Search results

 1. Kizimkazimkuu

  Ujio wa madaktari toka nje “..wanatumia ma#&@io yao kufikiri

  Ikumbukwe kuwa taarifa ya Serikali kuagiza madaktari kutoka nje imekuja huku Jumuia ya Madaktari Nchini wakiwa wameitisha mgomo wa madaktari nchi nzima unaoingia siku ya kumi sasa ili kuishinikiza Serikali kuboresha maslai ya madaktari hao na kuboresha mazingira ya utoaji huduma za afya hapa...
 2. Kizimkazimkuu

  Serikali ifanye mambo haya kumaliza mgomo-Maoni

  Binafsi ni daktari kwa taaluma, na nimepata kufanya kazi katika hospitali za erikali kabla sijaachana na kutibu moja kwa moja na kujiunga na masuala ya afya ya jamii/public health. Sababu zilizonifanya kuondoka ni kudharauliwa, kupuuzwa na kunyimwa stahili zangu (simaanishi mshahara, ila ni zile...
 3. Kizimkazimkuu

  Eric Shigongo....Hapa umepitiliza !

  Nimesikitishwa sana na habari iliyochapishwa na gazeti la Ijumaa wikienda (Global publishers) inayohusu watotot walioenda mahakamani kumlilia mtoto wao ambaye ni mtuhumiwa wa biashara ya ukahaba. Kitendo cha kuwapiga picha, kuwataja majina na wanapoishi na kusoma si dhani kama ni sahihi. Watoto...
 4. Kizimkazimkuu

  Adui Ujinga: bado tuna safari ndefu kumuangamiza!

  Kwa mujibu wa ripoti ya survey iliyofanywa na National Bureau of statistics; Mikoa ya Tabora na Dodoma ndio inayoongoza kwa kuwa na asilimia kubwa ya wakazi wake kamwe hawajawahi kufika shuleni (na kuelimika) "....the highest proportion of the population who have never been to school is...
 5. Kizimkazimkuu

  Maswali ya wazi kwa Hapiness katabazi- Ni mgomo wa Madaktari kweli

  Hapiness katabazi, mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima; siku ya jumatatu aliandika makala yeye kichwa cha habari Ni Mgomo wa madaktari kweli. Nimeinakili makala hiyo hapa na nimeweka maswali (rangi nyekundu)yangu kadhaa nikimpa changamoto ayajibu. Lengo langu ni kumtaka aisome tena kwa makini...
 6. Kizimkazimkuu

  Shocking: Abiria akutwa na bastola kwenye ndege

  Ramadhan Semtawa KATIKA hali ambayo si ya kawaida, Zainab Kaswaka aliyekuwa anasafiri kwa ndege kutoka jijini Dar es Salaam kwenda London, amekutwa na bastola kwenye ndege ya Shirika la Emirates na kuzua tafrani kubwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere. Habari...
 7. Kizimkazimkuu

  Wimbo uliokataliwa kupigwa....Miaka 50 ya Uhuru

  Dogo kafunguka! msikiliza hapo chini, ......Kwa hisani ya wavuti My favourite part, mgao wa haki mahakamani tayari umeshaingia Wimbo uliokataliwa redioni: Miaka 50 ya Uhuru - Wavuti
 8. Kizimkazimkuu

  Edmund Kapama na deogratius Mgasa ni wakin nani?

  ..Kesi ya Mwandishi wa habari Jerry Muro hatimaye imefikia mwisho leo kwa yeye na watuhumiwa wenzake wawili kuachiwa huru. Pamoja naye, washitakiwa wengine walikuwa ni Edmund Kapama na Deogratius Mgasa. Nadhani wengi tungependa kuwafahamu hawa ni akina nani, na kivipi walihusishwa na Jerry...
 9. Kizimkazimkuu

  Nani alimtosa Samuel Sitta?

  Makala hii imetoka katika gazeti Raia mwema Msomaji Raia WIKI iliyopita, Mzee Samuel Sitta ambaye ni Mbunge wa Urambo na Waziri katika serikali yetu, aliongea kupitia televisheni ya ITV kuhusiana na masuala mbalimbali ya kisiasa katika taifa letu. Mzee Sitta ndiye alikuwa Spika wa Bunge...
 10. Kizimkazimkuu

  Wanamuita Cannavaro..............mtu na mtu!

