Search results

 1. K

  Washabiki jiulizeni, ni kwanini wanataka 100%?

  Kama kawaida yetu Watanzania tuna utamaduni wa kushabikia tu kila kitu na kwenda na upepo. Lakini kuna wakati mwingine ni lazima tujiulize ili kunusuru taifa. Sio kila lifanyikalo ni kwa manufaa ya taifa kuna mengi sana ambayo viongozi wanafanya kwa manufaa yao kuonesha wenyewe ni miungu...
 2. K

  Je, Lengo la kupata 99% ya wawakilishi linanufaisha taifa?

  Kila siku kuna watu wamekuwa wanajisifu kwamba CCM itapata 99% ya wabunge. Kama watapata kwa njia halali kitu ambacho hakiwezekani kutokana na tofauti za Watanzania.Tatizo litakuja pale tu serikali itakapo lazimisha na haya ndiyo tutayapata 1. Vikwazo vya kiuchumi au viongozi kuwekewa...
 3. K

  Pengo la mtu kama Balozi Sefue linaonekana Serikali hii

  Pamoja na kwamba hakuwa mwanasiasa Sefue alikuwa mtu kama vile Consultant kwenye serikali ya Kikwete. Kwanza hakuwa mbunge, hakuwa waziri lakini aliziba pengo kwenye sehemu muhimu za kitaifa. Kwanza alikuwa ni mtu ambaye anajua biashara za kimataifa, alikuwa balozi aliyebobea, alijua miradi...
 4. K

  Baada ya Kikwete sasa kiongozi wa EAC ni Kenyatta

  Baada ya Kikwete kuondoka kiongozi wa EAC kwa wenzetu wanamwona ni Kenyatta. Magu jitahidi kuchukua nafasi hii Kenyatta akiondoka. Kikwete alijitahidi na kuheshimiwa sana. Sasa mambo ya nje tumebaki na vikwazo kila siku hakuna hata statement ya kinachoendelea
 5. K

  Watanzania wajua ukweli pesa za misaada bado nyingi

  Watanzania wengi walikuwa na tabia ya kukebehi sana hawa wazungu wakitukosoa kwenye lolote hata kama Watanzania wengi wanakubaliana nao. Kumbe ukweli ni kwamba kuna pesa nyingi sana bado tunategemea za msaada. Kwasababu zamani zilikuwa zinakuja tu ilikuwa rahisi kila kitu kusema ni cha chama...
 6. K

  Tutafakari: Uzuiaji wa mikutano ya kisiasa na sheria ya habari je zimetusaidia chochote ?

  Je kwa mawazo yako hizi sheria za habari ambazo zimekuwa zikilalamikiwa na kusababisha waandishi wa habari na wanasiasa wengi kufunguliwa kesi zimesaidia nchi yetu kwa miaka minne sasa?. Vilevile uzuiaji wa mikutano kwa wapinzani Je imeleta amani yeyote na imesaidia chochote?. Tuliambiwa kufanya...
 7. K

  Kumbe tatizo ni passport! Naona lile zoezi halikumalizika kwa wakati

  Nimeona hii taarifa rasmi. Kuna swala la passport mpya ambazo walipewa muda zile tayari naona hawakuhakiki kwa muda Tanzania ikiwa mojawapo. Lakini hata US ndani kuanzia mwezi wa kumi huwezi kisafiri n vitambulisho kama lesini za kuendeshea magari mpaka ukaweke vidole upya au kutumia passport.
 8. K

  Rekodi zaonyesha tumeonewa kwenye hili la Visa

  Rekodi zinaonyesha sababu ya eti Watanzania wapewe zuio la viza kwa sababu hawarudi si la kweli kuna nchi nyingi sana wanatuzidi. Kuna sababu nyingine za siri https://www.dhs.gov/immigration-statistics/yearbook/2018/table27 https://www.dhs.gov/immigration-statistics/yearbook/2018/table34...
 9. K

  Mkopo wa Benki ya Dunia umeonyesha upinzani sio idadi ya ubunge, ni fikra

  Kama kuna watu walikuwa wanafikiria kwamba kuwabana upinzani, wanahabari na watoa maoni kutafanya chochote kiweze kufanyika wafiliri tena. Dunia ya siku hizi tunategemeana sana kiasi kwamba mtu wa kawaida tu ana uwezo mkubwa sana kuleta na kuzuia mambo mengi kama hamjakubaliana pamoja kama nchi...
 10. K

  Kwanini siri kubwa kwenye $300m ya Barrick?

