Search results

 1. M

  DEO Butihama (Syverian Masinde) anahujumu elimu Butihama

  HUYU DEO NI mama wa ajabu yeye NI CHANZO,cha kushuka kwa elimu Wilaya ya butiama! Serikali inatenga FEDHA kwa ajili ya maendeleo ya shule, walimu wengi wakuu wa shule ILI kupata Mgao wa FEDHA ZA shule zao lazima watoe kitu kidogo kwa DEO- Syverian masinde, usipotoa laki tano! Huwezi pata Mgao...
 2. M

  Wizara ya ardhi kwa manufaa ya nani? Ubinafsishaji na UGENISHAJI WA ARDHI?

  NDUGU WANA BODI BAADA YA KUISOMA SHERIA YA ARDHI YA 1999, 2001 NINAKUBALIANA NA ISSA SHIVJI KAIKA KTABU CHACKE CHA "INSHA ZA MAPAMBANO YA MNYONGE CHA MWAKA 2012"(NINAWSHAURI MKINUNUE MKISOME NI SH 15,000, NIMUONA NACHO ZITO PIA!) KUWA SERA YA ARDHI TANZANIA IMEKUWA MBAYA NA IMERITHI MFUMO WA...
 3. M

  wako wapi akina Mwanri,kingunge, Makalla and the likes?

  Hawa jamaa ukisoma maneno waliyoyasema mwezi wa SEPTEMBER KUHUSU WAPINZANZI UTASHANGAA SANA! MARA BAADA YA DR SLAA KUJA NA ORODHA YA MAFISADI, HAWA JAMAA WALIKANA KATA KATA NA KUSEMA WAPINZANI WANASEMA UONGO NA KWAMBA CHAMA CHA CCM KINA MTANDAO MKUBWA NA FEDHA ZA KUTOSHA ETI KAMWE HAKUNA WIZI...
 4. M

  Je mwajua kuwa Barrick imeisha uzwa kiujanja na sasa ni Anglo America?

  Hii ninasikia ni mara ya tatu kwa Kampuni hiyo kubadili jina. Mara ya kwanza walichuma kampuni ya kikanada, baadaye Barrick na sasa ninasikia kuna mmliki mwingine hata mwezi mmoja bado!!? HII YOTE NI JANJA YA KUKWEPA KODI! AU KASHIFA WANAKIMBIA JE VIONGOZI WETU HAWALIJUI HILO! MAANA jk...
 5. M

  Mskilizeni Salva Rweyemamu kuhusu tuhuma za ufisadi wa BOT etc!

  Ndugu zangu fungueni BBC swahili ya leo asubuhi msike mahojiano ya Salva Rweyemamu mimi nimeskikia leo asubuhi! Kwa kweli kwa majibu yake juu ya nini serilaki ifanye kuhusu tuhuma yamenisikitisha sana! Kwanza sijui yeye ameongea kama Rais au la! Maana ANASEMA SERKALI HAINA MUUDA WA KIJIBU...
 6. M

  Taifa stars yatoa droo na timu ya Msumbiji

  Katika kundi la nne, Timu ya taifa ya Tanzania inaongoza katika kundi hilo! Baada ya leo kutoa droo ya bila kwa bila na Msumbiji. Kwa hiyo tuna point 4 kibindoni! Hongera timu ya taifa!! Senegal imefungwa goli 1 na Burkina faso. Msimamo. Points. Taifa stars 4 Senegal...
 7. M

  BEMBA wa DRC akileta Ukaidi nchi za SADC zimudhibiti asiachiwe kuua watu tena!

  Jamani nimekuwa nikufuatilia siasa za DRC na hasa uchaguzi. Inaonekana THE FORMER REBEL LEADER MR BEMBA NI MKAIDI SANA.! KWANZA VITA YA KONGO YA WAKATI HUO IMEPELEKEA WATU ZAIDI YA MILIONI 3 KUPOTEZA MAISHA. NA WAHUSIKA NI HAWA HAWA AKINA BEMBA NA RAFIKI YAKE MSEVENI NA MWINGINE KAGAME...
 8. M

  Kumbe Matajiri waliovamia uongozi CCM ni majambazi!

  ii Habari baada ya kuisoma nimeona ni vema . Tupige kelele ili chama cha CCM kiwangalie matajiri wake kwa macho mawili!! Na siyo tu kukimbilia michango yao mikubwa at the expense of our people being killed!! Lengo ni kuhamasisha JK na wana CCM wengine kusafisha chama! Ili konokono...
Top