Search results

 1. Mgambilwa ni mntu

  Mwanza City: The Photo Gallery

  Nimefurahi sana kuona mandhari ya awali ya Mji wa Mwanza ulioanzishwa na Wajerumani mwaka 1890. Mji huu ulianza kukua kwa kasi baada ya kuunganishwa mwaka 1928 kwa Reli ya Kati, junction ya Tabora - Mwanza. Aisha, kilimo cha pamba kilichoshamiri Kanda ya Ziwa baada ya WW II (1940s) kiliukuza...
 2. Mgambilwa ni mntu

  Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

  Ni za kijiweni coz naelewa nguvu ya shirika letu changa kulinganisha na Fly Emirates. Ulivyo mtupu hujui Tanzania tuna ndege ngapi kubwa za kuruka masafa marefu kulinganisha na Emirates. Emirates kwa Afrika tu inaruka kwenye zaidi ya miji 30 sasa hao kuwa na direct flight za mbali ni kitu cha...
 3. Mgambilwa ni mntu

  Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

  Wewe mshamba kabisa nani kakwambia ndege zinazotokea Mwanza kwenda Ulaya zinaanzia hapo na si Dar es Salaam. Mnahoji kila kitu kinachofanywa na Serikali ili muonekane mna uelewa kumbe ni empty. Unaweza kuniambia ni Mashirika mangapi ambayo yana ndege zinaruka miji miwili tu kama unavyotaka...
 4. Mgambilwa ni mntu

  Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

  Ndugu nimeona wewe hujui mashirika ya ndege yanavyojitahidi kupunguza gharama za uendeshaji. Sasa hivi mashirika mengi yana ushirikiano unaosaidia abiria kuunganisha flights kupitia mashirika rafiki (alliances). Mfano kwa kuwa ndege ipo ya kutoka Harare kupitia Lusaka had Dar, hao hao wanakata...
 5. Mgambilwa ni mntu

  Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

  Wewe unaniuliza hata vitu vyenyewe huna uhakika navyo. Nalifahamu vyema eneo la Ruhr kuliko unavyoweza kufikiria ndugu yangu. Kujua tu kuwa hiyo ni miji yenye viwanja vikubwa ilifaa ikuonyeshe jinsi ninavyolifahamu eneo hilo. Sikutaja viwanja vya Essen Aachen wala Munster so nenda taratibu mzee...
 6. Mgambilwa ni mntu

  Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

  Mzee yote hayo ya nini sasa? Hivi ukisema mnada wa madini kujengwa Mirerani badala ya Arusha mbona hauongelei Soko jipya la dhahabu lililozinduliwa hivi karibuni na PM huko Geita? Mbona halikujengwa jijini Mwanza lakini hausemi? Kwa hiyo hapo utasema Rais anataka kuiua Arusha na siyo Mwanza pia...
 7. Mgambilwa ni mntu

  Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

  Gud observation but still naona umeshindwa kuona potentiality ya eneo la upande wa Magharibi ya Tanzania kuanzia Mbeya, Sumbawanga, Mpanda, Tabora, Singida, Kigoma, Shy, Kahama, Bukoba, Bariadi na Musoma. So, Ndege za ATCL za kutoka Mbeya zinaweza kupitia Iringa, Dodoma hadi Mwanza na nyingine...
 8. Mgambilwa ni mntu

  Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

  Ukitaka kukosoa chochote kile huwezi kushindwa mpaka muumba watu wana-question though muda mwingine ni out of curiosity. Hata hivyo usiseme kwa kuwa kuna kiwanja Mwanza hauwezi ukawa na kiwanja Geita achilia mbali Chato kwani eneo hili la Kusini Magharibi ya Ziwa Victoria lina biashara kubwa ya...
 9. Mgambilwa ni mntu

  Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

  Watu walishafanya research long mzee. Kanda ya Ziwa ina abiria wengi wanaokwenda Ulaya ndio maana hulazimika kwenda kwanza Dar na hivyo kujikuta wamezunguka. So kwa sasa hakuna kuzunguka. Na kulingana na taarifa za kiuchunguzi route ya Dar - Mwanza ndiyo ambayo huwa profitable katika route zote...
 10. Mgambilwa ni mntu

  Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

  Mbona unajichanganya ndugu? Hilo gazeti la Mwananchi ni langu?
 11. Mgambilwa ni mntu

  Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

  Nyie ndio mkipewa staili mpya na wenza wenu mnalalama kuwa umejivunzia wapi? Wakikupa za kila siku ooohh hauna ubunifu, haujui nini unataka ndugu.
 12. Mgambilwa ni mntu

  Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

  Jiji la Mwanza limeteuliwa na ATCL kuwa Kituo cha mwisho cha safari za ndege kutoka Tanzania kwenda Ulaya. Sababu ya kuteuliwa kwa Mwanza haijatolewa lakini uchunguzi wangu unaonyesha kuwa Jiji la Mwanza ndilo the northernmost kwa majiji yote nchini hivyo ni rahisi kwa ndege zinazokwenda nje...
 13. Mgambilwa ni mntu

  Edward Lowassa: Wanaoshindwa kuvumilia kuona wenzao wakihama vyama, wajifunike mablanketi huko waliko. Adai hahitaji ruhusa kuhama!

  President Magufuli is immensely faulting all who once considered him a weak politician. Probably he is among the best strategist statesman ever. Viva Magufuli and your Magufulication. If you can't defeat them then join them, simple tu yaani.
 14. Mgambilwa ni mntu

  Edward Lowassa: Wanaoshindwa kuvumilia kuona wenzao wakihama vyama, wajifunike mablanketi huko waliko. Adai hahitaji ruhusa kuhama!

  Mambo ni motoooooo..... Kila kitu balaaaaaa..... Naiona hiyooooo 2020 njia nyeupe.
 15. Mgambilwa ni mntu

  Edward Lowassa: Wanaoshindwa kuvumilia kuona wenzao wakihama vyama, wajifunike mablanketi huko waliko. Adai hahitaji ruhusa kuhama!

  Hatimaye yametimia. Lowassa aliwapa Chadema makavu live: Wanaoshindwa kuvumilia kuona wenzao wakihama wajifunike ..... Sijui Leo wamejifunika nini?
 16. Mgambilwa ni mntu

  Ili kutopotezwa na Upepo wa Magufuli: Wahadhiri UDSM waasa Upinzani kubadili Siasa zao za kuisuta Serikali na kushirikiana nayo kama Upinzani wa China

  Wasomi wa Siasa nchini walishaishauri Chadema kubadili uendeshaji wa siasa lakini wao waliwatukana sasa wajionee sasa.
 17. Mgambilwa ni mntu

  Wilbroad Slaa: Hakuna wa kumzuia Dk. John Pombe Magufuli mwaka 2020. Wapinzani wanaponzwa na kurukia kauli za viongozi badala ya ajenda

  Wilbroad Slaa alishayasema yote kipindi cha nyuma. Mgambo wanaruka na kukanyagana.... Everybody stand up...
 18. Mgambilwa ni mntu

  Dk Bana: Kuna tatizo ndani ya CHADEMA. Kama hawawezi kujifanyia tathimini, mimi niko tayari

  Dk. Banna aliwashauri kuwafanyia tathimini mkakataa. Haya sasa Lowassa kaondoka na wengine watafuatia. It's the matter of time.
Top