Search results

 1. Zee la shamba

  CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

  umesema kweli nayo kweli itakuweka huru.
 2. Zee la shamba

  CCM bwana ,kozi siku mbili mnavaa majoho kusherekea kuhitimu

  Nchi ya wavaa majoho. Hata watoto wa chekechea huvaa Majoho. It's a shame
 3. Zee la shamba

  Dr Slaa na wabunge wawili wakamatwa

  Kikwete anatakiwa atumie busara kabla hajaamua jambo la kitaifa
 4. Zee la shamba

  Genge laundwa kumkabili Kikwete: Agenda 21?

  Na vipufu wawaongoze vipofu wenzao
 5. Zee la shamba

  Mkapa above the law?: Allegations

  Vijana hao watashtakiwa kwa kosa gani? kumzomea rais mstaaru au? mnaojua tuelimisheni
 6. Zee la shamba

  Muafaka CCM na CUF, pande mbili za shilingi!

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba ameomba kukutana na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad wazungumze kuhusu hatima ya mwafaka wa kisiasa visiwani Zanzibar. Habari zilizothibitishwa na baadhi ya viongozi waandamizi wa makao makuu ya CCM...
 7. Zee la shamba

  Kashfa ya Richmond: The FACTS

  WAHISANI wameitaka serikali kuhakikisha inatekeleza mapendekezo ya ripoti ya Kamati Teule ya Bunge, iliyoundwa kuchunguza mchakato wa zabuni ya umeme ulioipa ushindi Kampuni ya Richmond ya Marekani, ifikapo Juni, mwaka huu la sivyo hawatachangia bajeti ya 2008/9. Uamuzi huo wa Wahisani...
 8. Zee la shamba

  The Radar Scandal: Investigation & Progress

  *Ni wale wa makosa ya jinai waliompekua Dar *Asema wana mkono mrefu katika kuchunguza Na Ramadhan Semtawa SIKU moja baada ya wakili wake J Lewis Madorsky, kuibuka na kutema cheche, Andrew Chenge amesema makachero wa kuchunguza Makosa Makubwa ya Jinai kutoka Uingereza yaani Serious...
 9. Zee la shamba

  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, Tuuvunje?

  UAMUZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kugoma kusaini makubaliano ya mwafaka wa kisiasa ili iundwe serikali ya mseto visiwani Zanzibar, umeibua mapya, baada ya Chama cha Wananchi (CUF), kuanzisha rasmi kampeni ya kulirudisha suala hilo kwa wananchi ili waamue kuchukua hatua watayakayoiona...
 10. Zee la shamba

  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, Tuuvunje?

  HATMA ya mpasuko wa kisiasa visiwani Zanzibar, kati ya Chama cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), imezidi kugubikwa na giza, baada ya vyama hivyo, kuanzisha mchezo wa kutegana katika kulipatia ufumbuzi wa kudumu suala hilo. Mchezo huo, umedhihirika baada ya kila upande kueleza...
 11. Zee la shamba

  Mkapa 'Atoroka' Sherehe za muungano.

  wameanza kuvikimbia mapaka vivuli vya. hali ni ngumu kwao, hakuna marefu yasiyo na..............
 12. Zee la shamba

  Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

  MAJINA ya viongozi waandamizi wa serikali ya awamu ya tatu wanaohusishwa na mikataba mibovu, ambayo yameanza kutajwa waziwazi bungeni yameongezeka baada ya jana, aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba, naye kuingizwa katika orodha hiyo. Mramba alitajwa na Godfrey Zambi (Mbozi...
 13. Zee la shamba

  Hatimaye Wabunge Wafanya Kweli: Mkapa & Karamagi Nje!

  Huu ni mwaka wa shetani kwa mafisadi, watakiona kilichomtoa nyoka pangoni. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 14. Zee la shamba

  Watu wa JK sasa wanawalaumu Waandishi wa Habari.

  Fisadi mtoto Heshima mbele: Kwani baba yake ni waziri? Au miongoni mwa waliotajwa yupo mzazi wako? Mwaka huu mmeshikwa pabaya hakuna kupumua.
 15. Zee la shamba

  Fisadi ni mtu gani?

  Malenga wetu nimewakubali
 16. Zee la shamba

  Waziri Mkuu Pinda atakiwa kufuta kauli yake kuhusu mafisadi

  KITUO cha Seria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda kufuta kauli yake ya kuwa Serikali inashindwa kuwachukulia hatua za kisheria watuhumiwa wa ufisadi waliojichotea mabilioni ya shiling katika Ankauti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA), kutokana na utajiri mkubwa walio...
 17. Zee la shamba

  The Radar Scandal: Investigation & Progress

  Waziri Chenge atua Dar,agoma kujiuzulu,asema ni tuhuma za vijisenti Na Muhibu Said WAZIRI wa Miundombinu, Andrew Chenge, jana alirejea nchini akitokea China na kukataa kujibu tuhuma za ufisadi wa mabilioni ya shilingi anazodaiwa kuzihifadhi katika akaunti nje ya nchi. Chenge ambaye...
 18. Zee la shamba

  Mafisadi wajibu

  VITA dhidi ya ufisadi iliyoanza kupamba moto katika miezi ya hivi karibuni sasa inaonekana kubadili mwelekeo na kuanza kuwarudi baadhi ya wanasiasa na wananaharakati waliojitokeza kwa nyakati tofauti kupambana dhidi ya vitendo vya ubadhirifu, wizi na uporaji wa rasilimali za taifa. Dodoso...
 19. Zee la shamba

  Mengine ya EPA yaibuka

  UPELELEZI kuhusu mahali zilipo Sh133 bilioni zilizochotwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Akaunti ya Malipo ya Nje (EPA) umeibua mambo zaidi mapya yanayokihusisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwananchi Jumapili limebaini. Habari za uhakika kutoka ndani ya Timu ya Rais inayochunguza...
 20. Zee la shamba

  Karamagi aanza kujitetea kwa wapigakura wake

  na Antidius Kalunde (Bukoba) na Salehe Mohamed JINAMIZI la kashfa ya mkataba tata wa uzalishaji umeme wa Kampuni ya Richmond, bado linaendelea kuwasumbua baadhi ya viongozi, tangu lilipoibuka zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Hali hiyo inajidhihirisha kuwepo kwa tukio la aliyekuwa Waziri...
Top