Search results

 1. N

  Nec: Tarehe ya kutangaza matokeo ya uchaguzi ni ipi?

  Wana jamvi ,tunajua tarehe ya kupiga kura ni October 25,2015,je tarehe ya kutangaza matokeo ni ip? au hatuitaji kuijua? Nec wafenyeni mambo kisasa.
 2. N

  Msajili amchoka Dovutwa, Ampamiezi 2 kufanya uchaguzi wa viongozi kitaifa

  OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imekitaka Chama cha United People's Democratic (UPDP), kufanya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa hadi kufikia Juni 30, mwaka huu. Barua iliyoandikwa na Msajili Msaidizi wa ofisi hiyo, Sisty Nyahoza kwenda kwa Katibu Mkuu wa UPDP Aprili 27, mwaka...
 3. N

  Katiba pendekwezwa

  Nimeiiona katiba pendekezwa,wakuu nanyie mmeiona? kurasa za 134 hadi 164 ziko juu- chini, sijaeleawa ndo maelekezo ya Joka fisadi au? Afu suala la msajili wa vyama kwamba awe ajawahi shika nyazifa za juu ktk chama cha siasa ...inamaana msajii anaruhusa ya kua mwanachama wa chama cha siasa...
 4. N

  Tukimbilie wapi?

  Samahani wana jamvi!kuna makampuni mengi yapo inchini yakifanya shughuli mbalimbali na kuendeleza mateso kwa WaTZ,Mishahara wanayolipana wao(waliotoka nje) ni mikubwa huku wabongo wakilipwa hela ya ajabu kabisa,na unakuta ni weupe tu hata kazi wanajifunzia nchini kwetu! Kwa mfano, vietel...
 5. N

  Viongozi wa upinzani [UKAWA] tunahitaji matendo zaidi ya maneno

  Nawashanga sana mmekubali kusubiri kula ya maoni ya katiba mpya wakati kila sehemu katiba pendekezwa haikubaliki,kula zitachakachuliwa mtabaki mnabwabwaja tu! tunahita watu kama BESIJE wa uganda,tembeeni kwa miguu kwenda maofisini kuipinga,kama mnaipenda kweli nchi hii,nyie ndo icons katika...
 6. N

  utabiri 2015

  Wana JF natabiri yafuatayo 2015... 1. CCM wataingia mitini kwenye mdahalo 2.Mradi wa mabasi yaendayo kasi dar kufunguliwa 2015. 3.CCM itasambalatika..... Endelea nawe kutabiri....................................
Top