Search results

 1. K

  Tanzania yaweza kukosa Mkopo wa Dola Milioni 500 kutoka Benki ya Dunia

  Wangezuia kingine lakini kwa hili mungu awalaani. Tungependa kuona watoto wetu wakisoma mazingira mazuri. Hata Kama mtu ana chuki binafsi na jpm lakini kwa hili hatutawaelewa. Tumeletewa elimu bure maana yake huko tuendapo madarasa na vifaa havitatosha. Watanzania tuandamaneni kuwapinga Hawa...
 2. K

  Zitto Kabwe: Serikali ya awamu ya 5 acheni ushamba

  Kuna haja ya kuangalia uraia wa baadhi ya watu. Hata Kama kweli hawatumiwi na vibaraka.
 3. K

  Zitto Kabwe: Serikali ya awamu ya 5 acheni ushamba

  Zitto bwana hajui sisi Tanzania kuwa na ndege ni muujiza. Kuna kipindi air Tanzania ilikuwa na ndege moja na inafanya kazi Kama kichaa ina mkurugenzi mkuu na wafanyakazi wengi tu. Sasa magufuli angalau katusaidia. Unajua sisi tuliozaliwa familia masikini Kama zitto hata baba akileta kilo ya...
 4. K

  Freeman Mbowe na Mzee Fredrick Sumaye warudisha fomu za kugombea Uenyekiti CHADEMA

  Namuona sumaye akikimbia kwa kishindo. Soma Hawa watu.
 5. K

  Four Years Later: My Reflection on President Magufuli: A Double Measure of Boldness and Dare

  Tunasubiri mchezo mkubwa wa timu kubwa iliyosubiliwa.
 6. K

  Yaliyojiri kikao cha Rais Magufuli na Mawaziri, Makatibu Wakuu, MaRCs, MaRAS na TRA

  Inatakiwa mfanya biashara yeyote Tanzania alipe kodi kama mfanyakazi
 7. K

  Yaliyojiri kikao cha Rais Magufuli na Mawaziri, Makatibu Wakuu, MaRCs, MaRAS na TRA

  Mtindo wa ufanyaji biashara ni wa ovyo sijawahi kuona kuchekeana tu. Eti mtu unaweza kuwa unafanya biashara na kulipa kodi mtu mwingine anakuja mbele ya duka lako anafanya biasha hiyo hiyo halipi kodi eti biashara yake ni ndogo. Anaweza kushusha bei mkashindana naye na TRA wanamchekea na wakija...
 8. K

  Hatimaye Tanzania yapiga kura Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

  Nimefuraishwa na tanzania kupiga kura hii. Hii nchi naona inarudi tu.
 9. K

  Sakata la Airtel na TTCL: TTCL wasema wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa kampuni ya Airtel ni mali yao 100%

  Suala la airtel ndio limeua TTCL. Jamani mbona tunapotezeana muda?. Hivi kuna nini cha kujadili? Watu wakubwa wanatakiwa kuwa wamekamatwa. Hongera JPM hapa naona kazi kweli kweli inafanyika. Hii ni meremeta nyingine.
 10. K

  Sakata la Airtel na TTCL: TTCL wasema wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa kampuni ya Airtel ni mali yao 100%

  Kabla ya kutoka na kusema waziwazi walitakiwa wahusika wameisha fikiwa na mkono wa Takukuru. Sasa hivi naona kama watakimbia kuficha baadhi ya madhambi yao. Inatakiwa sasa hivi watu wasilale.
 11. K

  Sakata la Airtel na TTCL: TTCL wasema wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa kampuni ya Airtel ni mali yao 100%

  Mimi nilitegemea hao watu wanaohusika wawe sasa hivi wamekamatwa na kuojiwa na vyombo vya dola.
 12. K

  RC Dar Es Salaam: Hakuna bomoa bomoa ya karne mkoa wa Dar

  Hapa tumekuelewa na yaliyoelezwa ya naona yanafaa
 13. K

  Ikiwa Acacia wataamua kuondoka nchini basi tujipange kwelikweli maana wanatudai!

  Jamani ndo wanaondoka hivyo. Tuwatakie safari njema
 14. K

  Sakata la uteuzi wa Katibu wa Bunge: Msigwa atoa "declaration" mtandaoni

  Hivi mwisho wa majina matatu nani anamalizia? Hivi anayemalizia akiamua kufunga goli moja kwa moja utasema mbona hukusubiri nipige pass?
 15. K

  Siasa bana: Kwamba leo Shonza ni naibu waziri, Nape nje. Dah....!

  Leo mhongo hayupo kwenye madini na nchi inakwenda bila mtikisiko?
Top