Search results

 1. Anko Sam

  Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

  Kama hujui watanzania tunataka Rais wa namna gani, unastahili kupimwa mkojo! Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Anko Sam

  Ufafanuzi wa Mapigo Kumi ya Wamisri!

  Kwa hiyo unataka kutuaminisha ile milima ya udongo mwekundu ili safishika ikawa mieupe. Au mvua hainyeshi tena katika milima yenye udongo mwekundu? Maana tungesikiaga hilo tukio likijirudia pindi mvua zinyeshapo kwenye milima ile. Ulicho andika ni sawa na Theory ya binaadamu alianza kama nyani...
 3. Anko Sam

  USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

  Unashangaa vijana kumshughulikia kijana mwenzao..!! Wewe ulivyowashughulikia akina Halima ndani ya Bunge, wenyewe ni wazee!!! Jifunze heshima kwa watu wote.
 4. Anko Sam

  Mkuu wa wilaya Ilemela aachia ngazi

  Ni mwendo wa double standard tu mpaka tushike adabu!!
 5. Anko Sam

  Charles Mwijage: Nina watoto hii kazi naipenda

  Akiwa kwenye ofisi ya umma ana ziona fursa nyingi tu za kujiajiri, akifukuzwa humo fursa zinapotea ana anza kulialia. Asiogope mbona wengine tupo kitaa tu miaka mingi??!! Aje ajiajiri na yeye.
 6. Anko Sam

  Salum Mwalimu: Kuugua na kulazwa ghafla kwa Mhe. John Heche

  Hakuna ugonjwa wa Mungu, magonjwa yote ni ya Shetani na mawakala wake hao wanaotumia "utamaduni" na "vitu vyenye ncha kali"
 7. Anko Sam

  Mtifuano wa CHADEMA vs ACT ubunge wa EALA, Lissu awaambia ACT wasitumiwe na CCM

  Kwani hizo sheria zilizowekwa zinazokipa CCM nafasi 6, CDM nafasi 2 na CUF nafasi 1 ziliwekwa na nani? Je walioziweka waliziweka wakiwa na akili timamu au walikuwa wamelewa bange na viroba? Kwanini wasiendelee kuziheshimu kwa kuzifuata mpaka wazibadilishe sasa? Je wanataka wazibadilishe kwa...
 8. Anko Sam

  Kuna kitu hakiendi sawa: Mkuu anapambana na umma?

  Muislamu gani unaye msema? Imeandikwa akikosa kabisa chochote cha kula anaruhusiwa kula. Chezeya njaa weye!!
 9. Anko Sam

  Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

  Hili nalo ni jipu lililokaa sehemu mbaya, kulitumbua linahitaji usiwe na tamaa, unaweza kupewa ukapata kigugumizi cha kutaja majina.
 10. Anko Sam

  Yaliyojiri Kibandamaiti: Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CUF Jumatano Septemba 09, 2015

  Fafanua Mkuu nikuone wa maana. Nijuavyo mimi Chenge kila dili chafu yumo, tuhuma ya RADAR ilisababisha Bunge la UK lijadili na kuiamuru Kampuni ile iludishe pesa yote ambayo nayo haijawekwa wazi iko wapi labda Membe atatwambia siku moja. Lowassa hajawahi kujadiliwa kimataifa na mitambo ya...
 11. Anko Sam

  Katibu Mkuu wa CHADEMA anapolindwa na walinzi wa Kanisa!

  Kama si upotoshaji wa makusudi basi inawezekana akili za baadhi ya watu humu haziweki kumbukumbu sawasawa au zina matatizo ya kusahau haraka sana. Askofu Gwajima alisema, "...kwenye nyumba ya Dr. Slaa kuna walinzi wa chama (wanaolipwa na CDM), lakini bado Dr. Slaa alihitaji walinzi waaminifu...
 12. Anko Sam

  Gwajima Kitanzini, Viongozi wa dini wamshukia kama mwewe

  Padre Dr. Slaa aliposema kuhusu ushenga wa Bishop Josephat Gwajima, magamba yalishangilia kwa vifijo, ndelemo na vigeregere. Askofu Josephat alipojibu na ukweli kujulikana. Magamba yanatoa povu kutaka kutumia vyombo vya dola kudhibiti uhuru wa kujieleza. Kama wanaCCM wangekuwa waungwana...
 13. Anko Sam

  Mh. John Magufuli asababisha Kimbunga uwanja wa Jamhuri Morogoro Mjini

  Heri tutawaliwe na fisadi mmoja wa kufikirika kuliko kuendelea kutawaliwa na CHAMA CHA MAFISADI miaka na miaka.
 14. Anko Sam

  Maajabu ya Musa: Miaka 51 ya Kenya, Miaka 54 ya Tanzania

  Flyover ni permanebt solution for all users but BRT ni very temporary and not friendly user for all. Kwanza ajali zitakuwa za kumwaga kwa jinsi barabara zetu zilivyo nyembamba. Foleni za magari zitakuwa palepale kwani kusubiri mabasi ya mradi kupita itakuwa hapa na pale.
 15. Anko Sam

  Kumbe falsafa ni rahisi hivi?

  Dr. Slaa kwa jinsi anavyo mshambulia EL kama fisadi mkuu angenishawishi vizuri sana kama angetaja tuhuma angalau tatu kubwa alizonazo EL zinazoligharimu taifa hadi sasa. Lakini kang'ang'ania RICHMOND ambayo mpaka leo ipo kama SYMBION na hajaitaja kabisa! Kwani hela inayolipwa SYMBION inaingia...
 16. Anko Sam

  Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

  Lowasaaa anatoshaaaa....!
 17. Anko Sam

  Dr. Slaa avuliwa nguo, dili alilipanga Josephine. Alonga na Mwakyembe kabla hajaingia kwenye mkutano

  Mi maswali yangu ni matatu tu makubwa kwa Dr. Slaa kama kweli ana uchungu na watanzania:- - Anasema EL ni mchafu hafai kuwa Rais, je watanzania malofa wamchague nani? Je tuichague tena CCM? - Baada ya Press conference yake, kwanini anawakimbia watanzania? Je amechoka kula mihogo au anakimbia...
 18. Anko Sam

  Dr. Magufuri serikali imejenga kiwanda cha Dangote

  Una maana Magufuli hajui tofauti ya neno "kibali" na "imejenga"? Mbona huwa hakose kusemai "...Serikali imetoa kibali kwa wachina wajenge barabara"...? Inaeleweka kuwa, kama haujazoea unapokutana na umati mkubwa wa watu usivyotarajia na wanakusubiri useme mustakhabari wa maisha yao, unaweza...
 19. Anko Sam

  Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

  EL ni mmoja anayetuhumiwa kwa kashfa moja ya Richmond ndani ya CDM lakini CCM kuna watu zaidi ya 100, wengine wanatuhuma kwa karibu kashfa inayotokea serikalini. Tena wanaona fahari na wanajitahidi kila mmoja amzidi mwenzake kwa kashfa, yaani kama ukoo wa panya. Kwa muktadha huo, CDM...
Top