Search results

 1. jembejembe

  Takukuru Arusha yaokoa Milioni 43 zilizoyeyuka kishirikina

  Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi milioni 43 za wanakikundi cha imani group kilichopo Sombetini jijini Arusha baada ya fedha hizo kupotea katika mazingira ya utata. Akiongea na vyombo vya habari Mkuu was Takukuru mkoani Arusha,Frida Wikes...
 2. jembejembe

  DC Longido akamata dola Bandia 21,550 atoa maagizo mazito kwa polisi

  Mkuu wa wilaya ya Longido Frank Mwaisumbe ameliagiza jeshi la Polisi Wilayani humo kuwasaka na kuwakamata wahalifu wanaojihusisha na mtandao wa biashara haramu ya dola bandia na kuwatia mbaroni. Amesema polisi wamefanikiwa kukamata dola bandia zipatazo 21,550 zikiwa nyumbani kwa mfanyabiashara...
 3. jembejembe

  Serikali yamsaka Nabii Namba 7 anayejitangaza kuponya Corona

  Serikali ya Tanzania imemuonya vikali mtu anayejiita Nabii Namba saba ambaye jina lake halisi ni Mosses Mollel kuwa itamchukulia hatua kali iwapo atashindwa kuthibitisha madai kuwa na uwezo wa kutibu virusi Vya ugonjwa wa Corona. Nabii huyo ambaye taarifa zake zilianza kusambaa mwishoni mwa...
 4. jembejembe

  Majembe Hatari ya Rais Magufuli, yumo Makonda, Sabaya, Murro na Jokate

  TATHMINI YA VIJANA WA UVCCM WALIOAMINIWA AWAMU YA TANO PAUL MAKONDA Huyu ni RC wa Dar ni zao la UVCCM. Amewahi kuwa Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi Chuo cha Muccobs,Akawa Mwenyekiti wa Tahliso nchini, Akawa Katibu wa hamasa UVCCM, Akawa mjumbe mbunge la katiba, kisha akateuliwa na Rais...
 5. jembejembe

  Mkuu wa chuo cha Ufundi Arusha yamkuta, atimuliwa kazini baada ya kubeza juhudi za Serikali kununua ndege

  Siku chache Mara baada ya kusambaa kwa video ya sauti ikimwonyesha makamu Mkuu wa chuo cha Ufundi cha Arusha,Masood Senzia akibeza jitihada za rais za ununuzi wa ndege ,Senzia ametimuliwa kazi chuoni hapo. Taarifa za uhakika zimedai kwamba tayari kaimu huyo amepelekewa barua ya kuondolewa...
 6. jembejembe

  NSSF yawaburuza mahakamani waajiri 34 ikiwadai mabilioni ya wanachama

  Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Mkoa wa Arusha limewafikisha mahakamani waajiri 34 ,wadaiwa sugu kutoka kampuni mbalimbali mkoani hapa ,wakidaiwa kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 7.16. Akiongea na vyombo vya habari mapema ofisini kwake, meneja wa NSSF Mkoani hapa, Juma Mwita...
 7. jembejembe

  Meya Mstaafu Arusha ashuhudia jiji kusaini Mikataba ya Ujenzi wa Barabara

  Halmashauri ya jiji la Arusha, imesaini mikataba miwili yenye thamani ya shilingi bilioni 5.35 kwa ajili ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami zenye urefu wa kilometa 3.9. Mikataba hiyo imesainiwa na mkurugenzi wa jiji la Arusha Dkt,Maulidi Madeni ,Meya wa jiji hilo,Paulo Matthysen pamoja...
 8. jembejembe

  CCM Arusha yawapokea Madiwani wa CHADEMA

  Hatimaye Chama Cha Mapinduzi (CCM)Wilaya ya Arusha mjini kimewapokea wanachama wapya ,waliokuwa madiwani wa chadema akiweno katibu wa wilaya waliokihama chama chao na kujiunga na CCM. Mwenyekiti wa ccm wilaya hiyo Joseph Masawe amewapokea wanachama hao wapya kwenye ofisi za chama hicho. Na...
 9. jembejembe

  Tapeli sugu wa watalii Arusha atiwa mbaroni, waziri Kingwangala atakiwa

  Jeshi la polisi mkoani Arusha limemkamata na kisha kumwachia ghafla wakala wa Utalii mkoani hapa, Godfrey Owenya kwa tuhuma za kuwatapeli watalii jumla ya kiasi cha dola za kimarekani elfu nane ($ 8000) zaidi ya milioni 18 . Owenya ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Utalii ya Amazing...
 10. jembejembe

  Serikali yakarabati kituo cha Umeme cha Kikuletwa kwa Bilioni 8.5

  Zaidi ya shilingi bilioni 8.5 zimetumika kukarabati na kujenga majengo mpya ya kituo cha mafunzo ya kufua umeme kwa kutumia nguvu za maji cha Kikuletwa kinachomilikiwa na Chuo cha Ufundi Arusha , ATC kilichopo ,kijiji cha Kikuletwa wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro. Akizungumza wakati wa...
 11. jembejembe

