Search results

 1. F

  Makamu Mwenyekiti CCM bara, Philip Mangula ziarani Iramba- Singida

  Habari wadau wa JF. Wilayani Iramba mkoa wa Singida mambo ni Moto. Shamrashamra zimetawala ktk mji wa Kiomboi ambao ni makao Makuu ya Wilaya kufuatia ziara ya makamu mwenyekiti wa CCM bara, Ndugu Philip Mangula. Mzee huyu asiyekuwa na makuu hivi sasa anazungumza na wanachama ktk ukumbi wa...
 2. F

  Tetesi: Hamisa Mobeto kuwania ubunge Kinondoni kupitia CCM

  Halo JF siasa. Wimbi la wasanii kuonesha vipaji vyao vya uongozi linazidi kujidhihirisha. Kuna habari za chini ya kapeti kuwa mrembo wa haja nchini, Hamisa Mobeto anataka kuwaakilisha Wanakinondoni bungeni. Inadaiwa anaungwa mkono na baadhi ya wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa wa Dar es salaam...
 3. F

  Hii tabia ya wasichana kusingizia mama zao wanaumwa ili wapewe hela na wapenzi wao itaisha lini?

  Halo JF. Nimekutana na wakaka wengi maeneo tofauti wakidai kila akimpata girlfriend, basi tatizo la Mama mzazi wa binti kuugua ndilo linalowamalizia hela. Wanadai wananaombwa kuanzia shilling 30,000 hadi laki Tano kulingana na hadhi ya mwanaume. Wanazingizia vipimo au kununua Dawa. Wanadai ktk...
 4. F

  Hivi kama baba kaikimbia nyumba, nini hatma ya kijana mwenye ndoto?

  Halo JF siasa. Ktk Uzi huu sitamtaja mtu na hivyo wachangiaji pia wasitaje jina la mtu. Inafahamika wazi nini kinachojiri ktk familia kubwa pendwa nchini. Kuna wababa wawili wanadhamiwa kuikimbia familia hii. Baba moja machachari ameacha kijana wake ktk familia hii kubwa. Kijana si haba...
 5. F

  Umeil Kheir, Mtangaziji Radio DW amestaafu leo

  Umeil Kheir, mwanamama mtangazaji wa Radio DW Swahili ya Bon Ujerumani amestaafu Leo. Ameitumikia radio hii tangu mwaka 1988 akiwa binti kabisa. Atakumbukwa Kwa sauti yake ya aina yake. Mwanamama huyu ni Raia wa kisiwa cha Comoro.
 6. F

  Aliyemuiba mtoto na kukaa naye siku nne, aachiwa huru kituo cha polisi Kiomboi, Iramba

  Wadau wa JF poleni na pilika zetu hizi za kila siku, Hivi karibuni limetokea tukio la kuibwa mtoto wa miaka miwili ktk mji mdogo wa Kiomboi wilayani Iramba. Tukio hili lilitokea eneo la Soweto lenye watu wengi mjini hapo. Aliyemuiba mtoto ni jirani ambaye ni mstaafu serikalini. Baada ya...
 7. F

  Isabela dos Santos ambaye ni bintiye Rais Mstaafu wa Angola, Hatarini kufilisiwa.

  Huyu binti au mwanamama ni mwanamke tajiri nambari moja Africa. Sasa anaandamwa na tuhuma za wizi kupitia kampuni ya mafuta ya SonAngol, biashara ya simu na madini. Tender hizi alipata wakati babaye Edwardo dos Santos akiwa Rais nchini Angola. Ufichuzi wa BBC umeonesha mali zake sio jasho lake...
 8. F

  Hivi ni kweli kama kuna jambo kubwa la maana unataka kulifanya, ni bora msikutane kimwili na mwenza wako?

  Habari wadau wa nguvu wa JF. Nimesikia watu wakisema mapenzi yana gundu. Yaani kama kuna jambo zuri lenye manufaa unataka kulifanya, eti ni bora msifanye mapenzi na mapenzi/mchumba/ mume au mkeo hadi utakapoanza kufanikisha jambo hill. Mara nyingi mambo kama hayo ni Maombi/sala, interview ya...
 9. F

  Hivi hii tabia nayo sio ugonjwa kweli?

  Halo JF habari mchanganyo. Nimeishi na kuona watu baadhi wenye tabia hii kuhusiana na viatu vyao bila kujali ni vipya au vimeisha. Mtu hataki kuvaa kiatu inavyotakikana. Yaani anakanyagia tu, haswa sehemu za visigino haswa viatu vyenye kufunika na sio sendo. Mwingine kiatu kipya kabisa wala...
 10. F

  Rwanda yakana mpango wake wa siri wa kuigawa Congo DRC kwa kunyakua eneo la Mashariki

  Habari JF. Waziri mkuu wa zamani wa Congo Matata Mponyo na kiongozi moja wa kanisa, wamedai kwa nyakati tofauti kuwa Rais Kagame anataka kuipanua Rwanda. Mpango huo wa Kagame ni kushinikiza utawala wa majimbo nchini Congo na baadae kuliingilia jimbo moja kwa kuliomba kupiga kura ya kujitenga na...
 11. F

  Mtu aweza kufanya nini kuzuia au kuchelewesha uzee?

