Search results

 1. Boniphace Kichonge

  Mlinzi wa Ofisi ya Ruto Apatikana Amefariki kabla ya kuandikisha taarifa kuhusu sakata ya Jeshi

  Feb 21, 2020 Afisa wa Polisi anayehudumu katika Afisi ya Naibu Rais William Ruto (Harambee Annex) na ambaye alihitajika kuandikisha taarifa kuhusiana na sakata ya bilioni 39 inayomkabili waziri wa zamani Rashid Echesa alipatikana siku ya Alhamisi akiwa amefariki katika mtaa wa Imara Daima, hapa...
 2. Boniphace Kichonge

  Waziri Wa Ulinzi Wa Uturuki Aambatana Na Mkuu wa Majeshi Kutembelea Mpaka Wa Syria.

  Feb 21, 2020 Waziri wa ulinzi wa Uturuki, Hulusi Akar, akiwa na mkuu wa majeshi Jenerali Yaşar Güler pamoja na mkuu wa vikosi vya nchi kavu Jenerali Ümit Dündar kwa pamoja wamekagua vikosi vya majeshi ya Uturuki vilivyopo mpakani mwa Syria. Waziri Akar, jenerali Güler na jenerali Dündar kwa...
 3. Boniphace Kichonge

  News Alert: Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Katani Katani ajiuzulu na kujiunga CCM

  Mbunge wa Tandahimba (CUF), Katani Katani amejiuzulu Ubunge wake na kujiunga CCM ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally aliyepo ziarani Mkoani Mtwara Bashiru amewasili Mtwara leo kwa ziara ya siku 3 huku akitarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya za Mtwara Vijijini...
 4. Boniphace Kichonge

  Hongera sana Easter Bulaya kwa uchapakazi wako

  Hakuna Cha maana alichofanya Bunda
 5. Boniphace Kichonge

  Watendaji Wakuu Wa Chama Cha Mapinduzi Ziarani Mikoa Mbalimbali. Dkt Bashiru Yupo Mtwara, Humphrey Polepole Pemba

  Wadau. Watendaji Wakuu Wa CCM Ziarani Mikoani. Dkt Bashiru Ally ameanza Ziara ya Siku 3 Mtwara. Humphrey Polepole ameanza Ziara ya Siku tisa Kisiwani Pemba.
 6. Boniphace Kichonge

  TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

  Wadau. TAKUKURU wamearifu Umma kuwa Uchunguzi wa Tuhuma dhidi ya Kangi Lugola na wenzake u 17 kwa Asilimia 99.9. Jalada Husika litapelekwa kwa DPP Katika kipindi Cha Siku Saba kuanzisha leo Tarehe 21/2/2020 kwa ajili ya kukamilisha taratibu za Mashtaka ya Uhujumu Uchumi dhidi yao.
 7. Boniphace Kichonge

  Pompeo aishambulia China kwa kuziwekea nchi maskini mzigo mkubwa wa madeni

  February 21, 2020 WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo, ameishambulia China kwa kutoa mikopo na kuziwekea nchi maskini mzigo mkubwa wa madeni. Serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani imeanzisha hatua za kupunguza ushawishi wa China barani Afrika kwa kutumia mpango wake mpya wa...
 8. Boniphace Kichonge

  Robert Ouko murder: Fear still stalks Koru, 29 years later

  February 21, 2020 • No one on the Washington trip questioned by Troon or the Kenyan police said they knew of a row. • Truth and little things like facts have rarely been allowed to get in the way of telling the story of Ouko’s murder. by Martin Minns News - The late President Moi and...
 9. Boniphace Kichonge

  Wataalamu wa China wamethibitisha kuwa dawa ya Malaria aina ya Chloroquine Phosphate ina ufanisi wa kutibu ugonjwa wa COVID-19

  FEBRUARI 20 2020 Beijing, China. Dawa ya malaria aina ya chloroquine imedhibitisha kutibu virusi vya corona (covid-19) Dawa hiyo iliyokuwa ikitumika zaidi kutibu ugonjwa wa malaria katika miaka ya 1980 na 1980 imeonyesha kutibu virusi hivyo baada ya kufanyiwa utafiti na wataalam wa afya wa...
 10. Boniphace Kichonge

  Nimempa kipigo kizito Afisa wa benki hatakuja kunisahau

  Hi Ni hadithi ya kutunga au tukio la kweli? Yaani Hadi Sasa hujakamatwa!?
 11. Boniphace Kichonge

  Waziri Simbachawene awataka Watendaji Wakuu wa Polisi kuwahoji Mahabusu

  Wadau. Leo Mheshimiwa Waziri George Simbachawene amekutana na kufanya mazungumzo na Watendaji Wakuu Wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Katika kikao hicho Waziri Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi Kuhakikisha linafanya Kazi kwa weledi ili Kuondoa mlundikano wa kesi na mahabusu na pia...
 12. Boniphace Kichonge

  Mike Pompeo atoa onyo kwa Serikali ya Afrika Kusini, asema kuchukua ardhi za Wananchi bila kulipa fidia kutaleta madhara makubwa kiuchumi

  Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo ameonya mipango ya serikali ya Afrika Kusini kunyakua ardhi pasipo fidia kuwa ''utaleta madhara mabaya sana'' kwa uchumi na taifa kwa ujumla. Bwana Pompeo alitoa kauli hiyo nchini Ethiopia, alipofanya ziara Afrika, ambapo pia alifanya ziara Angola...
 13. Boniphace Kichonge

  Dar: Mkandarasi ahukumiwa miaka saba jela kwa kujipatia Tsh. Milioni 116 kidanganyifu

  SHS 116 MILIONI ZAMPELEKA MKANDARASI JELA MIAKA SABA. FEBRUARI 19 2020 Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mkandarasi wa majengo, Alfred Ndeka (60) kifungo cha miaka saba jela baada ya kukutwa na hatia ya kujipatia Sh116 milioni kwa njia ya udanganyifu. Hukumu hiyo...
 14. Boniphace Kichonge

  Diwani wa CHADEMA Tarime ahukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kukwepa kulipa deni

  DIWANI Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kata ya Matongo wilayani Tarime mkoani Mara, Philomena Tontora amehukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kukopa kiasi cha Sh milioni 4.5 na kushindwa kulipa. Diwani huyo inadaiwa alikopa fedha hizo kutoka kwa mfanyabiashara wa...
 15. Boniphace Kichonge

  Ni furaha ya sare?

  Wadau. Mpe neno MwanaYanga,!
 16. Boniphace Kichonge

  Rais Magufuli ameongoza kikao cha baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam

  Wadau. Rais wetu mpendwa Dkt John Pombe Magufuli leo ameongoza kikao Cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.
 17. Boniphace Kichonge

  Ukiwa Rais unafanya kila kitu, ukiondoka unafanywa kila kitu

  UKIWA RAIS UNAFANYA KILA KITU, UKIONDOKA UNAFANYWA KILA KITU MIAKA 38 ya mamlaka, amri, ushawishi na nguvu ya kufanya kila kitu, tamati yake ilikuwa Septemba 2017. Baada ya hapo, zikaingia zama za kufanywa chochote. Ni story kutoka Angola. Mhusika ni Rais wa Tatu, Jose Eduardo dos Santos...
 18. Boniphace Kichonge

  Tigo wamerejea kwenye ufahari wao

  Piga 147 au 148
 19. Boniphace Kichonge

  Tigo wamerejea kwenye ufahari wao

  Wadau
Top