  Election 2020 Gambo auweka rehani Ubunge Arusha mjini kwa wazee

  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema anawasubiri wazee wampe ridhaa kugombea Ubunge Arusha Mjini Hata hivyo ameeleza kuwa kwa sasa hana Mpango wa kugombea Ubunge, tofauti na ambavyo imekuwa ikidhaniwa na baadhi ya Watu wakiwemo Wanasiasa wa Mkoa wa Arusha. Gambo amesema kazi ya kuleta...
 12. jembejembe

  DC Sabaya apaa kimataifa; atunukiwa tuzo ya uongozi ya Kimataifa

  Taasisi ya African Young Leaders Summit YALS inayojihushisha na masuala ya vijana ambayo makao makuu yake ni Nchini Africa ya Kusini imetangaza wanasiasa Bora kwa mwaka 2019 kwa kutumia vigezo mbalimbali ikiwepo Ushiriki wa moja kwa moja katika kutatua matatizo sugu yanayoikumba jamii ya watu wa...
 13. jembejembe

  Mfanyabiashara maarufu wa kampuni ya ORYX Arusha adakwa na TAKUKURU

  Mfanyabiashara Maarufu jijini Arusha Shabiby Virjee anayemiliki kituo cha mafuta cha Oryx na wenzake wawili wanaokabiliwa na kesi ya rushwa wamefikishwa tena katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha kwa ajili ya kesi hiyo kutajwa. Wengine waliopanda kizimbani ni pamoja na aliyekuwa askari polisi...
 14. jembejembe

  Wafanyakazi Hotel ya Impala na Naura Springs USO kwa USO na waziri Mavunde

  Naibu waziri wa kazi, Vijana,Ajira na Ulemavu , Antony Mavunde ameiagiza Mifuko ya hifadhi ya jamii nchini kuwachukulia hatua kali ya kuwafikisha mahakamani waajiri wote wasiopeleka michango ya wafanyakazi wao kwenye mifuko hiyo na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wafanyakazi pindi wanapoacha ama...
 15. jembejembe

  Jiji la Arusha kinara Darasa la Nne Taifa ,Dr. Madeni hashikiki

  HALMASHAURI ya Jiji la Arusha limempongeza Rais John Magufuli kwa uteuzi wa Mkurugenzi Dk.Maulid Madeni anayepigana usiku na mchana kutatua changamoto za shule za Msingi na sekondari za jiji hilo na kusababaisha kung'ara katika matokeo ya darasa la nne na saba kitaifa kwa kipindi cha miaka...
 16. jembejembe

  Mtoto aliyemtaja Rais Magufuli apata mfadhili

  Mtoto Baraka Onyango mwenye umri wa miaka 2.5 mkazi wa Murieti jijini Arusha, ambaye anakipaji maalumu cha kuwataja Marais zaidi ya 50 akiwemo Rais John Magufuli pamoja na nchi mbalimbali duniani, amepata mfadhili wa kumsomesha na tayari ameandikishwa katika darasa la awali katika shule ya Pison...
 17. jembejembe

  Polisi wafunga mitaa Arusha, RPC Shana Aonya

  Taharuki kubwa imewakumba wananchi wa jiji la Arusha wakati vikosi kabambe vya askari wa jeshi la polisi jijini hapa wakiwa na magari zaidi ya 50 yakiwemo ya maji ya kuwasha walipopita katika mitaambalimbali jijini hapa kwa lengo la kujiweka tiyari kukabili uhalifu kwenye mkesha wa sikukuu ya...
 18. jembejembe

  Aliyemuua mkewe kwa shoka anaswa kwa 'Dog Style' akitorokea nchini Kenya

  Hatimaye jeshi la polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kumnasa mtuhumiwa wa mauaji ya Mkewe, Moses Palangyo mkazi wa kijiji cha Kilinga wilayani Arumeru ambaye siku ya sherehe za Christmas Desemba 25 alimuua mkewe Mary Mushi ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa kumkata na shoka kichwani...
 19. jembejembe

  Mfanyabiashara Monaban alia Mali zake kuhujumiwa

  Mfanyabiashara maarufu jijini Arusha,Philemon Mollel (Monaban)amelalamikia hatua ya baadhi ya Mali zake zilizoko katika Kiwanda cha kusagisha nafaka cha NMC kuanza kuhujumiwa na kuuzwa mitaani kinyume na utaratibu. Mollel ametoa kilio hicho wakati akiongea na waandishi wa habari Mara baada ya...
 20. jembejembe

  RPC Shana aapa kutumia 'dog style' kumkamata Muuaji

  Sakata la Mwanaume,Moses Palangyo mkazi wa kijiji cha Kilinga Wilayani Arumeru kumuuwa kinyama kwa shoka mwanamke anayedaiwa kuwa mke wake, Mary Richard Mushi(24) limechukua sura mpya Mara baada ya jeshi la polisi mkoani hapa kuapa kumsaka mtuhumiwa huyo uvungu kwa uvungu nyumba kwa nyumba na...
Top