  Kwanini wananchi wanasahaulishwa kwa hii ahadi? Hata serikali ilisema tu kwasababu Barrick ilibidi waambie wamiliki wa share zao wazi. Sasa hizi pesa ni siri kwanini? Zinatumika kufanya nini?. Inaelekea zitaenda kwenye chaguzi! Maana haziko kwenye budget yoyote. Mimi nina wasiwasi na huu...
 11. K

  Tuweke utamaduni wa kusikilizana ili tusaidie nchi yetu

  Watanzania tumefikia wakati sisi wenyewe kwa wenyewe hatuwezi kusikilizana au kuheshimiana. Watanzani wengi siku hizi wamekuwa wakiangaliwa kibinafsi wakitoa hoja kuliko kusikiliza hoja za wanaotoa. Mara nyingi sana tumekuwa hata hatusikilizani kwa sababu ya woga au kujijengea fikra za uongo...
 12. K

  Vitu Rais Magufuli anavyofavya vizuri na vibaya

  Mambo makubwa ambayo Rais Magufuli anafanya vizuri na makubwa ambayo anafanya vibaya. Rais Magufuli tofauti yake kuna mambo ambayo anafanya vizuri sana na mengine anafanya vibaya sana Mazuri: Kujaribu kupunguza vitu vinavyopunguza uwekezaji kama kodi ambazo sio nzuri, mfumuko wa bei, na vibali...
 13. K

  Watanzania tunataka sera za kimaendeleo

  Watanzania tuna kila sababu ya kutaka wanasiasa badala ya kufikiria kushinda wanatakiwa watupe sera waziwazi za maendeleo 1. Tunaomba sera ya chama kuhusu EAC mpaka sasa hatuna pesa moja, ushirikiano kwenye Afya, Elimu na sijui hata kama tuna masoko mipakani 2. Sera za Ajira. Je mtafanya nini...
 14. K

  Kanda ya ziwa badilikeni

  Wakati mwingine watu wanasema kiutani lakini tunaomba kanda ya ziwa wabadilishe tabia zao ambazo si za maendeleo. Utamaduni wa uchawi na ndoa za utototoni zinarudisha sana maendeleo ya sehemu ambayo ina watu wengi, madini, ziwa na nafasi za kulima mazao mengi. Mkienda vijijini waelezeni wazee...
 15. K

  Mapendekezo ya nini cha kufanya Wizara ya Afya

  Mapendekezo ya cha kufanya Wizara ya Afya Niweke wazi tu kabla ya yote kuwa mimi kwa miaka zaidi ya 10 sasa nimekuwa nikifanya kazi kama consultant kwenye kampuni za Afya. Mwaka wa uchaguzi nitatumia muda kutoa mawazo yangu kwenye sehemu na wizara tofauti. Nianze na machache kwenye Afya Mfumo...
 16. K

  Lazaro Nyalandu ndiye atakuwa mgombea wa CHADEMA kwa mawazo yangu

  Mwana Ilboru mwenzangu Lazaro ndiye atakuwa mgombea wa Chadema mwaka huu 2020 kama wataruhusiwa kushiriki uchaguzi. Nilikutana naye 2011 Virginia kwenye mkutano na bahati nzuri nilikuwa namfahamu tangu Ilboru nikamwambia kiutani personality yako inaendana zaidi na upinzani. Vilevile nilisoma...
 17. K

  Dr. Bashiru Ally sio mwanasiasa ni mnunuzi na mkomunisti asiyependa demokrasia

  Yaani wakati wa kinana kidogo ulikuwa unaona kabisa kuna sera za kukampeni na wabunge na wagombea wengine walikuwa wanashindana na kishinda na kushidwa. Sasa huyu Profesa ambaye hajui, hapendi na wala si mwana siasa sera yake ni kupambana na viongozi wa uchaguzi kuzuia wagombea, kuingiza wakuu...
 18. K

  Poleni wananchi kwa kujiokoa wenyewe: Mafuriko na Moto

  Nasikitika kuona Tanzania kutokuwa na idara imara ya kuokoa maisha ya watu. Ndugu mmoja kaniambia kaokolewa na majirani kwenye mafuriko Dar cha ajabu hakuna kikosi cha zimamoto wala watu kutoka idara yoyote ya serikali imeenda kumsaidia kumuangalia wala nini. Sasa tujiulize hizi idara...
 19. K

  Treni ya Standard Gauge imekosewa kukwepa kaskazini

  Watanzania ni lazima tukubali tunapokosea. Hii treni ya Standard Gauge ni ya mizigo na abiria. Kitu cha kushangaza sehemu ambayo inakua kiuchumi sana na ambayo ingeingizia shirika pesa nyingi sana ni Dodoma-Arusha-Kilimanjaro. Kwanza kuna watalii zaidi ya milioni mbili hata kama watalii laki...
Top