  ..Sikuwepo uwanjani lakini taarifa za vyombo vy habari zinaeleza kuwa Sunzu alikuwa mchumba kwa kwa Nadir Haroub. waliokuwepo uwanjani hebu tupeni story......
 11. Kizimkazimkuu

  Rais wa zamani wa Cape verde kupata sh Bil 8; Ni tuzo ya Mo Ibrahim

  Felix Mwagara na Mashirika RAIS wa zamani wa Cape Verde, Pedro Verona Pires, ameshinda Tuzo ya Mo Ibrahim ya utawala bora barani Afrika.Tuzo hiyo ya Mo Ibrahim ni moja ya tuzo yenye thamani kubwa duniani ambayo inatolewa na bilionea wa Sudan kwa mtu binafsi barani Afrika anayefikia viwango vya...
 12. Kizimkazimkuu

  Bashe aipasha CCM

  Frederick Katulanda, Geita na Daniel Mjema, Igunga MJUMBE wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Hussein Bashe, ameonya kuwa iwapo CCM hakitajadili matatizo ya wananchi sasa, kitarajie kupoteza dola mwaka 2015, kama ilivyotokea kwa chama tawala Zambia. Akizungumza...
 13. Kizimkazimkuu

  Washauri wa JM Kikwete

  Ndugu wa JF, Kwa muda sasa rais JK amekuwa akiandamwa na shtutma j=kadhaa kuhus maamuzi anayoyafanya au kushindwa kuyafanya. Ninavyotambua, marais huwa na washauri wao na hawa huwa ni watu muhimu sana na mara nyingi kwa rais makini na msikivu wanmchnago mkubwa katika mustakabali wa nchi. JK...
 14. Kizimkazimkuu

  Cheki mambo ya Nizar Khalfani: Ndani ya MLS team of the week!

  Hii ilikuwa ni mwezi wa April, 2011 Hapo chini ndivyo walivyomuelezea, MF – Nizar Khalfan (Vancouver Whitecaps): They don’t come more dynamic than the Tanzanian, who has the pace to be dangerous from anywhere on the field and the stamina to cover more ground than any of his teammates, no matter...
 15. Kizimkazimkuu

  Ngassa

  Mrisho Ngassa the only trialist to play vs. Manchester UnitedPosted by Joshua Mayers There were a handful of new faces at Sounders FC training today, including Federal Way native Kelyn Rowe, who plays collegiately at UCLA. With Wednesday's friendly looming, I asked coach Sigi Schmid if any...
 16. Kizimkazimkuu

  Majina ya Kibantu maana zake...

  Mimi ni mpenzi mkubwa wa lugha mbalimbali za kibantu. Zaidi navutiwa na matamshi ya maneno; mfano lafudhi za wahehe na wabena wa iringa, wakurya na wajaluo, wachagga, wahaya na wasukuma. Majina ya makabila mengi huwa yanabeba maana kubwa sana, hebu kwa wanofahamu tuweke hapa majina mbalimbali na...
 17. Kizimkazimkuu

  Anyone going to Antwerp for studies this August?

  ...jamani kuna JF member yeyote anayeenda Antwerp ama mji wowote Belguim for studies? Tafadhali kama hutajali ni PM
 18. Kizimkazimkuu

  Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

  Previously: Sihoji kwanini/amewezaje kuwa Mbunge kwa kuwa elimu sio kigezo cha mtu kuchaguliwa/kuteuliwa kuwa Mbunge. Maswali yangu ni haya hapa chini? 1. Engineers ambao ni members hapa JF nisaidieni, kwa utaratibu wa taaluma yenu ni mtu mwenye qualifications zipi anaitwa Engineer (Eng). 2...
 19. Kizimkazimkuu

  Natafuta nyumba ya kupanga

  Natafuta nyumba ya kupanga iwe maeneo ya sinza, Mikocheni au Kijitonyama. Iwe ya vyumba vitatu (au hata viwili), Sitting room, dining room, jiko na stoo. Iwe na choo na bafu ndani. Iwe inaeza kufikika kwa gari na iwe na uzio (wa aina yeyote, Ukuta, michongoma au seng'enge) na Geti. Budget yangu...
Top