Search results

 1. E

  Namna ya kuweka website / system yako ya website kwenye internet

  Ndugu yangu BLOGSPOT sio website ni BLOG TU!
 2. E

  Namna ya kuweka website / system yako ya website kwenye internet

  Je una website iliopo offline? na unataka kuiweka kwenye intenet? pata msaada wako hapo WA BURE pia kwa wanaojua mnaweza kuchangia na kunikosoa!. Kwa mtazamo wangu naona kuna njia mbili kuuu. 1)Kutumia server ya bure(Japo kuna faida na hasara zake) Mifano ya server za bure(Ntazitaja kadhaa lakin...
 3. E

  Njoo nikupe msaada wa bure wa website na wordpress

  g_code, Sawa mkuu nimekuelewa nilichokuwa nimepanga kwamba nitamsaidia then nitaandaa muhtasari kwa ajili ya watu wote basi nitakachofanya nitaandaa muhtasari alafu akija ntamsaidia yeye kama yeye. Nitaweka hilo jibu punde kaaa chonjo!
 4. E

  Njoo nikupe msaada wa bure wa website na wordpress

  Nakuomba tusianike mchele kwenye kuku wengi. Tukutane INBOX!
 5. E

  Njoo nikupe msaada wa bure wa website na wordpress

  Ninachosema hapa ni kwamba mimi nipo tayari kujibu maswali yoyote ulionayo CHOCHOTE kuhusu website. Na ntakusaidia BURE pale ninapoweza
 6. E

  Njoo nikupe msaada wa bure wa website na wordpress

  Francilex, Sawa hiyo website nina maswali kadhaa: 1)Je ni aina gani? 2)Una hitaji server na domain lakini unakwama? Ili niweze kukushauri. Kama unahisi hayo maelezo huezi toa hapa usiogope kujibia inbox. (Lakin kile kikuu nitachokushauri ukiachana na mambo binafsi nitakuja kupost huku)
 7. E

  JF Expected Downtime: October 23, 2019

  Jaman kwa wale wana computer wenzangu leo uo mda majamaaa watafanya "Git push -u orgini master"
 8. E

  Njoo nikupe msaada wa bure wa website na wordpress

  Glas, Karibu nikusaidie. Swali la kwanza ningependa kukuuliza, je tayari una domain na server?
 9. E

  Njoo nikupe msaada wa bure wa website na wordpress

  Je ikiwa unahitaji msaada wa maelekezo kuhusiana na yafuatayo uliza na utasaidiwa bure 1) Msaada kuhusu website (iwe ni kiushauri) 2) Chochote kuhusu Wordpress 3) Chochote na php au laravel 4) Python Nitakusaidia kadri ya uwezo wangu. Kwa bure kama unadhani ni siri njoo uni PM. Pako wazi kwa...
 10. E

  msaada jamani mwenye ujuzi wa kutoa wordpress website kutoka kwenye local host kwenda kwenye server

  Ndio inawezekana hapa ukishindwa taaaaaaaaaaratibu njooo inbox ama nicheck @ chrisngure2599@gmail.com
 11. E

  Setup zangu zote hazi-run kwenye PC

  Yeah 0kb akija kwenye pc yako every kinda setup ata kama ili kua na gb moja zinakuwa na **0kb**
 12. E

  Setup zangu zote hazi-run kwenye PC

  Ainaitwa 0kb uyo katembelea pc yako anza kudownload upya! Na weka aunty klusiy
 13. E

  msaada jamani mwenye ujuzi wa kutoa wordpress website kutoka kwenye local host kwenda kwenye server

  Kama jamaaa hapo amekuchanganya ! Kuja nikusaidie just inbox me or check me at chrisngure2599@gmail.com kwa twentie yako tu!
 14. E

  Mkutano wa Mbeya bloggers, youtubers & affiliators

  Kama inawezekana tafazli post Online! Afu utupe Links!
 15. E

  Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

  Habari nina swali kwako naomba tukutane Inbobo!????
 16. E

  Idea for jf

  Kama ip ni Dynamic ngumu kujua! sizani kwamba ip unayopewa ni ile ile mayb Mac address
 17. E

  Idea for jf

  Sina uhakika! But just an idea
 18. E

  Idea for jf

  Hey mambo nimekuja hapa kudiscusss swala moja la idea from nowhere kwamba kumekuwa na wimbi kwamba watu wana double accounts! So mimi nlichokua nafikiria kwamba kungekuwa na "MACHINE LEARNING" ambayo ingekua ina zitaja accounts ambazo zimejirudia japokuwa accounts huku ni SIRI bado hiyo...
Top