Search results

 1. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Wewe umechukua conditions za SGR ya Kenya halafu unasema ndio zilikuwa za Tanzania - acha hizo. Licha ya hivyo, Magufuli aichopaswa kufanywa ni kuwaambia njooni tena mezani hatukubaliani na hizo conditions. Mbona Acasia tuliweza? Sasa yeye akaupiga chini na kuja na option yenye gharama zaidi!
 2. Synthesizer

  Mikopo ya Matrekta ya Kibaha ni kwa watu wa CCM tu?

  Upinzani waingize tractor za Massey au John Deer au Holland waseme ni kwa ajili ya wanachama wa upinzani tu. CCM wataelewa somo.Kwanza nani anataka tractor ya Poland?
 3. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  IKo hivi Mkuu. Chukulia hesabu ya ujumla, km 300 za kwanza Dar hadi Morogoro zimejengwa kwa $2 bilioni, bila miundo mbinu ya umeme kama ambavyo ilikuwa Wachina wajenge SGR. Sasa ikiwa km 300 zimejengwa kwa karibu $2 bilioni, tunategemea SGR yote ya 1457km kujengwa kwa $9.7bilioni. Hapo ni...
 4. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Treni hazikuwa kwenye mkataba wa kujenga SGR. Na ni SGR kwa pia unaweza kununua treni popote pale tofauti na Tazara ilivyojengwa ikatufunga kununua mabehewa na locomotives toka China Kwa hiyo tungenunua treni tunazotaka toka tunakotaka kwa sababu ni SGR. Tofauti na Kenya ni kwamba uendeshaji wa...
 5. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Nimesema China hawakuja na mkataba wa SGR kama tu ule wa China. Na mazingira ya ufisadi ya Kenya na kwetu ni tofauti. Na jiografia nk. Kwa hiyo huwezi kusema kila nchi wanayokwenda China wanakwenda na mkataba ule ule. Na mkataba si majadiliano bwana? Sasa wasomi wetu ni wale waliozoea kudesa...
 6. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Dunia nzima inajua China ndio wanaongoza kwa technology ya railway construction. Kwao wamejenga reli hadi kwenye permafrost (balafu) na wala reli haihami. Hata USA wanawapa contracts wao
 7. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  No bandari ni tofauti. Yeye alisema pia haikuwa na umuhimu kwa wakati huu. Yaani tunaenda kwenye uchumi wa viwanda lakini hatuhitaji bandari kubwa na sehemu yenye easy access kwa treni na malori ya mizigo. Bado wakati wake.
 8. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Bado niko pale pale. Variations kwenye contract ndio ilifanya Magufuli a-scrap hii contract na China na kuja na alternative iliyopo? Was that the best solution kwake?
 9. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Umenena Mkuu. Mie nimesema wazi hapo juu; Kulingana na uhusiano wetu na China, nini kilimzuia Magufuli kuongea na Raisi wa China na kusema tungependa ku-review mkataba kwanza kwa kuwa tunataka SGR ya umeme sio ya diesel? Entry point ya kureview mkataba ilikuwapo na angekuwa na busara angeitumia...
 10. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Watu bwana, ili kutetea jambo basi mtasema lolote. Kwa hiyo huamini alichoandika Kabendera? Hivi unafikiri Kabendera anaandikia haya magazeti yetu ya udaku? Na nani alisema mkataba wetu ulikuwa sawa na wa Kenya? Kenya wanatuzidi ufisadi hilo liko wazi. Sasa kama waliuza nchi kwa China haina...
 11. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Ndio tatizo. Usiri wa nini? Asiposema sie tutasema with our own conclusions. Kwa hapa tutahisi lilikuwa gubu tu kwa Kikwete. Kwa nini asiwaite Wachina tutakaa tena mezani kama aliona kuna mapungufu? NI wazi alitaka kumkomoa KIkwete. KUmbuka Wachina walikuwa wameshaanza kujenga. Tena walitustahi...
 12. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  MKuu niliwahi kuwauliza Wachina juu ya hil, kuwa kwa nini kazi zao za Ethiopia na USA ni nzuri sana high standard lakini kwetu wanaboronga? Wakasema kwamba, wao serikali yao inawaambia jambo moja - wasijiingize kwenye kutoa rushwa kupewa kazi. Ila basi, kama serikali za nchi za nje ndio zinadai...
 13. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Mie sio KIkwete, sasa kwa nini nisikosoe hadharani? Yaani na wewe umeingiliwa na ule ugonjwa wa CCM wa kusema ukisema tatizo hadharani kama barabara mbaya mbugani Ngorongoro unahujumu uchumi?
 14. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Mkuu mbona kwenye Bandari Bagamoyo alisema wazi kwa nini aliupiga chini? Kwa nini afiche SGR lakini Bandari Bagamoyo amwage kila kitu? NEW DELHI: Tanzania has suspended the construction of the China funded $10-billion Bagamoyo port project in a major setback for Beijing’s ambitious Belt and...
 15. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Kwa hiyo tatizo lilikuwa mkataba sio ufisadi? Hivyo unavyosema huwa vipo kwenye mkataba. Sasa kama Watanzania tunakuwa mapoyoyo wa kukubali kila kinachopendekezwa kwenye mkataba basi hatuna akili. Halafu siamini kama hilo ni kweli. Kumbuka mkataba huu ulikuwa ni na serikali ya China, na kampuni...
 16. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Inawezekana, lakini pia usisahau JK Mrisho hawezi kukosoa hadharani, lazimaaongelee hilo suala positively
 17. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Magufuli hakusema anaupiga chini kwa sababu za masharti, alisema harufu ya ufisadi.
 18. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Sasa maana ya contract ni nini? Sisi tutakubalije ku-sign contract ambayo project costs zitaongezeka kila siku? Usiseme kwa sababu ya kupungua kwa thamani ya shilingi kwa kuwa contractszinasainiwa kwa kutumia gharama katika USD ambayo iko stable. Kwa hiyo si kweli kwamba tukisha sign contract...
 19. Synthesizer

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Wewe una ukakika kwamba sio $7.6 Bilioni au ni kwamba kila tukisema jambo lisilo sawa unaona tunataka kuiumbua serikali kwa uongo? Unapenda vibaya wewe! Soma hapa chini utaelewa pia kwa nini mnamchukia sana Kabendera kwa kuwaambia ukweli Turkey, China caught up in SGR tender confusion By...
Top