Search results

 1. Mgambilwa ni mntu

  Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

  Jiji la Mwanza limeteuliwa na ATCL kuwa Kituo cha mwisho cha safari za ndege kutoka Tanzania kwenda Ulaya. Sababu ya kuteuliwa kwa Mwanza haijatolewa lakini uchunguzi wangu unaonyesha kuwa Jiji la Mwanza ndilo the northernmost kwa majiji yote nchini hivyo ni rahisi kwa ndege zinazokwenda nje...
 2. Mgambilwa ni mntu

  CHADEMA ya Wasomi: Mbunge wa Mlimba Suzan Kiwanga ashindwa kusoma 11,070. Arudia mara tano bila mafanikio. Spika aingilia

  Mbunge wa mlimba kupitia CHADEMA, Suzan Kiwanga katika namna ya kushangaza sana ameshindwa kabisa kutaja kiwango cha fedha alichokuwa akikisoma wakati akiuliza swali kwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango. Kiwanga alishindwa kutaja 11,070 licha ya kurudia kama mara tano kwa style tofauti. Spika...
 3. Mgambilwa ni mntu

  Je, udhaifu wa Mashitaka yaliyofunguliwa na IMMA ndio uliokuwa mwanzo wa mwisho wa Fatma Karume na IMMA kukubalika kisheria hapa Tanzania?

  Jana tarehe 16.01.2019, Mahakama Kuu ilitupilia mbali Kesi iliyofunguliwa na Zitto Kabwe na Wabunge wanne wa Upinzani kupitia kwa Fatma Karume na Kampuni yake ya Uwakili -IMMA. Hata hivyo, Mahakama ilitupilia mbali kesi hiyo kwa maelezo kuwa, mashitaka hayakuwa na viambatisho vyovyote vikiwemo...
 4. Mgambilwa ni mntu

  Ikulu: Rais Dk. John Pombe Magufuli apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi

  Tujongee TBC kujionea matangazo ambapo Rais anapokea Hati za Utambulisho za Mabalozi, wakiwemo kutoka South Korea, Malawi na Brazil.
 5. Mgambilwa ni mntu

  CHADEMA yapinga madai ya Nyalandu juu ya uwepo wa usiri katika uteuzi wa Mgombea Urais. Yamtaka asiongelee mapungufu bali ayapeleke kwa Viongozi

  Chama cha CHADEMA kimemuijia juu kada wake, Lazaro Nyalandu juu ya madai yake kuwa, Chama chao kinapaswa kuendesha mchakato wa kumpata Mgombea Urais kwa uwazi. Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar), Salum Mwalimu alisema Chama chao kinasimamia taratibu zake na kila aliye karibu nacho katika...
 6. Mgambilwa ni mntu

  Waziri wa Ujenzi, Isack Kamwelwe: Ukarabati wa Bombardier utagharimu Bilioni 6 na siyo bilioni 13.9.

  Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Isack Kamwelwe, ametoa ufafanuzi kuwa, matengenezo ya Ndege mbili za Bombardier zinazotarajiwa kupelekwa nchini Canada, yatagharimu Bilioni 6 na siyo 13.9 zilizoripotiwa kwenye vyombo vya habari. Waziri alisema kuwa, kuna uwezekano mkubwa aliyeandika...
 7. Mgambilwa ni mntu

  Ikulu: Rais Magufuli ashuhudia Utiaji Saini kati ya Serikali na BHART Airtel. Airtel kutoa bilioni 1 kila mwezi kwa miaka 5 kusaidia huduma za jamii

  Hafla ya Utiaji saini kati ya Serikali na Kampuni ya Bhart Airtel Ikulu jijini Dar es Salaam, ikiongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli. Hafla hiyo inafuatia kazi nzuri ya Serikali, chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli baada ya kufanikisha deal na kuongeza share za Serikali kwenye Kampuni ya...
 8. Mgambilwa ni mntu

  Nyalandu auponda mfumo wa uteuzi wa Wagombea Urais ndani ya CHADEMA. Ataka uwekwe mfumo ulio wazi na wa kidemokrasia wa kuwapata Wagombea

  Kada wa CHADEMA, Lazaro Nyalandu amekitaka Chama chake cha CHADEMA kiweke mfumo ulio wazi na wa kidemokrasia wa kuwapata Wagombea katika ngazi zote. "CHADEMA inapaswa kuweka mfumo wenye kuonyesha utaratibu mahsusi ambao upo wazi na wa kidemokrasia. .... hadi Mwezi Juni mwaka huu uwe umekamilika...
 9. Mgambilwa ni mntu

  Vitisho vya Vikwazo vya EU kwa Tanzania ni matokeo ya Dunia kushindwa kukubaliana juu ya maana ya Haki: Je, ni Haki za binadamu ama Haki za Watu?

  Baada ya Nchi 50 kufanikiwa kuunda Umoja wa Mataifa (UNO) Mjini San Francisco mwaka 1945, unyama na ukatili uliokuwa umefanyika wakati wa WW II (1939 - 45), hasa Jews Holocaust ulipoanza kujulikana, uliitisha sana na kuushangaza ulimwengu mzima kwa namna mamilioni walivyouawa kwa njia za mateso...
 10. Mgambilwa ni mntu

  Waziri wa Katiba, Profesa Kabudi awajibu Umoja wa Ulaya: Mtandao wa Tume za Haki za Binadamu Duniani umeipa Tanzania Daraja A kwenye Haki za Binadamu

  Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Aidan Kabudi, alisema kutokana na juhudi za Serikali katika kutetea Haki za Binadamu na Utawala Bora; tathimini iliyofanywa na Mtandao wa Tume za Haki za Binadamu Duniani, umeipa Tanzania Daraja A katika kulinda Haki za Binadamu na utawala bora...
 11. Mgambilwa ni mntu

  IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

  Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake, Waziri Mkuu wa Misri, Mostafa Madbouly, wanashiriki utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme kwenye Mto Rufiji (Stieglers Gorge). Sherehe hizo zimehudhuriwa pia na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu; Waziri Mkuu Kassimu...
 12. Mgambilwa ni mntu

  Prof. Gaudence Mpangala awatolea uvivu wanaopinga Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa: Mlikuwa wapi wakati Muswada ulitoka muda mrefu?

