Search results

 1. Barbarosa

  Kwa nini Puerto Rico sio tajiri kama USA?

  Kwanini? Puerto Rico ni sehemu ya USA lakini ni kama third World fulani ukilinganisha na USA, au kwa nini Mexico, Brazil au Argentina sio tajiri kama USA na Canada? Kwa nini India sio matajiri kama China? Kwanini Sub Saharan Africa siyo relatively well off kama North Africa? Kwanini Ireland...
 2. Barbarosa

  Hivi ni kwanini Watanzania wanapenda sana kupiga?

  Je, sisi ni violent society? Watanzania wanapenda sana kutumia nguvu kutatua tatizo, kila kitu utasikia nitakutandika, hata JF utasikia mtu anakwambia ungekuwa karibu yangu ningekupiga ngumi, kidogo utasikia yule jamaa karibia nimzabe makofi, sasa ni kwa nini? Ni nani anakupa haki ya kumzaba...
 3. Barbarosa

  Meli haizamishwi hata siku moja na Maji yaliyoizunguka!

  Bali huzamishwa na Maji yaliyovujia na kuingia ndani ya meli, dedication kwa wote walioumizwa na wanaugulia, hivyo kuwa kama Meli ukiruhusu maji yaingie utazama, usiporuhusu utaelea, ...
 4. Barbarosa

  Kwanini Tundu Lissu ana chuki sana na Rais Magufuli?

  Hivi sababu hasa ni ipi? Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini? Au ni wivu tu? I mean jamaa anatoa...
 5. Barbarosa

  Mitt Romney akalia kuti kavu GOP baada ya Usaliti, hata USA usaliti not allowed!

  Mitt Romney ni republican Senator pekee aliyekuwa upande wa Democrats kutaka Raisi D.Trump awe ,, impeached”, sasa baada ya Seneti linaloongozwa na Republicans kukataa kumvua Uraisi D. Trump, wamemgeukia Mitt Romney na kutaka afukuzwe Uanachama GOP kwa Usaliti, ...
 6. Barbarosa

  Wengi hawajui kuwa sasa hivi Afrika na Tanzania ni dodo, siyo kama zamani!

  Ndo maana kila big power anakimbilia kufanya Afrika-Summit, kuna China-Afrika summit, EU-Afrika, Japani - Afrika, Urusi- Afrika, hata Uingereza naye juzi kati kafanya summit na Afrika, wote hawataki kuachwa nyuma, Afrika ndo future, US anasinyaa na wala hawezi kumtisha kila mtu tena anavyotaka...
 7. Barbarosa

  Muzungu Joe Biden amla Mate kimapenzi Mjukuu wake live bila chenga!

  Hao Muzungu wenu wanaokuja kuwafundisha kuhusu Maadili, huyo ni Joe Biden VP wa Obumer akinyonyana ulimi na mjukuu wake wa damu aitwaye Finnegan Biden (19) ambaye ni mtoto wa Hunter Biden, angalia binti alivyopandisha mzuka kwa kiss na Babu yake hadi anataka kupandisha sketi, ... Bofya Picha...
 8. Barbarosa

  Katika Afrika ni Watanzania tu ndo tuna kifungua kinywa (Breakfast)

  Nimebahatika kutembelea nchi mbalimbali Afrika (Kusini mwa Sahara); nilichokiona ni kwamba wengi hawana utamaduni wa kifungua kinywa asubuhi (Mzungu huita breakfast). Najua hata Tanzania yetu pia sio wote wanapata kifungua kinywa, lakini ni jambo la kawaida hasa mijini, asubuhi kupata kikombe...
 9. Barbarosa

  Nina wazo, Serikali ichukuwe hiyo hela kutoka kwa Watalii!

  Nimeona Tanzania inaingiza kama Watalii milioni 1.5, ili kupata hizo milioni 500 tulizonyimwa tuzichukuwe ktk kwa Watalii, ni Dola ~USD 330/Mtalii tunaipata hiyo milioni 500. Ni swala la kutafuta vitu 30 anavyofanya Mtalii hapa kwetu na kumuongezea Dola 10, kwa Muzungu wa first World country...
 10. Barbarosa

  Anaulazimisha Uzuri lkn waaapi!

