Search results

 1. Mlalahoi

  Nani Kamteka Mo Dewji? Uchambuzi wa Kiintelijensia Kwa Kutumia Mbinu ya "Devil's Advocate"

  CHANZO: Nani Kamteka Mo Dewji? Uchambuzi wa Kiintelijensia Kwa Kutumia Mbinu ya "Devil's Advocate" ~ Kulikoni Ughaibuni
 2. Mlalahoi

  Hamahama Wabunge, Madiwani: Chadema Inatuficha Ukweli?

  Hamahama Wabunge,Madiwani: Chadema Inatuficha Ukweli? Kwa mara nyingine tena, Mbunge mwingine wa Chadema ametangaza kukiacha chama hicho na kujiunga na CCM. Sfari hii ilikuwa zamu ya Joseph Ole Millya, ambaye tetesi za kuhama kwake zilisikika kitambo. Tofauti na huko nyuma ambapo viongozi wa...
 3. Mlalahoi

  Petition Kuhusu MKIRU na Azory Gwanda Yatumwa UN

  Hatimaye leo Julai 9, 2018 nimefanikiwa kutuma petition niliyoifanya kwa siku kadhaa mtandaoni kwa ajili ya kumtaka Kamishna wa Haki za Binadamu huko Umoja wa Mataifa aitishe uchunguzi kuhusu mamia ya watu "waliopotea" huko Mkuranga, Kibiti na Rufiji (MKIRU) sambamba na "kupotea" kwa mwandishi...
 4. Mlalahoi

  MwanaHalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake

  Sioni sababu yoyote kwa Kubenea au gazeti lake la Mwanahalisi kuzusha habari hii. On top of that, ukweli kwamba Mbowe na viongozi wengine wa ngazi za juu Chadema wamepuuzia ishu ya "kupotea" kwa Ben, makes even more sense. ====== UTATA kuhusu kutoonekana kwa Bernard Saanane, msaidizi wa...
 5. Mlalahoi

  Mrembo maarufu akamatwa na unga (developing...)

  Kuna taarifa kuwa binti mmoja maarufu katika fani ya urembo/umiss na pia ametokea kwenye videos za bongoflava amedakwa na unga huko Far East. Hii ni developing story...I will name her when it's confirmed 100%
 6. Mlalahoi

  Thinking aloud: Je Lwakatare alitumwa na CCM?

  Anything goes in war. Na kwa sasa Chadema ipo vitani dhidi ya CCM,with the latter fighting for survival. Hivi kwa wanaoijua Chadema kiundani, allegience ya Lwakatare kwa chama hicho ilikuwa kubwa kiasi gani? Na hata kama ilikuwa kubwa kupindukia, je hakuna uwezekano kuwa fedha za kifisadi...
 7. Mlalahoi

  Dr Shaban Nzori on the Chinese President's visit to Tanzania

  On the eve of China’s new President’s visit to Tanzania, which starts tomorrow, March 24th, I thought I would need to share my views on those topics and issues I would like to advise our government to put on the table in our negotiations with Mr. Xi Jinping and his government delegation as the...
 8. Mlalahoi

  Gazeti la The Guardian la Uingereza: "Tanzanian Journalists Under Attack"

  Tanzanian journalists under attack Journalists in Tanzania are being intimidated by beatings, harassment and death threats. In the latest example, Absalom Kibanda, editor of the newspaper Mtanzania (The Tanzanian), was attacked outside his home and suffered serious head injuries. He was...
 9. Mlalahoi

  Makala RAIA MWEMA: 2012, mwaka wa chuki za kisiasa, kiuchumi

  2012, mwaka wa chuki za kisiasa, kiuchumi Evarist Chahali CCM, Upinzani ishara si njema Nchi tajiri kuiyumbisha Tanzania NIANZE makala hii ya kwanza kwa mwaka huu kwa kupigia mstari pointi mbili za msingi. Kwanza, kama nilivyokwishawahi kubainisha huko nyuma, katika kujiingiza kwenye fani...
 10. Mlalahoi

  Wazo la Kuanzisha Tawi la Chadema hapa Uingereza...for a start

  Nimekuwa na wazo la kuanzisha tawi la Chadema hapa Uingereza,sio kwa vile CCM wana matawi yao nje ya nchi bali imani yangu kwamba Chadema as a formidable opposition party na ambacho kimeweka mbele maslahi ya nchi badala ya kisiasa kinapaswa kuungwa mkono ndani na nje ya Tanzania yetu. Kama...
 11. Mlalahoi

  Siri za wizi alizofichwa Mkaguzi Mkuu nje nje

  Siri za wizi alizofichwa Mkaguzi Mkuu nje nje Mwandishi Wetu Aprili 20, 2011 - Mabilioni yaligawanywa kama njugu kufidia hasara hewa - Ni kampuni 27 za vigogo, imo Al-Adawi iliyovuna mil 400/- WAKATI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akiripoti kunyimwa orodha ya kampuni za...
 12. Mlalahoi

  Election 2010 Je hamasa hii itatafsiri into kura?

