Search results

 1. S

  Kero za barabarani baada ya Kangi Lugola kutumbuliwa

  Huna lolote,wewe ni Askari usizuge.Kudharauliwa kwao wewe ilikuathiri Nini kimaisha?.Hapa tunazungumzia kero ambazo zimerudi kwetu sisi wananchi baada ya Lugola kuondolewa.Kama aliwadharau ni juu yenu.Kwanza mi naona alikuwa sawasawa alivyokuwa akiwapelekesha.Nyie Askari Polisi ni kizazi Cha...
 2. S

  Naomba ushauri: Nimepokea mzigo leo kutoka China baada ya mlipuko wa corona

  Kabla ya kupakiwa,ulishafanyiwa vipimo Sent using Jamii Forums mobile app
 3. S

  Suala la nzige sio suala la kupuuzwa kabisa. Nchi itakumbwa na njaa na mfumuko mara dufu

  Tayari wapo Km 50 kuifikia wilaya ya Mwanga,wakitokea Kenya,huenda wakaingia usiku huu Sent using Jamii Forums mobile app
 4. S

  Oummilkheir Hamidou astaafu rasmi DW, UHURU FM waanza kufanya nae mazungumzo

  Kwani mmeambiwa kwao hawamuhitaji? Sent using Jamii Forums mobile app
 5. S

  Oummilkheir Hamidou astaafu rasmi DW, UHURU FM waanza kufanya nae mazungumzo

  Radio Uhuru wanashindwa kuwalipa wafanyakazi wao kwa miezi mingi.Wataweza kumlipa huyu Mama wa ki comoro? Sent using Jamii Forums mobile app
 6. S

  Kodole Cha Marekani Kwa Tanzania ni Kicheko Kwa Bernard Membe

  Kama ulikuwa hujui,Membe ni mtu wao Marekani.Unafikiri anapata wapi jeuri ya kujibizana na Lumumba,na hawamfanyi chochote.Ni kweli Membe ni sawa mchwa,Ila Serikali ya CCM imejikuta ina muongezea Umaarufu na wafuasi pasipo kujijua. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. S

  Kodole Cha Marekani Kwa Tanzania ni Kicheko Kwa Bernard Membe

  Kapasua serikali ya Iran,ashindwe huku chooni? Sent using Jamii Forums mobile app
 8. S

  Kodole Cha Marekani Kwa Tanzania ni Kicheko Kwa Bernard Membe

  Kinachotokea hivi sasa, kwa,Bernard membe kwake ni Kicheko hadi kwenye Gego.Hata Kama ni Membe ndiye aliyepigwa mkuki wa moyo,.Pia kwenye Waraka wa Pompeo ameinyooshea kidole serikali ya Magufuli,kwamba anachokifanya Makonda ni maelekezo toka kwenye utawala wa Magogoni. Hii inampa wepesi Membe...
 9. S

  Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

  Mimi huwa simpendi huyu Makonda.Ila kama wameamua kumzuia kwa sababu ya ile issue ya mashoga,Mimi nipo pamoja naye.Wabaki na nchi lao Sent using Jamii Forums mobile app
 10. S

  Mrejesho ufugaji wa nguruwe, kilimo cha matikiti maji na ufugaji ng'ombe wa maziwa

  Ng'ombe wa Maziwa ndiyo mpango mzima.Una mnunua Leo,muda huohuo anaanza kukurudishia hela yako Sent using Jamii Forums mobile app
 11. S

  Wizara ya Maliasili na Utalii kwanini msimtumie "Bongo zozo" kwa ajili ya kuongeza Wageni kuja kutalii nchi ya Tanzania?

  Akili mgando za Watendaji wa Serikali.Huyu jamaa anaipenda sana Tanzania.Mi siwashangai kwa Ubozo wao hao Bodi ya Utalii.Wameshindwa kumtumia hata Maulid Kitenge,ambaye kila siku tunamuona yuko kwenye nchi za watu Sent using Jamii Forums mobile app
 12. S

  Kiongozi anaponunua helcopter 13 za kumlinda yeye binafsi, lakini anakwazwa na mageuzi Jeshi la Zimamoto

  Drones za kuzimia moto?.Hatujafikia huko!.Kwa moto upi,huu wakuunguza nyumba ya mbavu za mbwa Tandika?
 13. S

  Kutumbuliwa kwa Lugola: Askari Polisi waandika waraka, washukuru kuondolewa wizarani kwani aliwadharau na kuwabeza hadharani

  Yaani nyie mapolisi wala msilaumu Lugola.Tabia aliyoonyesha Lugola wengi wenu ndivyo mlivyo.Kwa taarifa yenu raia wa chini,hasa bodaboda,madereva wanamlilia Lugola,mlizoea kubambikizia raia kesi, Hizo Shangwe zenu hamna lolote,mmefurahia kwa vile aliwabana msionee Raia.Hata wewe uliyeandika hii...
 14. S

  Je, Rada zinashindwaje kuziona Drones?

  Kivipi wanachekesha?.Watu wanamwaga utaalam we unawacheka?.Haya tukusome na wewe Sent using Jamii Forums mobile app
 15. S

  Historia ya kweli ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda

  Namkumbuka vizuri yule waziri mkuu.Yule Mama alikuwa kaumbika na mzuri kwelikweli.Swali.Je yeye alikuwa muhutu au Mtusi? Sent using Jamii Forums mobile app
 16. S

  Je, Mpanda Katavi panafaa kwa mtu kwenda kuanzia kutafuta maisha?

  Usitishike,ni mji wa kawaida sana Sent using Jamii Forums mobile app
 17. S

  Samatta na Diamond nani zaidi kwa kipato

  Ingia tweeter Sent using Jamii Forums mobile app
 18. S

  Samatta na Diamond nani zaidi kwa kipato

  Samatta analipwa kwa Siku Milioni 21 Tsh Wiki: Milioni 153 Tsh Mwezi: Milioni 610 Tsh Mwaka: Bilioni 8 Tsh Sijui Diamond kipato chake, Ila ningependa kujua nani zaidi? Sent using Jamii Forums mobile app
 19. S

  Hospitali ya St Camillius Dodoma ni kijiwe na wahuni tu wanaojiita madaktari bingwa

  Nimsaidie kukujibu.DCMC haiitaji promo,wala Nini.Hii ndiyo hospital Bora kwa Dodoma,pamoja na kwamba gharama zao ni kisu.Hiyo hospital anayoizungumzia wala si Uongo,hata Mimi nishaenda pale,niliapa sitokanyaga pale Kama ilivyo Agakhan ya hapa Dodoma,hao wote ni hovyo kabisa Sent using Jamii...
 20. S

  Je, Mpanda Katavi panafaa kwa mtu kwenda kuanzia kutafuta maisha?

  Ukiona Mpemba kapiga kambi mahali,jua hapo kuna pesa za kumwaga.Katavi ina fursa za kilimo cha mpunga,uchimbaji madini,Ulinaji Asali na uvunaji mbao.Katavi ni mji wa kitalii pia.Huku wapemba na wasukuma ndiyo geu lao la Fedha.Karibu majengo,Kasimba,Kashauriri na Misunkumilo Sent using Jamii...
Top