Search results

 1. M

  Gharama za Wakili kwenye mauziano ya Nyumba/Kiwanja

  Salamu za mwezi mtukufu ndugu zangu. Naomba kuchukua nafasi kuulizia kwa wale wenye uzoefu, kuhusu malipo ya wakili pale unapotaka akusimamie mkataba wa mauziano ya nyumba, kuna kanuni yoyote katika upangaji wa malipo kwa wakili anayesimamia mauziano?
 2. M

  Je Ni Sahihi kwa LHRC Kujitwika jukumu la kutafsiri rasimu ya katiba kwa kiingereza??

  Ni Muda sasa nimekuwa nikiziangalia hizi asasi zetu kwa jicho la tatu. Je ni sahihi kwa kila asasi au mdau kutoa tafsiri yake ya katiba? kama jibu ni sawa ni nani anawajibika ikiwa kutatokea upotoshaji wowote wa kimantiki? na je nani mlengwa kwa jitihada hizi za kutafsiri katiba hii kwa...
 3. M

  Rais anapolakiwa na Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje!!

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Bw. Laurence Bay, Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore.
 4. M

  Natafuta apartment au nyumba ya kukodi kwa mwezi mmoja

  Ndugu yangu anatarajia kuja kutembea Dar kikazi. Atakuwa Dar Kati ya tarehe 1.12-10.01.2013. Kwa mwenye apartment au nyumba ambayo IPO furnished aniPm.
 5. M

  Serikali kujenga magereza 39 mapya; sasa kila wilaya itakuwa na gereza lake

  Tanzania yangu huwa haiishiwi vituko. Baada ya ukarabati na ujenzi wa nyumba kubwa na ya kisasa zaidi ya kuhifadhia maiti katika nchi za SADDC, sasa tunawapiga bao jirani zetu kwa kuhakikisha kila wilaya inajitosheleza na kujitegemea kwa kuwa na gereza lake yenyewe.... Magereza nchini yaelemewa...
 6. M

  Ombi kwa madaktari: Mgomo uendelee!

  Labda nitoe rai kwa madaktari, wengi tumeuunga mkono mgomo wao sio kwa sababu walikuwa wanataka nyongeza ya posho au kushinikiza watu fulani wajiuzulu. Dai la msingi la madaktari ambalo ndilo msingi wa uungwaji wao mkono na taifa zima lililalia kwenye ukweli kwamba walikuwa wakidai SERIKALI ITOE...
 7. M

  Assange to be extradited to Sweden

  24 February 2011 Last updated at 11:32 GMT Assange to be extradited to Sweden Wikileaks founder Julian Assange should be extradited to Sweden to face sexual assault allegations, a judge has ruled. The judgement was delivered at Belmarsh Magistrates' Court, south London, after an extradition...
 8. M

  Election 2010 NEC yabariki kampeni za CHADEMA Maswa kusitishwa

  NEC yabariki kampeni za Chadema Maswa kusitishwa Na Joseph Mwendapole 30th October 2010 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imebariki uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ya Jimbo la Maswa Magharibi mkoani Shinyanga ya kusimamisha kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
 9. M

  Walemavu Wanatumika Vibaya Kwenye Uchaguzi Huu!!

  Wanandugu, Nimekuwa nikifuatilia hizi kampeni za uchaguzi tangu zilipoanza. Moja ya vitu nilivyoshuhudia na kunisikitisha ni matumizi mabaya ya rasilimali watu, muda na fedha. Bila shaka wengine watasema matumizi ya vitu hivyo hayakwepeki katika kampeni za uchaguzi, hasa katika nchi...
 10. M

  Election 2010 Polisi Haya Ndio Maandalizi Gani Kuelekea Uchaguzi Mkuu?

  Polisi Mkoani Morogoro wakionyesha vifaa vipya, katika maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba. (Picha na Ida Mushi) Source: Nipashe 18.08.2010
 11. M

  Rest in Peace Mama Rhoda Kahatano

  Taarifa nilizozipata muda sio mrefu, mwanasiasa na mpiganaji mkongwe bibi Rhoda Kahatano ametutoka. Ni pigo kwa siasa za Tanzania kwani idadi ya viongozi na wanasiasa wa kupigiwa mfano inazidi kupungua. Mungu mwenyezi na mwingi wa rehema, tunaomba umrehemu huyu mama.
 12. M

  Election 2010 Moshi Mweupe Dodoma, Mgombea Mwenza wa JK 2010 ni Gharib Bilal

  JK ndio ametoka kutangaza mgombea mwenza wa nafasi ya makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye ni: Gharib Bilal.
 13. M

  MV Serengeti Yawaka Moto Bandarini ZNZ

  BREKING NYUUUUUZZZZZ: meli ya mv Serengeti inawaka moto Habari zilizotufikia hivi punde,ni kwamba Meli ya Mv Serengeti iliyokuwa ikifanya safari zake ndani ya Bahari ya Hindi,inawaka moto sasa hivi katika bandari ya Zanzibar ilipokuwa ikitaka kuondoka...
 14. M

  Mkono:Wafanyabiashara ni Kundi Rasmi, CCM Haina Budi Kutambua.

  Rostam, Chenge, waonyesha jeuri ya fedha kwa John Cheyo Na Anceth Nyahore 18th January 2010 Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono, ni miongoni mwa waliochangia fedha na kushiriki katika harambee maalum...
 15. M

  Mkono: CCM Haina Budi Kuwatambua Wafanyabishara Kama Kundi Rasmi.

  Rostam, Chenge, waonyesha jeuri ya fedha kwa John Cheyo Na Anceth Nyahore 18th January 2010 Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono, ni miongoni mwa waliochangia fedha na kushiriki katika harambee maalum...
 16. M

  Nadharia ya Kuchezea Sheria kwa Manufaa ya Kisiasa

  WanaJF, Mahakama ilishatoa hukumu kuwa serikali iandae mazingira yatakayowesha wagombea huru kushiriki katika chaguzi zetu. Sasa tunajindaa kuingia kwenye chaguzi zetu huku serikali ikionyesha dhahiri kuwa haina nia ya kuruhusu mgombea huru. Katika mazingira haya serikali yetu inamtumikia...
 17. M

  Maafa Uganda

  WanaJF, Habari nilizozipata punde ni kuwa huko Uganda kuna maandamano makubwa ya Wabaganda kupinga Mfalme wao Mutebi kuzuiwa na serikali kutembelea maeneo ya waasi. Inasemekana maandamano hayo yamezaa vurugu kati ya waandamanaji na polisi, kupelekea watu 614 kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi na...
 18. M

  JK Ziarani Denmark

  Habari nilizonazo, JK yupo nchini Denmark kwa ziara ya kikazi, yeyote mwenye habari zaidi?
 19. M

  Tanzanian Economic Growth is it Illusion or Reality?

  Even with a New Government, Conditions in Zimbabwe Worsen By TIME'S CORRESPONDENT IN HARARE Time's Correspondent In Harare – Sun Apr 26, 1:35 am ET Tatenda Majiri, 22, hoists a calabash of home-brewed beer with some authority while discussing news of the day. But he has no confidence...
Top