Search results

 1. afsa

  Kwa ñini Poul alimuua rais wa RWANDA?

  Africa It’s time for a reckoning for Kagame and his Western cheerleaders Timothy B Reid 23 Apr 2019 00:00 A quarter of a century later, it is about time that the role of Paul Kagame and his allies in the Rwandan genocide and the years of violence which followed is properly examined. (Reuters)...
 2. afsa

  Kagame ndo aliyewaua Rais wa Rwanda na Burundi kwa nini Marekani wanamlinda/

  Africa It’s time for a reckoning for Kagame and his Western cheerleaders Timothy B Reid 23 Apr 2019 00:00 A quarter of a century later, it is about time that the role of Paul Kagame and his allies in the Rwandan genocide and the years of violence which followed is properly examined. (Reuters)...
 3. afsa

  Leo 14/5/2019 Wakulima wa korosho hatujalipwa

  Tangu rais atue mtwara na kuagiza wakulima wadogo wadogo wote walipwe ndani ya siku 2 hadi Leo hatujalipwa. Kila tunapohoji tunaambiwa tusubiri kidogo tutalupwa, je ikiwa rais alisemà tulipwe na kwamba pesa IPO lakini hadi Leo hatujalipwa, pesa za wakulima zimepigwa na wajanja?
 4. afsa

  Unga umepanda bei, mshahara ni ule ule

  Wanabodi, salaam. Wakati mawaziri wakiendelea kutoa kauli zisizoeleweka kuhusu takwa la kisheria la kupanda mshahara mtaani hali inazidi kuwa mbaya. Unga umepanda bei sana. mwezi january unga wa sembe kilo 25 ulikuwa ukiuzwa 14,500/= kwa bei ya jumla. Leo unga ule ule unauzwa 27,000/= kwa bei...
 5. afsa

  CHADEMA shikilieni hapohapo tunawaelewa

  Kwa sasa habari ya mjini ni mambo manne ambayo yanawapa credit 1. Ufisadi wa serikali ya awamu ya 5 kupitia ripoti ya CAG 2. Nyongeza ya mishahara kisheria 3. Katiba mpya 4. Utawala bora Huku mtaani tunawaelewa na watumishi wameanza kuwapanga wapiga kura taratibu. . Ninyi kila siku muwabane...
 6. afsa

  Pambalu: Serikali ya wanyonge na wabunge wa ccm wamewasaliti watumishi

  *TUNAPOMKUMBUKA YUDA ISKARIOTE, TUSIWASAHAU* WABUNGE WA CCM *WALIOKATAA HOJA YA KUTETEA MASLAHI YA WATUMISHI WA UMMA ISIJADILIWE BUNGENI TUNAPOELEKEA UCHAGUZI MKUU 2019-2020.* Na Mwl, John Pambalu. Yuda Iskarioti (kwa Kiebrania יהודה איש־קריות), Myahudi wa karne ya 1, alikuwa mmojawapo wa...
 7. afsa

  Nipeni nafasi ya TUCTA niinyooshe serikali.

  Naitamani sana ile nafasi ya TUCTA. Nawaoneà sana hurumaa wafanyakazi hasa wa kada za Chini ambao wanatumia mishahara yao kufanya kazi zaa serikali. Hawa watumishi hulipa kutoka ktk mishahara yao huduma zifuatazo; Usafiri wa kwenda kazini na kurudi Upangaji wa nyumba Usafiri wa likizo Maji...
 8. afsa

  Hatujalipwa pesa ya korosho hadi sasa. Kauli ya Rais imepuuzwa?

  Mkulima ataendelea kutaabika hadi pale atakapopata mtetezi wa kweli. Hadi sasa hivi sisi wakulima wadogo wadogo hatujalipwa japokuwa tulishahakikiwa siku nyingi na rais akiwa mtwara alielekeza tulipwe ndani ya siku mbili. Kangomba ndo hawajalipwa hata mmoja, walilipa wakulima wachache wakati...
 9. afsa

  1.5T hadi 2.4T ndo imetufikisha hapa kwa CAG?

  Enzi za Jk ambapo Bunge lilikuwa la hoja kwelikweli , mawaziri walibanwa, makatibu walitaitiwa, Bunge Lilikuwa moto moto viongozi waliwajibishwa. Rais aliitwa DHAIFU. Enzi za Jpm ambapo bunge lipo gizani hatujui kinachoendelea, zaidi tunapata mitandaoni vioja vya watu kama kibajaji, msukuma...
 10. afsa

  Mradi wa kukamata pikipiki mjini ni wa CHADEMA au wa CCM?

