Search results

 1. Roving Journalist

  TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

  Heshima kwenu wakuu, Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo siku ya Ijumaa saa 7:00 mchana PCCB House Upanga, ataongea na vyombo vya habari. Tutatoa updates kwa kila kinachojiri. ==== UPDATES: Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Takukuru akizungumza...
 2. Roving Journalist

  DC Mtatiro avitaka vyama vya Ushirika, akiba na mikopo kuzingatia Sheria na kuacha mazoea

  Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Ndg. Julius Mtatiro, amevitaka vyama vya ushirika na vyama vya akiba na mikopo kuzingatia taratibu na sheria katika utendaji kazi wao na kuacha kufanya kazi kwa kwa mazoea. Ndugu Mtatiro ametoa rai hiyo leo alipokuwa akifunga mafunzo ya siku ya tatu ya...
 3. Roving Journalist

  Dar: Madaktari wamuangukia Rais Magufuli, amwaga ajira 1,000 za Madaktari, aelezea alivyozimia siku mbili mbele ya Zainabu

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 20, Febuari, 2020 anazungumza na Madaktari pamoja na watumishi wa Sekta ya Afya katika Hafla Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Nchini inayofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere...
 4. Roving Journalist

  Tarime: Mwandishi wa Uhuru Dinna Maningu, awekwa Korokoroni kwa amri ya Mkuu wa Wilaya

  Mwandishi wa habari Dinna Maningu wa vyombo vya habari vya Uhuru Media Group kutoka, Wilaya ya Tarime mkoa wa Mara anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa mile kinachodaiwa kuwa ni amri ya Mkuu wa Wilaya ya Tarime. Taarifa zinadai kiwa Mwandishi Dinna alimfuata Mkuu huyo wa Wilaya...
 5. Roving Journalist

  Kesi na. 456 (Jamhuri v JamiiForums): Hukumu yaahirishwa kwa mara ya nne

  Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) ambapo Kampuni ya Oilcom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar imeahirishwa tena leo Februari 19, 2020 hadi Aprili 02, 2020. Hukumu hii awali ilipangwa kusikilizwa...
 6. Roving Journalist

  Ole Sabaya: Mbowe, nyumba inawaka moto na maridhiano yaanzie ndani ya chama chako

  Mkuu wa Wilaya ya Hai Mh. Lengai Ole Sabaya amemtaka Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe Freeman Aikael Mbowe kuanzisha maridhiano ndani ya chama chake cha chadema kabla ya kutoka nje kulalamika. Ole Sabaya amedai mbunge huyo anapaswa kutafuta maridhiano ndani ya chama chake kwanza...
 7. Roving Journalist

  Uzinduzi Wilaya ya Kigamboni: Rais Magufuli anazindua Jengo la Manispaa na Jengo la Mkuu wa Wilaya

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, 2020 anazindua Jengo la Manispaa ya Kigamboni na Jengo la Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni katika Eneo la Gezaulole Kigamboni Jijini Dar es Salaam Rais Magufuli akikata utepe wa uzinduzi wa Jengo hilo...
 8. Roving Journalist

  Mbunge Ibrahim Raza apata ajali, aangukiwa na mti

  Mbunge wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar, Ibrahim Raza amepata ajali Ya Kuangukiwa Na Tawi la Mti Wa Muembe. Kaangukiwa na mti maeneo ya Ngalawa Hotel iliyopo Bububu Zanzibar. Gari yake ndo iloumia mwenyewe Yuko vizuri ila kapata mshutko tu. Walikuwa katika mkutano. Stay tuned
 9. Roving Journalist

  Kijichi, Dar: Maafisa feki wa TAKUKURU, wakishirikiana na Polisi wadaiwa kumbambikia Kesi ya Rushwa diwani

  MADAI YA RUSHWA KWA DIWANI WA KIJICHI: MAAFISA WALIOHUSIKA SIO WA TAKUKURU Diwani wa Kijichi, Eliasa Kassim Mtarawanje VIDEO: Maafisa waliohusika katika video inayoonekana ikimhusisha Diwani wa Kijichi, Eliasa Kassim Mtarawanje (28) sio wa kutoka TAKUKURU. Baada ya kuwasiliana na mamlaka...
 10. Roving Journalist

  Shinyanga: Wananchi wachinja na kugawana nyama ya fisi aliyekuwa akizurura Kata ya Ngokolo

  Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa kata ya Ngokolo Mjini Shinyanga wamegombania nyama ya fisi waliyemuua baada ya kuonekana akiranda randa katika kata hiyo. Tukio hilo la aina yake limetokea Ijumaa Februari 7,2020 majira ya mbili usiku katika mtaa wa Magadula kata ya Ngokolo ambapo mamia ya...
 11. Roving Journalist

