Search results

 1. nectar

  Mtoto wa nje: Sheria inasemaje kuhusu hili?

  Je ni haki kutoa matumizi kwa mwanamke uliyezaa naye mtoto, na ameolewa na mtu mwingine? Tena mtu huyo naye huenda anajua mtoto ni wake? Japo anakufanana wewe kwa asilimia 100. Je sheria inasemaje ukimuhitaji huyo mtoto?
 2. nectar

  Mke wa kuvusha

  Naomba msaada wa kujua ukichukua mke wa mtu ukaishi nae sababu ya mimba akazaa baada ya miaka 2 mkataka kuachana je kuna mali zozote mnagawana?
 3. nectar

  Kuwasaidia ndugu wa mkeo ni limbwata?

  Hahahhaha imebidi nicheke kichwa cha habari
 4. nectar

  Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

  Mimi nimezaliwa tarehe 24 ya mwezi wa 9 na mke wangu amezaliwa tarehe 9 ya mwezi wa 9 nyota zetu zipo wapi hapo... Kama ni mizani je tunaendana?
Top