  Kuna biashara mbovu ya kuwaumiza bodaboda na waendesha pikipiki mjini. Awali hili lilikuwa ni katazo la Paul Makonda sasa umekuwa ni mradi halisi. Nani anafaidika makonda? CCM? CHADEMA? Nauliza hivi kwa sababu huu mradi umekaa kitapeli tapeli. Wakamataji unaongea nao dau kwanza nje ya...
 11. afsa

  Ajira zinaendelea

  Ikiwa ni mwendelezo wa maandalizi ya uchaguzi, watendaji(makada wa ccm) wanaajiriwa moja kwa moja toka wizarani kwenda katani. Mkurugenzi sasa hapangi watumishi wanaoajiriwa kutokana na uhitaji wake. Hapa katani kwetu ameletwa mtendaji(kada) kwa maelekezo toka wizarani wakati tayari hapa tuna...
 12. afsa

  Dr. Msigwa wa TUCTA kuungana na wa CCM kuwakandamiza watumishi , inauma sana

  Wakati ni huu wa kumuondoa Dr Musigwa TUCTA na CCM. Watumishi kwa hili tuungane. KUPORWA KWA MAFAO YA WAFANYAKAZI: DHAMBI YA BUNGE AU TUNALISHWA 'MATANGO PORI'??? Wakubwa zangu salaam. Mimi ni Mbunge na kwa hiyo ninaweza kusemwa nina maslahi katika mjadala huu. Ninayo kweli. Kwa vile...
 13. afsa

  Andiko bora la mwaka Rais Magufuli Jembe Tumuunge mkono

  Zitto Zubeir kabwe Mwongozo wa namna ya kuishi na Magufuli kwa wanasiasa, wastaafu na wafanyabishara Moja Usisema CCM bali sema CCM ya Magufuli. Wala usijaribu kusema Serikali ya CCM bali Serikali ya Magufuli. Katika fikra zake, yeye ni zaidi ya Chama kilichomuweka madarakani. Yeye ndiye...
 14. afsa

  Tunahoji ruzuku ya CHADEMA kuliwa na Mbowe, kwanini CCM hawatuelezi ruzuku yao Inaliwa na nani?

  Wana Jf Tujiulize haya, Chama kikubwa kama chama cha mapinduzi(CCM) kwa nini hawajawahi kutueleza ruzuku yao inatumikaje? Mbona kila siku wanahoji ruzuku ya CHADEMA lakini hawatupi matumizi ya ruzuku yao? Kwa nini hatuhoji ufisadi unaofanywa na vigogo wa CCM wa matrioni na mali za umma ila...
 15. afsa

  Tajiri/kampuni ya kununua pikipiki

  Nahitaji tajiri au kampuni ya kununua pikipiki mpya au used ili niingie nae mkataba wa mwaka mmoja. 1. Ukinunua pikipiki mpya kila wiki nawasilisha tsh 70,000*wiki52= 3,640,000/= kwa mwaka(service zote kubwa na ndogo kwangu). NB: Mkataba wa mwaka ukiisha pikipiki inakuwa Mali yangu. Au 2...
 16. afsa

  Pointer ya laptop yangu inatetemeka hovyo haitulii

  Nina laptop imeanza kunisumbua. Pointer yake haitulii ninapogusa touch, nikiachia hata nikitumia mouse Inaendelea kucheza cheza nashindwa kufanya kazi zangu, nimepeleka kwa fundi amekorokochoa lakini ameshindwa kurekebisha tatizo. Ni Hp ram 3gb, hd 250. Msaada wenu tafadhali.
 17. afsa

  Katibu mkuu TUCTA: Waliokutwa na vyeti feki wakiacha kazi kwa hiyari watakosa mafao yao

  Hii ni habari muhimu Sana kwa Wafanyakazi wanaoitwa wenye vyeti feki. Popote mlipo waathirika zingatieni hili. "Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), Dk Yahya Msigwa amesema wafanyakazi wa umma 9,932 waliobainika kuwa na vyeti bandia wakiacha kazi kwa hiari...
 18. afsa

  Mlipuko wa bei Sukari kilo 3000, sembe kilo 2000

  Wanabodi tuitendee haki nchi yetu na watanzania wenzetu wasio na uwezo wa kumudu gharama kubwa za vyakula hapa nchini kwa sababu ya uhaba wa chakula uliosababishwa na ukame. Hapa kwetu kijijini tumelima zaidi ya majembe 3 kwa msumu huu bila mafanikio, yaani tulilima mara ya kwanza yakakauka...
 19. afsa

  Wawili wafa kwa njaa Magu

  Wanabodi uhai Ndio kila kitu kwa kila raia wa Tanzania. Waandishi wa habari niwaombe mwende ktk kijiji cha LUNALA huko magu muitangaze njaa bila uoga. Kuna watu wawili wamekufa. Ni wazee. Wamezikwa. Wamekufa kwa njaa. Walikuwa wanaishi peke yao. Namba ya simu ya mtu wa kuwaongoza mkifika...
 20. afsa

  Utafiti: Vibamia husababishwa na sababu kuu mbili.

  1. Utafiti unaonesha 98% ya wanaume waliotailiwa wakiwa chini ya miaka 3 vibamia wengi wana vibamia..... 2. Utafiti unaonesha 78% ya wanaume ambao mashine wameanza kuitumia wakiwa na miaka zaidi ya 20 wana vibamia. 3. Utafiti unaonesha pia 99% ya wanaume wenye "govi" hawana vibamia. Ushauri...
Top