Search results

 1. Kiresua

  Nahitaji one storey home Plan

  Kwa architect mbunifu anayeweza kunitengenezea kazi nzuri ya kissasa please PM
 2. Kiresua

  Company Name Vs Business name

  Ndugu habari ya asubuhi, naomba kujua kama jina la biashara lina linaimplication katika usajili wa jina la kampuni. Nilisajili jina la bashara sasa nataka kuanzisha kampuni. nimelogin kwenye system za Brela kwa ajili ya name clearance (same same as the one i registered under business name, not...
 3. Kiresua

  Natafuta Mashine za Kukatia Nyama (Meat Bone Saw Cutting)

  Wanajamii, kwa hapa dar napata wapi mashine yenye ubora ya kukatia nyama kwa ajili ya Biashara ya BUtcher best Kire
 4. Kiresua

  I'm looking for hevy duty quality washing mashine 18k 25-30kg

  Hi all natafuta quality industrial washing mashine kg 18, 25-30kg, nimezunguka nimechoka hapa mjini. any one with any idea, kama naagiza where could I get trusted supplier best
 5. Kiresua

  Kiwanja kinauzwa Kiluvya kwa Komba

  Kiwanja Kinauzwa, Kiluvya kwa Komba upande wa Kulia Ukitokea Kibaha umbali kama Km 3 kutokea barabara ya Morogoro. Umeme uko Mita kama 10. Ukubwa wa Kiwanja ni Mita 50x40!-Unsurveyed kina hati ya serikali ya mtaa Aliyeko Interested AniPM au kwa namba 0784 77 41 02 kwa Kupata Bei na Mazungumzo...
 6. Kiresua

  Nimepoteza fedha kwenye account yangu ya CRDB

  Jamani nimepoteza fedha kwenye account yangu ya xxxxx, inaonekana kuna fedha zilitolewa kwa visa Ubungo 22....15 sh 200,000/-, zikatoka tena visa Ubungo 22... 2015 sh 200,000/= (jumla 400,000) zikarudi tena zote, halafu zikatoka tena on the same date. Pia hazina ATM charges kama inavyotakiwa...
 7. Kiresua

  Sewage System kwenye Clay Soils

  Wanajamii, Hongereni kwa majukumu ya kila siku, Tunapoelekea majumbani na kuanza mapunziko ya mwisho wa wiki, napenda kuelimishwa kuhusu namna bora ya kujenga sewage system kwenye udongo wa mfinyanzi (clay soils). Kwa wale wataalam wa ujenzi naomba tusaidiane hapa nawashukuruni wote na...
 8. Kiresua

  Msaada wa Tyre nzuri

  Bandugu, msaada wa good saloon car tyre at the affordable price! hiizi za linglong nazisikia ila bei yake inanitisha kama ni nzuri barabarani. Kwa aliyezitumia share the experience thanz
 9. Kiresua

  Utata kwenye kodi za magari

  Wanjanvi! Heshima kwenu. Kuna jamaa Yangu aliagiza Gari ya mizigo Nissan Datsun. Assessment ya kwanza ya kodi ilikuwa 6.9mil. Final asasesment kodi ikawa 7.2mil. Sasa cha ajabu kuwa tulikuwa instructed na TRA kudiposit hiyo ongezeko LA 300k kwenye account tofauti na tuliyolipa ile figure ya...
 10. Kiresua

  Kuna mdau anahitaji mbegi ya samaki watakostawi DSM

  Kwa yeyote mwenye mbegu ya samaki (fingerlings) au anajua pa kuipata DAR au karibu na DAR tafadhali niPM cc Mallila Thanx JF
 11. Kiresua

  Unafahamu mini kuhusu network marketing

  Habari za asubuhi ndugu zangu! Unafahamu nini kuhusu hii biashara za network marketing! Je! 1) Kuna uhusiano wowote na imani za watu? 2) Kwa nn watu wako crazy juu ya hii biashara hasa wale ambao tayari wako kwenye biashara? Wako motivated na sales kama biashara nyingine au kuna sababu...
 12. Kiresua

  Play Store does not respond!

