Search results

 1. Gamba la Nyoka

  Wenye kujihusisha na mapenzi ya Jinsia Moja wafanya maandamano Makubwa Israel

  Katika kupinga sheria inayowazuia watu wa Jinsia moja Kuasili mtoto, Wenye kujihusisha na mahusiano ya Jinsia moja huko Israel wamefanya maandamano makubwa sana wakiishutumu serikali ya Netanyahu kuwadanganya. Mashoga hao wanamlaumu Netanyahu kusaini Muswada wa kuwakataza kuasili watoto wakati...
 2. Gamba la Nyoka

  Jeshi la Urusi latoa Tathmini ya Mashambulizi ya Marekani na washirika wake kwa Syria

  Russia military releases full report for US-led missile attack on Syria _________ Al Masdar Russian military releases full report for US-led missile attack on Syria, what air defense systems were used and their effectiveness BEIRUT, LEBANON (10:25 A.M.) – The Russian military has released a...
 3. Gamba la Nyoka

  Kanisa takatifu la Jerusalem lafungwa kupinga unyang'anywaji wa ardhi za Wakiristo unaofanywa na serikali ya Israel

  Greek Orthodox Patriarch Theophilos III (center), Custos Francesco Patton (ledt) and Armenian Patriarch Nourhan Manougian.Mab-CTS Jerusalem's Church of Holy Sepulchre Closes in Protest Amid Row With Israel After rare move by heads of churches in Jerusalem in protest of legislation to expropriate...
 4. Gamba la Nyoka

  Waziri wa mawasiliano Israel awanasibisha Wahamiaji na Tatizo la Uchafu

  African asylum seekers protest against their condition and pending deportation in Jerusalem. Emil Salman Israeli Minister Dubs African Asylum Seekers 'Sanitary Nuisance,' Calls for Death Sentence for Fake News Communications Minister Ayoub Kara sparks controversy as he calls for death for...
 5. Gamba la Nyoka

  Kagame's Collaboration with Israel over the deportation of African refugees is a shame for Africa

  Opinion Mr. Kagame, Don't Cooperate With Israel's Asylum-seeker Expulsion If Rwanda agrees to collaborate, there will be scenes of evil in Israel the likes of which haven't been seen since 1948. The lust for pure nationhood, religion and race knows no bounds in Israel Gideon Levy 07.01.2018 |...
 6. Gamba la Nyoka

  Vijana Wa Kiisrael wakataa kujiunga na Jeshi la nchi hiyo kupinga kunyanyaswa kwa Wapalestina

  Vijana Wa Kiisrael wenye umri Wa kujiunga na jeshi (kwa lazima) wamemuandikia Netanyahu Waziri mkuu Wa nchi hiyo barua kupinga kujiunga na jeshi hilo wakitoa sababu Kuwa hawaoni sababu ya kushiriki katika jeshi linalokalia kwa mabavu wapalestina kuwabagua na kuwafanyia mambo ya kikatili. Vijana...
 7. Gamba la Nyoka

  Je wajua kuwa Wayahudi wenye kumuamini Kristo hawaruhusiwi kuwa raia wa Israel?

  Waisrael walipounda Taifa lao mwaka 1949, waliweka sheria kuwa myahudi yeyote popote pale alipo ana haki ya kurejea Israel na kuwa raia. Hii haki haijalishi kama wewe unamuamini Mungu au humuamini Mungu, so long as una damu ya Kiyahudi basi una haki ya kuja israel na kuwa raia huru. Kitendo cha...
 8. Gamba la Nyoka

  Kanisa la Coptic la Misri lakerwa na hatua ya Trump juu ya Jerusalem

  Kanisa la Coptic la Misri limegoma kukutana na makamu wa Raisi Pence ikiwa ni kuonyesha kutokukubaliana na msimamo wa Trump kuitambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, wamesikitishwa na Trump kufanya uamuzi huo mzito bila kujali hisia za mamilioni ya watu. Taarifa hapa: Egyptian Christians...
 9. Gamba la Nyoka

  Siri yavuja: kumbe Marekani iliruhusu Magaidi wa ISIS kuondoka kwa amani huko Raqqa Syria

  Serikali ya marekani iliwaachia magaidi wa ISIS waondoke kwa amani ktk mji wa Raqqa huko Syria katika mpango wake wa kusapoti mapambano yake dhidi ya Rais Assad hayo yameelezwa na mpiganaji wa Kikurdi aliyekuwa upande wa eashirika wa marekani ambaye aliamua kudefect na kwenda Uturuki Habari...
 10. Gamba la Nyoka

  Kuhusu hali ya kiuchumi, Serikali ifanyeje?