  Maoni ya kambi rasmi ya upinzani bungeni, kuhusu muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali na.5 ya mwaka 2019 (the written laws

  MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MAREKEBISHO YA SHERIA MBALIMBALI NA.5 YA MWAKA 2019 (THE WRITTEN LAWS (MISCELLANEOUS AMENDMENTS) (NO.5) ACT, 2019) (Chini ya Kanuni ya 86(6) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, toleo la Januari, 2016) ________ A. UTANGULIZI 1...
 12. Roving Journalist

  Humphrey Polepole: Vyama vya Upinzani vimekosa uhalali wa kutaka maridhiano

  Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi wa CCM Taifa, Ndg. Humphrey Polepole katika mkutano wa Kuadhimisha miaka 43 ya CCM wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro, ameeleza kuwa Wamefuatilia mijadala na mapendekezo yaliyotolewa na vyama vya Upinzani kuhusu kufanya maridhiano, Ndg Polepole anaeleza...
 13. Roving Journalist

  Tuhuma zaidi ya 10 zawakabili viongozi wa Chama cha kutetea Haki za Abiria(CHAKUA)

  Tuhuma zaidi ya 10 zawakabili viongozi wa Chama cha kutetea Haki za Abiria(CHAKUA) Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Roving Journalist

  Sekta ya Afya nchini kunufaika na msaada wa Dola za Marekani Milioni 600 (takriban Tsh. Trilioni 1.4) kutoka Global Fund

  Serikali ya Tanzania itanufaika na msaada wa dola za Marekani milioni 600 zitakazotolewa na Taasisi ya Global Fund mwezi Januari mwakani kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na maradhi ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria katika kipindi cha miaka mitatu. Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dodoma na Mkuu wa...
 15. Roving Journalist

  News Alert: Ikulu, Dar | Rais Magufuli awaapisha Viongozi mbalimbali: Dkt. Abbas kuendelea kuwa Msemaji wa Serikali huku akiwa Katibu wa Wizara ya Habari

  Rais Magufuli anawaapisha leo hii Kamishna Jenerali wa Magereza, Kamishna Jenerali wa Zimamoto, Makatibu wakuu na Makatibu tawala wa mikoa saa 3:30 asubuhi. A. MAKATIBU WAKUU 1. MARY GASPER MAKONDO - kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Kabla ya uteuzi huo Bi...
 16. Roving Journalist

  Dar, Kimara: Nyumba yateketea kwa moto

  Heshima kwenu wakuu, Kuna nyumba inateketea kwa moto maeneo ya Kimara Baruti. Chanzo inadaiwa ni Hitilafu ya umeme. Natoa pole kwa mwenye nyumba. Je, Watanzania tunayo tabia ya kukata bima kwa ajili ya nyumba zetu?
 17. Roving Journalist

  Rais Magufuli kuwaapisha Mawaziri wawili na Mabalozi watatu aliowateua hivi karibuni

  Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli atawaapisha Mawaziri wawili na Mabalozi watatu aliowateua hivi karibuni. Mabalozi hao wataiwakilisha Tanzania katika vituo vya Geneva-Uswisi, Tokyo-Japan na New York-Umoja wa Mataifa. Ni kuanzia saa 10:00 jioni ya leo Januari 27, 2020
 18. Roving Journalist

  Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Dk. Akwilapo, afungua programu ya mafunzo ya ICT kwa wakufunzi wa wanafunzi wenye mahitaji maalum

  Katibu mkuu wa wizara ya elimu, sayansi na teknolojia , dk Leonard Akwilapo leo tarehe 27 January 2020, amefungua programu ya mafunzo ya matumizi ya tehama na vifaa saidizi kwa wakufunzi. Wa vyuo vya ualimu na waalimu wa sekondari wenye mahitaji maalum dar es salaam Wakufunzi hao wapatao 140...
 19. Roving Journalist

  Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

  Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam yatawajia muda mfupi ujao kupitia vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na Mitandao ya Kijamii. Aidha, waweza kutazama kupitia Youtube ya IkuluMawasiliano. ====== UPDATES: Rais amemteua Mussa Zungu kuwa Waziri wa Muungano na...
 20. Roving Journalist

  Dar, Banana: Rais Magufuli azindua nyumba za Askari Magereza Ukonga

  Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 23, 2020 saa 3:00 asubuhi atafungua rasmi majengo ya makazi ya Askari Magereza wa Gereza Kuu Ukonga Jijini Dar es Salaam ==== UPDATES: 1030HRS: Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John...
Top