  Kwa kweli kuna mwamko na hamasa kubwa baada ya ujio wa Dr Slaa.Kwa sie tulio mbali na huko nyumbani kipimo kidogo ni comments katika tovuti za magazeti na nyinginezo.Binafsi nimekuwa nikifuatilia comments katika tovuti ya Mwananchi,ambapo yayumkinika kuhitimisha kuwa zaidi ya asilimia 90 ni watu...
 13. Mlalahoi

  Election 2010 CHADEMA Kumfungulia Mashtaka Salma Kikwete

  Kutoka wall ya Facebook page ya Chadema Mpaka kieleweke mwaka huu
 14. Mlalahoi

  TUMEKWISHA;Hata Raia Mwema na Tanzania Daima wamenunuliwa na CCM!!!

  What else could you say?Tovuti ya Raia Mwema-jarida tulilokuwa tukiliamini kwa taarifa zake fasaha- ina habari za toleo la wiki iliyopita.Kumbuka hilo ni jarida linalotoka once a week kwa hiyo wana muda wote wanaohitaji kwa ajili ya kuweka habari za toleo jipya.Namini sio kwa sababu ya uzembe...
 15. Mlalahoi

  Election 2010 Chadema wanapaswa kuchakarika fasta

  Pingamizi ndio kama tulivyotarajia,Tendwa katekeleza maagizo aliyopewa Ikulu na JK.Sasa kila dakika ni mithili ya muujiza usiojirudia. Tumeshanyanyaswa vya kutosha, utawala wa sheria umeshachezewa sana, tunachohitaji ni immediate action. Naamini hao wanasheria mahiri wa CHADEMA wameshapitia...
 16. Mlalahoi

  Wito kwa Wazalendo Wachache Mliopo Usalama wa Taifa

  Ni siri ya wazi kuwa taasisi yenu imekuwa ikifanya kazi za CCM. Hilo lingekuwa sio tatizo laiti kufanya hivyo kungekuwa kwa maslahi ya taifa. Tunaamini kuwa kuna wazalendo mliosalia ndani ya taasisi hiyo, na huenda hamridhishwi na namna chombo hicho kinavyoendeshwa kwa maslahi ya mafisadi...
 17. Mlalahoi

  Nia Ipo, Sababu Zipo na Uwezo Upo kwa Slaa Kuwa Rais, Lakini....

  Kila Mtanzania mwenye akili timamu,na mwenye uchungu wa dhati kwa nchi yetu anatambua kuwa miaka mingine mitano kwa JK ni mithili ya kuisukuma nchi yetu kwenye tanuru la vurugu na mchafuko.Yah,tunaambiwa Tanzania ni kisiwa cha amani na utulivu,lakini hata visiwa huwa vinakumbwa na vimbunga.Na...
 18. Mlalahoi

  Uteuzi wa Bilal Neema Kambi ya Lowassa 2015

  I said it yesterday (angalia hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/66784-kwa-ufupi-bilal-alikuwa-aondoke-ccm-7.html#post986362),na inaelekea jamaa wa Majira wana mtizamo kama huo. CHANZO: Majira
 19. Mlalahoi

  Dkt Slaa/Chadema mbona kimya?

  Kwanza inabidi niweke wazi kuwa nimeweka jina la Dkt Slaa kwenye kichwa cha habari kwa vile ni mwana-JF mwenzetu na anatembelea hapa mara kwa mara.Otherwise,dukuduku langu linaihusu Chadema kwa ujumla. Niliwahi kuanzisha thread flani hapa...
 20. Mlalahoi

  Wapinzani wamemu-indorse JK?

  Wakati tumebakiwa na takriban miezi 6 kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais na wabunge,vyama vya upinzani vimeendelea kuwa kimya kuhusu wagombea wao katika nafasi ya urais huku baadhi ya viongozi na wanachama wake wakiwa bize zaidi kuonyesha dhamira zao kuhusu majimbo ya ubunge...
Top