  Nimefuatilia Comment ya Zitto kwenye page yake ya facebook na maudhui yake yaliyoletwa hapa JF, Zitto anaonya kwamba kwa mujibu wa source zake makusanyo na mapato ya serikali yameshuka kufikia around billion 600. Kusema kweli nimekuwa shocked, nikaona ni vyema kuanzisha uzi hapa JF nikiamini...
 11. Gamba la Nyoka

  North Korea yapangua hoja za Marekani kwenye UN nimewaelewa sana

  Summary: 1.Huyo Bwana anasema Marekani haipaswi kuwa kimbelembele kuinyooshea kidole North korea kuhusu silaha za Nyukilia wakat, yenyewe inazo, na ndiyo nchi pekee duniani kuwahi kuzitumia dhidi ya nchi nyingine pale ilipoishambulia Japani kule Nagasaki na Hiroshima 2. Anasema, Marekani toka...
 12. Gamba la Nyoka

  ACT Wazalendo yalaani kukamatwa kwa Halima Mdee

  TAARIFA KWA UMMA: Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT Wazalendo inalaani na kupinga vikali tabia ambayo inaonekana kuzidi kumea mizizi siku za hivi karibuni ya baadhi ya viongozi wateule wa Rais hususani Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kutumia vibaya sheria ya Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa...
 13. Gamba la Nyoka

  Je tutawashitaki ACACIA?

  Profesa Kabudi kasema kuwa Sheria mpya hazitaathiri Mikataba ya madini ya zamani, na ifahamike mikataba hiyo inahusu Dhahabu miche ( Gold Bars) pamoja na mchanga (Makinikia). Je Kwa kuwa ripoti ya Mruma na Osoro, vimeonyesha kuwa Tumeibiwa Matrilioni mengi sana tangu waanze kuchimba. Na kwa...
 14. Gamba la Nyoka

  Maoni ya chama cha ACT Wazalendo kuhusu muswada mpya wa rasilimali

  MAONI YA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KUHUSU MABADILIKO YA SHERIA ZINAZOHUSU RASILIMALI ZA TAIFA 1. Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010. 2. Sheria ya Uhuru wa Milele wa Utajiri wa Taifa ya mwaka 2017. 3. Sheria ya Mapitio ya Mikataba ya Utajiri wa Taifa ya mwaka 2017. UTANGULIZI Kwa...
 15. Gamba la Nyoka

  SUMATRA mnawatesa wananchi wa Bagamoyo

  Ni takribani wiki moja sasa wananchi wa Bagamoyo au wa Dar wenye shughuli zao za kila siku za kazi Bagamoyo kujikuta katika hali ngumu sana ya Usafiri baada ya Magari ya Bagamoyo- Makumbusho (madaladala) kuzuiwa kufika Makumbusho na Kutakiwa kuishia Tegeta Nyuki tu, binafsi nimeshuhudia vituoni...
 16. Gamba la Nyoka

  TBC Kazi yenu nini?

  Kuna mashindano ya Mpira ya COSAFA yanaendelea, Timu ya Taifa ya mpira wa miguu inashiriki na inafanya vizuri, ZBC2 Ya Zanzibar inaonyesha, lakini hii ZBC2 inapatikana katika king'amuzi cha Azam, Lakini TBC inapatikana katika ving'amuzi vyote kupitia Chaneli zake mbili TBC1 na TBC2, Lakini cha...
 17. Gamba la Nyoka

  Je Ummy Mwalimu kujiuzulu?

  Baada ya mheshimiwa Raisi kutoa msimamo wake kuhusu wanafunzi wa primary na Sekondari kupata mimba na hivyo kuachishwa masomo yao, najiuliza je Waziri Ummy Mwalimu ataachia ngazi?. Waziri Ummy ameshasikika huko nyuma akilipigania hili suala la Watoto hawa waendelee kusoma kwa hoja kuwa watakuwa...
Top