  Wakuu habari ya kwenu! nina sim ya huawei Y300 0151, majuzi tuu ilikuwa inafunction vizuri tu gafla Watsup ikawa hairespond, nikauliza wataalam wakanishauri kufanya yafuatayo! Unaweza kutatua tatizo hilo kwa kufuata njia hizi: "Go to settings>>”All”>>Select “Google Play Store” Now Force...
 13. Kiresua

  Hivi Tanzania Kuna Magari Mangapi?

  Pamoja na kuwa secta ya ICT na mawasiliano kwa ujumla wake Kuwa inakua kwa kasi ya aina yake bado taarifa nyingi ambazo kimsingi zilipaswa kuwa open kwa pupblic bado ziko undercover! Nimekuwa kwa mfano nikojiuliza hivi Tanzania mpaka sasa kuna motor vehicles ngapi mpaka sasa!? just being...
 14. Kiresua

  Car Clearing Costs

  Wanajamii, Wiki chache zilizopita nilikuja hapa kuomba mwongozo wenu juu ya kupata gari. Nashukuru kwa mwongozo wenu nilipata gari niliyokuwa nimeitaka na iko njiani! Kwa sasa nahitaji kujua costs involved at the port excluding/including TRA taxes, Nimewasilina na maclearing wawili na wamekuwa...
 15. Kiresua

  Nahitaji Gari

  Wakuu habari za jioni, Nahitaji gari ya kutembelea yenye fuel consumption nzuri pamoja na durability and should be Sedan! Nimeshauriwa kununua Toyota Carina au Corolla Sedan Kuna tofauti kubwa ya fuel consuption kati ya cc 1500 na cc 1760!? both unweza kwenda umbali gani kwa lita moja at a...
 16. Kiresua

  Kampeni za Udiwani Tungi Morogoro

  nilikuwa hapa kwenye uwanja wa kufunga kampeni za udiwani hapa kata ya Tungi Moro kwa Chama cha Mapinduzi namuona Mzee Mangula, watu waliohudhuria ni kama watu 100 poor them!
 17. Kiresua

  Natafuta Mchoraji wa Sura Yangu

  Nd wanaJF natafuta m2 (artist) wa kuscetch image au sura yangu Kuna wakati alikuwa pale Karume siju amehamia wapi! Natamani kama nikimpata the best artist wa kuchora sura ya mtu na ikatokea kama ilivyo! asanteni
 18. Kiresua

  Nitapata wapi hii DVD

  Wanajamvi! Nina shauku sana ka kuona ile DVD aliyoandaa Prof Muhongo kuhusu uwekezaji kwenye sect ya Mafuta na Gesi. Wakati anajibu hoja za washiriki katika Mdahalo ulioandaliwa na UDASA tar 8/12/2013 Prof Muhongo alisema angeweka DVD ili watu waone namna uwekezaji unavyofanyika kwenye secta...
 19. Kiresua

  Ni wapi nitapata Dactari Mzuri wa Tiba ya Goti

  Wana JF, Nilipata ajali ya Goti mwaka 2008, kwa bahati nzuri hakukuwa na fracture, ila halijawahi kurecover fully mpaka leo. Nimekuwa nikihudhuria klinik MoI, nikachalpwa MRI lakin hakukonekana abnormality yoyote! ila napata maumivu na goti na linaishiwa nguvu siku hadi siku! MoI waliniambia...
 20. Kiresua

  512 KBPS Internet Speed

  Wandugu, wataalamu naomba kujuzwa, unapouziwa 512KbPS ya internet maana yake nini!? Je hii ni spidi unayopaswa kuwa nayo kwa kila mashine uliyonayo kwenye say ofisi au spidi hii inagawanyika kwa kila mashine (if so nikiwa mashine kama 10) spidi itakuwaje? Ninapoona Local Area Connection...
Top