Search results

 1. GANG MO

  Wadau naombeni midterm test za social studies class six

  Habari ya majukumu wadau. Kwa wale walimu wanaofundisha medium schools Nawaombeni kama kuna yeyote ana mid-term test au monthly test papers za class six social studies anisaidie. Natanguliza shukrani kwenu. Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
 2. GANG MO

  Ninahitaji mchumba wa kumuoa

  Habari ya muda huu wadau. Mimi ni kijana mwenye miaka 27. Ni mzaliwa wa mkoa wa iringa lakini kwa sasa Nipo mkoani morogoro wilaya ya kilombero mji wa Ifakara. Nina shahada na nimeajiliwa hapa ifakara mjini. Natafuta mchumba ambaye lengo kuu ni kumuoa. Awe na sifa zifuatazo [emoji117]awe na...
 3. GANG MO

  Nina laki 2 nahitaji kununua simu

  Wadau habari za majukumu. Nina bajeti ya laki 2 nahitaji kununua simu. Je naweza kupata simu nzuri ya Samsung? Naombeni ushauri wenu wadau
 4. GANG MO

  Naombeni mnisaidie namna ya kutoa water mark kwenye kinemaster

  Habari za majukumu wadau. Naombeni wataalamu wa video editing mnisaidie kwenye hii app ya kinemaster. Namna ya kuitoa water mark yake. Natanguliza shukrani
 5. GANG MO

  Wadau wa lugha ya Kiswahili mnieleweshe katika hili

  Nimeipata sehemu. Naombeni tueleweshane kuhusu hili. Kuna mtaalamu alitusahihisha karibuni, nilikuwa nikimhoji mwanahabari wa BBC Sammy Awami. Jamaa akatusahihisha tuliposema Uzamili ni Masters. Masters = Umahiri Mnasemaje?
 6. GANG MO

  Wadau naombeni mnisaidie joining instructions form ya masasi clinical officers training collage

  Habari za wakati hu watanzania wenzangu. Samahani nimekwama,Kuna dogo kaniomba nimtafutie joining instructions form/admission form ya masasi clinical officers training collage. Nimeitafuta sana nimekosa. Naombeni kama kuna mtu anayo anisaidie. Natanguliza shukrani
 7. GANG MO

  Naombeni kujua jina la hiki kifaa na kazi yake

  Wadau nipo katika tukio la harusi. Sasa jamaa anayechikua video anaweka hiki kifaa kuelekea eneo analochukua picha. Sasa sijajua ni kitu gani hiki na kina kazi gani. Naombeni mnijuze wadau nitoe ushamba
 8. GANG MO

  Ulikuwa unafanya nini ukiwa na miaka 16?

  Huyu dogo, Ansu Fati,ana umri wa miaka 16. Tayari anachezea Barcelona na amefunga goli na kuwa mchezaji mdogo kupita wote kuwahi kufunga goli pale Barca. Sasa usiniulize nilikuwa nafanya nini nikiwa na miaka 16. Ninachokumbuka nilikuwa bingwa wa kuangua zambarau. [emoji28][emoji28][emoji2365]
 9. GANG MO

  Unaitumiaje samsung health app katika kuweka mwili wako vizuri? (Physically fit)

  Habari za wakati huu wanamichezo. Naamini wengi wenu au baadhi yenu humu jukwaani mnatumia samsung phones. Sasa basi samsung wana application inaitwa samsung health Kazi ya hii app ni ku track your fitness, weight, diet, food & sleep. Hii app huweza kurecord na kuainisha shughuli zako za...
 10. GANG MO

  Mtihani wa kidato cha nne english language new format 2019

  Habari ya majukumu dada na kaka zangu. Samahani Naombeni mwenye mtihani wa English language form four uliotungwa kwa kuzingatia format mpya (2019) anisaidie. Natanguliza shukran
 11. GANG MO

  Mch. Peter Msigwa akiwa kijana

  “Enzi hizo nikiuza mitumba (mantigo) miomboni iringa Mjini 1987!” https://t.co/NWmr0BjRTZ
 12. GANG MO

  Jifunze kitu kwenye hii picha

  Unapowaza kumsaidia mtu. Yeye anawaza kukuangusha.
 13. GANG MO

  Ukijaribu kumuibia mtu wa IT inakuwa hivi

  [emoji23][emoji23]
 14. GANG MO

  Msaada: wataalamu wa mashairi ya kiingereza

  Kuna jambo mimi linanichanganya sana. Ukipewa shairi na kuulizwa type of the poem. Unaandika zile open na close poem au unaandika zile narrative poem, lyric poem, epic na mengineyo? Njmeulixa hv baada ya kumkuta mwalimu anawafundisha watoto kwamba type of poem is open form. Nijuavyo mimi open or...
 15. GANG MO

  Mwanafunzi wa kike anataka kunitia majaribuni

  Wadau mimi ni mwalimu wa shule ya secondary xx. Ni shule ya bweni jinsia mchanganyiko. Sasa hivi ni likizo na watoto wamerudi nyumbani. Juzi usiku nikapokea sms "sir habari ya likizo,nimekumic sana" nikamuuliza wewe ni nani akanitajia jina lake. Ni mwanafunzi wa kike kidato cha tatu. Ni...
 16. GANG MO

  Ujumbe wa jioni hii kwenu watanzania

  It doesn’t matter how many resources you have, if you don’t know how to use them, it will never be enough.
 17. GANG MO

  Unajifunza nini kwenye hii picha?

  Vijana wenzangu. Hapa unajifunza nini ?
 18. GANG MO

  Msaada. Website ya jeshi la polisi haifunguki.

  Habari za majukumu wadau. Tangu juzi najaribu kufungua website ya jeshi la polisi kwa kutumia simu naona haifunguki na kuniandikia hvi. Naombeni kujua kama kuna tatizo au nimekosea
 19. GANG MO

  Walimu Naombeni mitihani ya pre mock kutoka shule zenu.

  Habari za kazi walimu. Poleni na kazi hii ngumu ya kutuelimisha. Niende moja kwa moja kwenye mada. Walimu nawaombeni mnisaidie pre mock papers (soft copy) za mwaka 2018 au 2019. Naombeni masomo yawe ni Geography na English language. Ninatanguliza shukrani[emoji106] kwenu
Top