  Halo JF. Hongereni kwa kuuona mwaka mpya 2020. Uzee ni kitu kisichoepukika ila baadhi hawaupendi. Naomba tujadiliane humu ni namna gani ya kuchelewesha kama sio kuuzuia uzee. Mbinu zote za kisayansi na kienyeji zinakaribishwa.
 12. F

  Slogan ya CCM 2020 Kuelekea uchaguzi"Kazi ipo Kazini"

  Hongereni sana CCM kwa slogan yenu hii kuelekea uchaguzi 2020 "Kazi Ipo Kazini" Mtu anaweza kuchukua siku 40 kuchambua maana ya slogan hii. Ni bonge la Slogan. Nimeiona sehemu akiwa ameandika Kgogo2014.
 13. F

  Tetesi: Faru Fausta kukaushwa na kuendelea kuliingizia taifa fedha za kigeni

  Baada ya kifo cha kuhuzunisha cha Faru Fausta aliyekuwa moja ya vitega uchumi nchini, sasa inasemekana atakushwa na kuwekwa eneo maalum. Lengo kuu ni kuendelea kuliingizia taifa hela za kigeni kupitia utalii wa ndani na nje na pia utafiti kwa vizazi vya baadae vyenye kuvutiwa na wanyama pori...
 14. F

  Kwanini watu wengi wakistaafu hurudi kwao japo huko waliondoka siku nyingi?

  Wadau wa JF hongereni kwa sikukuu ya Christmas. Mada hapo juu yajifafanua vizuri. Watu wengi ikiwa ni pamoja na watumishi, wanasiasa nk wakistaafu shughuli zao hurudi kwao. Huko warudipo walishaondoka siku nyingi sana na hurudi wakati wa likizo na dharura mbalimbali. Sasa cha kujiuliza mtu...
 15. F

  Watangazaji wa BBC, DW na kwingineko achaneni na matumizi ya neno hili

  Halo JF, Kumekuwa na matumizi mabaya ya neno "Angalau" kunakopigiwa upatu na radio za kimataifa za BBC, DW, VOA nk. Wenyewe wamehamisha moja kwa moja kutoka lugha ya Kiingereza "Atleast" likimaanisha angalau. Mfano utasikia watu ANGALAU mia tano wakoseshwa makazi huko Burkina Fasso...
 16. F

  Je ni kweli kabila hili hukuza maumbile ya siri za kiume kwa mmea huu?

  Halo JF mapenzi. Nina rafiki yangu nesi amekuwa akiwafanyia tohara watu mbalimbali. Sasa juzi kati alitembelea eneo wanaloishi kabila kubwa humu nchini lenye asili ya kanda ya ziwa. Anadai wanaume wa huko hata mtoto wa miaka 10 ana mashine sio mchezo!! Anadai huwa anaogopa hata kuyashika...
 17. F

  Huduma maofisini ni tete, zimeishia wapi ziara za kushtukiza?

  Halo JF. Mtakumbuka mwishoni mwa mwaka 2015 na nusu ya mwaka 2016, nchi ilitikisika kwa ziara za kushutukiza kutoka kwa viongozi mbalimbali. Ulikuwa ukifika ofisini, hospital na kwingineko unapokelewa kwa bashasha na ukarimu mkubwa sana. Lakini kwa sasa watumishi wa umma wamebadilika na hizo...
 18. F

  Mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons wa biashara Tanzania wanakufa sana?

  Nimekuwa nikiujiuliza mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons/Matajiri au ukipenda wenye Hela zao wanakufa sana? Napatwa na wasiwasi wa kutikisika kwa sekta binafsi. Rejea 1. Sir Andy Chande 2. Reginald Mengi. 3. Rugemalila/Ruge Mutahaba 4. Ally Mufuruki 5. Ndesamburo/Ndesapesa 6. Ongeza wengine...
 19. F

  Marehemu Rais Mugabe aacha US dola Milioni 10 taslimu ktk Benki bila wosia wowote.

  Habari kutoka Zimbabwe ni kuwa Rais wa zamani marehemu Robert Mugabe, ameacha fedha benki kiasi cha dollar za Marekani milioni 10 bila wosia. Pia ameacha mashamba mbalimbali likiwemo lile la miti, matunda na mengine ya mazao mbalimbali aliyoyapora kwa wazungu mwaka 2000, huku idadi haikutajwa...
 20. F

  Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM, angebana zaidi upinzani kuliko ilivyo hivi sasa

  Kwa mujibu wa mwanaharakati fulani, ni kwamba hali ya siasa za upinzani kubanwa hivi sasa, ni kidogo sana na hali ingekuwa mbaya sana Kama Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM 2015. Mwanaharakati huyo anadai, Lowassa sio mvumilivu wa siasa za kukosoana na angekuwa Mbabe zaidi hata ya Rais...
Top