Search results

 1. uludodi

  MSAADA JF DOCTOR

  Msaada tatizo la uume. Kwanza mke wangu alikua na *U T I* Ametibiwa kapona ila mimi kuna tatizo kwenye uume kwanza unaota vipele vyeusi ambavyo havitoki halafu leo nimejichunguza kwenye tundu la mkojo kunaonekana ndani kumeota kama vinyamanyama vinamadoadoa ila haviwashi wala nini sijajua tatizo...
 2. uludodi

  NAOMBA MAUJANJA YA TV STAR X

  Nimenunua hii Tv. Nimeona ina king'amuzi ndani sasa naomba maujanja yakutumia hicho king'amuzi . Natumia king'amuzi cha Azam. Je nikiongeza -LND- kwenye dish la Azam nitapata chanel za free au nitumie njia ipi kupata chaneli za free kwenye iyo tv . Nitashukuru kwa mawazo yenu na elimu kutoka...
 3. uludodi

  Mtoto mchanga kukosa choo

  Msaada. Mtoto wangu ana mwezi 1 amekosa choo siku 4 Nimeenda duka la dawa wamenipa mafuta ya OLIVE OIL Naomba ushauri je yanafaa kuponya hili tatizo la kukosa choo msaada wenu kabra hajatumia
 4. uludodi

  Tatizo la kuota vinyama ukeni

  Nina ndugu yangu ni mwanamke na ni mjamzito tatizo lake vimeota vinyama ndani ya uke. Bado hajaenda hospital kupima mimi nimeamua kuleta kwanza humu mnipe ushauri kabla ili nimwelekeze aanzie wapi? je kuna dawa ya kutibu anaweza kununua au ni lazima hospital NB.vimeota ndani ya uke...
 5. uludodi

  Msaada TTCL line

  Simu yangu ni LEAGOO KICAA POWER nimesajili line ya ttcl inasoma vizuri lakini data imegoma kabisa kuwaka nisaidie nifanyeje APN nimeseti vizuri lakini haisomi. Kwenye simu zingine inasoma sijui tatizo liko wapi kwenye simu yangu ''''LEAGOO KICAA POWER''''
 6. uludodi

  Tatizo la ngozi kuwasha

  Msaada wenu ni kama wiki 1 imepita nililala na mwanamke sasa kuna mda uso wake ulikaa sana shingoni kwangu toka siku hiyo ile sehemu inaniwasha sana haiponi sasa naomba ushauri wenu bado sijatumia dawa yoyote
 7. uludodi

  Msaada tecno wx3

  Tatizo hua nasikiliza mziki kwenye saboofer nachomeka waya sasa imekata sauti kwenye simu. Naomba msaada nifanyeje? simu haitoi sauti tena
 8. uludodi

  MSAADA =play store

  Simu yangu play store imo ila inagoma kufunguka halafu unakuja ujumbe Naomba kuuliza nikifuta iliyomo apk itakubali au nifanyeje, msaada wenu
 9. uludodi

  Msaada TECNO R5

  Simu yangu Tecno R5. App ya kupigia simu inaandika. Unfortunately, dialer has stopped,. Kwahiyo sipigi simu wala sipokei. Simu nimeroot naweza kuiset ikapona?
 10. uludodi

  Msaada wa kufungua simu

  Naomba msaada kwaanayejua njinsi ya kufungua simu za voda. Vodafone VFD 301" ambayo ni laini2. Ili itumie lain zote kwenye line 1
 11. uludodi

  Msaada: Tumbo linauma wakati nakaribia muda wa chakula

  Naomba msaada JF DOCTOR tatizo la tumbo linaniuma sana unapokaribia mda wa chakula mfano saa 5 asubuhi linaanza mpaka nile ndio linatulia na jioni linaanza mida ya saa 12. Nimepima sana na napewa dawa linaacha kama miezi miwili halafu linaanza tena msaada naomba kama kuna ufumbuzi nitumie dawa...
 12. uludodi

  Natafuta mchumba binti (23-25)

  natafuta
 13. uludodi

  Naomba msaada

  Nina simu nataka kuiuza ni Samsung s4 nililiset sasa sahizi nikizima au kuwasha inaandika android badala ya Samsung niifanyeje ili irudi kama zamani I??
 14. uludodi

  Msaada: Android photo editor inayoweza kubadili background

  Naomba Msaada wa app gani ya photo edit inayoweza kubadili background kwenye Simu za android ( Google play)
 15. uludodi

  msaada samsung note

  jamani wana it naomba msaada wa kuunganisha internet kwenye samsung note n7000 kwa lain ya tigo
 16. uludodi

  Msaada azam tv

  Naomba msaada kwa anaejua kama ipo chanel kwenye Azam tv inayoonyesha UEFA leo nataka nicheki mechi ya chersea au bayan
 17. uludodi

  msaada JF Doctor

  Naomba msaada_ ghafla uume wangu unauma kwenye kichwa na unatoa usaha. Nimetembea na mwanamke siku 5 zilizopita je nimeambukizwa ugonjwa gani? Na nitumie dawa gani?
 18. uludodi

  msaada

  nataka kununua king'amuzi je? kipi kizuri Azam,Startime,Contnental.
 19. uludodi

  Nitawezaje kuset dual sim, line zote ziwe na 3g ?

  Natumia simu lain 2 sasa kwenye intanet nataka kutumia laini zote, ziwe zinasoma 3g. Niwe naseti wapi ili zisome zote 3g. Msaada kwasababu lain 2 inasoma E
 20. uludodi

  Naomba msaada tatizo la internet kwenye tecno P5

  Msaada wana It natumia tecno p5 sasa kuanzia jana sipati internet inaniandikia 'unfortunately massanger stoped. Sasa sijui nimekolofisha wapi? Naomba msaada wenu
Top