  Prof. Mpangala akiwa na Joseph Butiku. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Katoliki Ruaha (RUCU), Prodesa Gaudence Mpangala amevikosoa Vyama vya Siasa nchini vinavyopinga Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa, akidai kuwa hatua yao hiyo imechelewa kuchukuliwa kwani Muswada huo una muda...
 13. Mgambilwa ni mntu

  Wamachinga wafurahia uamuzi wa Rais Magufuli kutoa vitambulisho kwao. Waomba vitambulisho viongezwe tena.

  Uamuzi wa Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kutoa vitambulisho kwa Wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga) nchini, umepongezwa na kufurahiwa na Wafanyabiashara hao kwa madai kuwa, zitasaidia sana kuondokana na kero za kukimbizwa mara kwa mara na Askari wa mgambo. Wafanyabiashara hao wamedai...
 14. Mgambilwa ni mntu

  Rais Magufuli: Nia aibu kwa Taifa lenye watu milioni 55 kuwa na walipa kodi milioni 2.2 pekee. Kenya ina watu milioni 46 na walipa kodi milioni 3.9

  Rais Dk. John Pombe Magufuli, akiwa katika Kikao Maalum kati yake na Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ameeleza kuwa, Tanzania haifanyi vizuri katika suala la ukusanyaji wa mapato kulinganisha na Nchi nyingine za kiafrika. Alieleza kwa kufafanua takwimu za kodi kwa kulinganisha...
 15. Mgambilwa ni mntu

  Lowassa azungumzia hatma yake CHADEMA

  Kufuatia sauti ambazo zimekuwa zikipazwa na baadhi ya Viongozi wa CHADEMA zikimtaka Edward Lowassa ambaye alikuwa Mgombea urais mwaka 2015 kupitia UKAWA, kutoa kauli yake juu ya tetesi kuwa anataka kurudi CCM; Lowassa amedai kuwa, hana mpango wa kuhama CHADEMA. Mwanzoni mwa wiki hii, Naibu...
 16. Mgambilwa ni mntu

  Baada ya kukamilika kwa gati lenye uwezo wa kuhudumia meli yenye magari 5,000: Meli kubwa zaidi itatua Dar wiki ijayo. Kushuhudiwa na Waziri

  Muonekano wa Gati mpya Na. 1 Baada ya kukamilika kwa Gati Na. 1 kati ya 7 yanayojengwa katika Bandari ya Dar es Salaam kwa gharama ya bilioni 33.7; ufunguzi unatarajiwa kufanyika wiki ijayo ha kuhudhuriwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe. Kulingana na Mkurugenzi...
 17. Mgambilwa ni mntu

  Shutuma dhidi ya kuitwa kwa Membe jukwaani: Mzee Makamba amuunga mkono Dk. Bashiru na kudai hata yeye alikuwa akiwaita kwa utaratibu huo..

  Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Yusuf Makamba amepingana na kauli iliyotolewa na aliyewahi kuwa Spika na Katibu Mkuu wa CCM, Pius Chipanda Msekwa juu ya shutuma alizoelekeza kwa Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally kwa kitendo cha kumuita kupitia majukwaani, kada wake, Bernard Membe. Makamba...
 18. Mgambilwa ni mntu

  Je, ukubwa uliopitiliza wa Grigori Angels pamoja na maumbo ya ajabu ajabu ya Malaika siyo matokeo ya Evolution iliyotokana na hali ya hewa ya huko?

  Malaika wakimpandisha Enoch mbinguni. Kulingana na Kitabu cha Enoch, ambacho kiliondolewa kwenye Vitabu vya Biblia, kinaeleza kuwa, Enoch alichukuliwa na Mungu kwenda mbinguni na alipokuwa amefika katika Mbingu ya tano, aliwaona Malaika aina ya Grigori (Watchers) na kuwaeleza kuwa, walikuwa na...
 19. Mgambilwa ni mntu

  Tetesi: Bernard Membe na mtandao wao hawakufurahia uamuzi wa Rais Magufuli kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei kubwa kuliko iliyopendekezwa

  Siasa za korosho zimemuinua zaidi Rais Magufuli na kumdhohofisha zaidi Bernard Membe katika ngome yake. Kumekuwepo na tetesi kuwa, Bernard Membe, pamoja na mtandao wa watu wake wakiwemo, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia na wengine wanaotokea Mikoa ya Ukanda...
 20. Mgambilwa ni mntu

  Msekwa chunga mdomo wako; Inakuwaje unalaumu Katibu Mkuu kumuita mwanachama kupitia jukwaani lakini hauongelei mwanachama kumjibu kupitia mitandaoni?

  Spika na Makamu wa CCM Mstaafu, Pius Chipanda Msekwa, akihojiwa na Mwananchi, amemlaumu Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally kwa kitendo cha kumuita Ofisi I kwake kada wa CCM, Bernard Membe juu ya tuhuma za kumuhujumu Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dk. John Pombe Joseph Magufuli. Msekwa alidai...
Top