Search results

 1. K

  Nakukumbusha Waziri Ndalichako kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana. Utaondoka na kukiacha kama wengine walivyokiacha

  Mama Ndalichako fikiria upya kuhusu hatua zilizochukuliwa kwa viongozi halali wa serikali ya wanachuo. Viongozi walikuwa wanatimiza wajibu wao wa kuwatetea waliowachagua,wewe ulitakiwa utumbue waliochelewesha fedha. Sasa tangu vyuo vifunguliwe kumbe bado kunawanafunzi hamjawapelekez fedha zao...
 2. K

  Huu ndio ukweli kuhusu andiko linalomtuhumu DC wa Tabora Mjini, Komanya Kitwala kutokuwa na maelewano na watumishi

  Halafu Kuna tuhuma ya Fedha za harambee kudhibitiwa na mtu mmoja,nimesikia kwamba yeye ndiye muhasibu ,ndiye mtunza kumbukumbu,yeye peke yake ndiye anajua nani katoa nini na nani hajatoa. Yeye ndiye anagawa ,watu wanahoji Check and Balance. Mkaguzi akitaka kujiridhisha kukagua matumizi ya hizo...
 3. K

  Huu ndio ukweli kuhusu andiko linalomtuhumu DC wa Tabora Mjini, Komanya Kitwala kutokuwa na maelewano na watumishi

  Mkuu wa Wilaya Cheo kimemzidi ukubwa,sidhani kama aiipelekwa semina.kufundishwa majukumu ya mkuu wa Wilaya,sidhani kama anayo miongozo ya ukuu wa wilaya,mapepe mengi na kutembea na saa 48 mfukoni ndio anachokumbuka kijana mwenzenu Komanya.hajui chochote kuhusu team work,intergrity,communication...
 4. K

  Huu ndio ukweli kuhusu andiko linalomtuhumu DC wa Tabora Mjini, Komanya Kitwala kutokuwa na maelewano na watumishi

  Kanya acha kuwadanganya wanajamii forums,ulichofanya ni prejection defensive mechanism,unataka kuuaminisha umma kuwa Mkurugenze ni mwizi,madiwani ni wezi wakuu wa Idara ni wezi na watumishi ni wezi,bali wewe ndiye mtakatifu kiasi cha kila kiongozi Tabora mjini kukuchukia wewe. Ukweli unabaki...
 5. K

  Mkuu wa Wilaya ya Tabora ndugu Erick Komanya Kitwala hana maelewano na mtumishi yeyote ndani ya wilaya anayoiongoza

  DC wa Tabora Manispaa aitwae ERIC KOMANYA KITWALA anapenda ugomvi, masimango, kujimwambafai na ktutukana watumishi kuanzia Mkurugenzi hadi mfagiaji. Huyu DC ndie DC wa hovyo kuzidi hata yule wa Kilolo. 1. Tangu ateuliwe kuwa DC kazi yake ni kujisifu mbele ya watumishi, madiwani, wana CCM na...
 6. K

  Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

  Bahati mbaya hawatawahoji live watakachojibu kitabaiki kuwa siri na wao watapewa onyo na kupewa msamaha. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. K

  Mamlaka kwanini zinamuogopa DC wa Tabora Mjini Komanya Kitwala?

  Hivi alisoma shule gani? Maana sio kwa kijimwambafai huko Sent using Jamii Forums mobile app
 8. K

  Mamlaka kwanini zinamuogopa DC wa Tabora Mjini Komanya Kitwala?

  Anaitwa Erick Komanya Kitwala,nimeandika hapo kwenye kichwa cha habari. Sent using Jamii Forums mobile app
 9. K

  Mamlaka kwanini zinamuogopa DC wa Tabora Mjini Komanya Kitwala?

  Huyu DC ndie DC wa hovyo kuzidi hata yule wa Kilolo. 1. Tangu ateuliwe kuwa DC kazi yake ni kujisifu mbele ya watumishi ,madiwani,wana CCM na hata mbele ya mikutano ya wananchi wakawaida. 2. Alianza kugombana na dereva wa DC ambae alimkuta akimuendesha DC Qeen Mulozi ambae ni DC aliekuwa...
 10. K

  Election 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

  Ninaimani kubwa na Membe,hasa kutokana na ubobezi kwenye diplomasia ya kimataifa.Membe atatuvusha,ccm wakimkataa upinzani wampokee muhimu atusaidie kupindua meza Sent using Jamii Forums mobile app
 11. K