  Kuna watu wanajua kulazimisha kuwa wazuri lkn bado haikubali, kila siku style mpya, ...
 11. Barbarosa

  Waziri Kigwangala ikuingie kichwani kwako, Wanyama, Mbuga hazileti Watalii!

  Mkitaka Watalii wafurike Tanzania wekezeni kwenye Fukwe, matamasha kama vile Sauti za Busara Unguja na vitu kama hivyo hizo Mbuga ni kiduchu sana, watu wa first World wanapiga kazi mwaka mzima kisha anataka kukwea pipa kwenda kuondoa stress ufukweni kuogelea, kurelax na totos na kufurahia...
 12. Barbarosa

  He is Evil!

  The devil, ..
 13. Barbarosa

  Sasa Mwanza tuigeuze ,,Egoli“ yetu!

  Mji wote wa Johannesburg nchini AK ulijengwa na dhahabu ya nchi hiyo, hivyo sasa tumeanza ukurasa mpya nimesikia makao makuu ya Kampuni yetu ya Dhahabu ya Twiga yatakuwa Mwanza City, hivyo hiyo ndiyo ,,Egoli“ yetu, kazi ni kwetu tu sasa, ... Egoli, AK, Mji wote wa Johannesburg ulijengwa na...
 14. Barbarosa

  Hivi Watoto na Wajukuu wa Marais wastaafu tunawahudumia pia?

  Nafahamu kwamba tunawahudumia kama nchi familia ya Rais aliyeko madarakani kwa maana ya malazi, chakula, usafiri, ulinzi, Elimu mpaka harusi na mazishi. Sasa je, hiyo huduma huwa inakoma wanapomaliza Urais au inaendelea? Na je kama inaendelea ni wapi mwisho? Nafahamu kama Raisi mstaafu...
 15. Barbarosa

  Haya huyo wenu wa CIA mnayemuami kwamba ni mkweli, aletwe sakata la Tundu Lisu!

  Chadema na wengineo wanataka CIA waletwe nchini kuchunguza waliomshambulia Tundu Lisu, wanasema Muzungu hadaganyi na kuita eti uchunguzi huru na hawana imani na watu wetu wa Tanzania, sasa huyo ni aliyekuwa Top Boss wa CIA Mike Pompeo akitupa mbili tatu zake kuhusu wanavyofanya kazi kama CIA...
 16. Barbarosa

  Singapore ina Mfumo kama wa Tanzania more or less, lakini Singapore USD 60 000 vs TZ 2 000 per capital!

  Per Capital income; Singapore > 60 000 vs Tanzania < 2 000 USD! Nchi ya Singapore na Tanzania tuna fanana karibia kila kitu isipokuwa Jiografia na Utamaduni lkn karibia kila kitu kipo sawa kuanzia aina ya Mkoloni, kipindi tulichopata Uhuru mpaka aina ya Mfumo unaotawala nchi zetu tuko sawa...
 17. Barbarosa

  Kenya kufanya Uchaguzi Mkuu mwingine mwaka huu, Duh!

  Hawa jamaa wanajua kutupa pesa aisee, duh!
 18. Barbarosa

  Muzungu aliachia kwenye Elimu ya Sekondari hakuendelea, tumebakia hapo hapo, ranking ni Ujinga!

  Sijawahi kuona wala kusikia Dunia hii watu wakiwa ,,obsessed” na Elimu ya Sekondari kama nchi zetu za English monarchy i.e Kenya, Uganda na TZ, hakuna mahali pengine Dunia hii Shule za Sekondari hushindanishwa na kutoa mshindi utafikiri football, hakuna mahali Dunia hii eti kuna Mwanafunzi bora...
 19. Barbarosa

  Kwanini Watanzania wanashabikia vita sana? Je, ni low IQ au Sadism?

  Dunia nzima kila mtu ana wasi wasi na kuogopa hata Wamarekani wenyewe na Wazungu ni ngumu kukuta wakishabikia vita na kufurahia, lakini sasa hivi Watanzania wamegeuza ni Yanga vs Simba post baada ya post wakishangilia Vita ya USA, NATO vs Islamic Republic of Iran, sasa ni kwa nini? Je, mnapenda...
 20. Barbarosa

  Muongo Mpya 2020-2030 unaanza leo!

  Leo 01.01.2020, tunaanza Muongo mpya wa Mafanikio. Kila la Heri Tanzania yetu!
Top