweke mazingira ya kufungua kimradi maeneo ya muleba kagera, mradi wenyewe sitautaja ila ulikuwa planned kugharimu 12,000 USD...
 15. Kasinja jr

  Hivi msichana wa miaka 20 anaweza kuolewa akayajua majukumu ya ndoa?

  Habari zenu wazima wakuu? Nina umri wa miaka 29 nimepata mchumba Ana miaka 20, hii imekaaje kabla sijaendelea na hatua nyingine, Je kuna madhara ya kumuoa msichana wa umri uo? Pili kwa waliona uzoefu waliwahi kuoa wa umri huo je wanayamudu majukumu ya family? Naomba ufunguke itanisaidia sana hii
 16. Kasinja jr

  Msaada wenu juu ya masuala haya kuingiza gari toka Zanzibar to dar es salaam

  Habari zenu, naomba kupata ujuzi kidogo, Naona magari mengi yanayoingizwa Tanzania bara kutoka Zanzibar, yanafanyiwa Registration upya, Nauliza je ni registration tu? Au na kodi unalipa upya kama mtu anayeimport kutoa Japan?? Pili nauliza hata kama kuna kodi upya labda, je calculation...
 17. Kasinja jr

  Sikuamini baada ya dakika 10 kuona zinaingia milioni 3.9, nusu ya gharama niliyokuwa nimegharamika kwa aliekuwa mchumba

  Kama mnakumbuka niliambiwa na mchumba ambaye nilimgharamia kila kitu eti nipige gharama zangu anirejeshee, nikapiga zilikuwa zaid ya milion 7 , nje ya materia things, kama simu kali na laptop kali, na duka nililokuwa nimemfungulia, Baada ya kunambia nipige gharama anirudishie nikasimamia hapo...
 18. Kasinja jr

  Asante mme wake alokuwa shemeji yangu narudishiwa gharama zote nilizogharamia demu

  Yaan hawa wadada usipokuwa kauzu, wataendeleza Tabia za kula vya watu na kusepa Ili ufanikishe ili inabidi ufanye yafuatayo kama nilokuwa nafanya, Sikuwahi kumkabidhi demu wangu hela mkononi, huwa natumia electronic transfer only Yaan M-pesa , Tigo pesa, Airtel money, Tuanzie hapa baada ya...
 19. Kasinja jr

  UTATA : Fedha za mtu aliyekufa zilizopo kwenye benki au simu hupotelea wapi ?

  Utasikia basi limeua wanne, pikipiki imeua sita au waliokufa Muhimbili wamefika 100 kwa mwaka jana ama meli ya Nungwi imeua 60. Na hao ni wateja wa M-PESA, Tigo pesa na Airtel money. Hela zao zinaendaga wapi? Kuna utaratibu upi wa kuwapatia survivorship au next of kin wao? ====== UPDATES: 29...
 20. Kasinja jr

  M-PESA si sehem salama kutunza hela yako

  Naanza an quote ya mdada anaitw a Grace Duh! Jamani the struggle is real!! Sasa hivi muda si mrefu nimenusurika kutapeliwa kupitia Mpesa. It was like this; Nimepokea sms inayosomeka hivi M-PESA 5BB315ZBN6H Imethibitishwa. Umepokea Tsh190,000.00 kutoka 255759725848- AMINA MSANGI mnamo 13/4/18...
Top