  Maalim Seif awaponza viongozi wa Jeshi la Polisi Pemba, yaamriwa wavuliwe vyeo

  Tumeichoka amani,tumevimbiwa,wanaichezea Zanzibar bila.kujua vita ya nchi yetu itaanzia Zanzibar na kisha itasambaa Tanzania Bara yote. Huu ulevi wa madaraka wa ccm utatuingiza kwenye machafuko very soon. Bashiru Ally anakwenda kufanya siasa Zanzibar na huyo masauni na makamanda wote...
 12. K

  Platform waliyotengeza CCM ni ngumu kuja kuwatoa madarakani labda wenyewe waamue tu kung'atuka

  Sasa mliwatoa wagombea wote wa upinzani mlitaka mgombee na nani? Mlivyowatoa bila akili mkagundua mmekosea mkaweka watatu wakutakatisha haramu? Sent using Jamii Forums mobile app
 13. K

  Platform waliyotengeza CCM ni ngumu kuja kuwatoa madarakani labda wenyewe waamue tu kung'atuka

  Ccm Zanzibar ilishindwa ikadai imeibiwa kura ikafuta uchaguzi,ikaitisha tena ikajitangaza,halafu umekula fedha za rushwa unakuja hapa kubwabwaja kwamba wamejipanga. Umesahau kama juzi wameogopa uchaguzi wa serikali za mitaa? Hivi wangekuwa wapo Organise na wanauhakika watashinda wangeogopa...
 14. K

  Platform waliyotengeza CCM ni ngumu kuja kuwatoa madarakani labda wenyewe waamue tu kung'atuka

  Uimara wa ccm upo mgongoni mwa vyombo vya dola,gazeti likipromote upinzani linafungiwa,gazeti lilitukana upinzani linapewa ba fedha ili lichapwe kila siku hata kama halina wateja. Rejea Jamvi la Habari na Vijarida vya Musiba Sent using Jamii Forums mobile app
 15. K

  Platform waliyotengeza CCM ni ngumu kuja kuwatoa madarakani labda wenyewe waamue tu kung'atuka

  Vyama vya upinzani vinasumbuliwa na dola na sio CCM ,CCM imeshakufa muda mrefu kilichopo ni dola ndio imebaki.inawabeba. Uchaguzi ukiwa huru na haki,Polisi, Jeshi na Usalama wakaamua wakae pembeni wakisubiri mshindi ndiye wafanye nae kazi CCM itashindwa kwabla jua halijazama. Sent using...
 16. K

  Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

  Sikupata fursa kutazama maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika. Lakini mitandaoni pamechafuka,watu wanamshambulia Mbowe kwa kuwapeleka Chadema kujisalimisha kwa mtesi wao. Wengine wanampongeza kwa kwenda kuungana na serikali kutaka maridhiano. Swali langu,kwenu wana jamvi,dola ilisemaje...
 17. K

  Picha: Maalim Seif achanja mbuga uchaguzi 2020. ACT ni tishio kwa siasa za Zanzibar

  Maalim Seif Shirif ni taasisi sio mtu,ndio maana CCM hawalali,Bashiru hana uwezo wa kufanya siasa Zanzibar bila mbeleko ya dola Sent using Jamii Forums mobile app
 18. K

  Kwanini Bashiru Ally anaficha kilichompeleka Zanzibar ?

  Vita ya Tanzania itaanzia Zanzibar na kisha itaenea mikoa ya Tanganyika,na huo ndio utakuwa mwisho wa amani ya Tanzania. Wazanzibar wanauwezo wa kifanya lolote kwaajili ya nchi yao,Bashiru usitiharobie nchi,stop
 19. K

  CCM wapita bila kupingwa nchi nzima.

  Wapinzani wameweka mpira kwapani,wameogopa kishindo cha CCM sasa ni rasmi kila mtaa kwa sasa ni mali ya CCM,wasimamizi wengi nchi nzima wamewatangaza wana CCM kupita bila kupingwa baada ya tamko la pili la waziri Jafo. Wapeni mihuri wateule waanze kazi ya kuwatumikia watanzania hadi 2024...
 20. K

  CHADEMA Dodoma yasema haitakaa isusie tena uchaguzi, uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wa mwisho kususiwa

  Kwahiyo ulitaka chadema gani ishiriki wakati wagombea wake wamekatwa
Top