Search results

 1. bioto yona raphael

  Simulizi: Tamaa ilinipeleka Kisiwa Cha Najini

  SIMULIZI; TAMAA ILINIPELEKA KISIWA CHA MAJINI SEHEMU YA KWANZA Jina langu naitwa Jackson Abell ni mzaliwa wa tanga shughuli zangu ni biashara kawaida huwa na chukua mzigo Zanzibar kwa bei nafuu na kuja kuuza Tanzania bara biashara hii nimefanya kwa muda mrefu kwani ni biashara inayonifanya...
 2. bioto yona raphael

  RIWAYA: Joto La Mshumaa

  RIWAYA: JOTO LA MSHUMAA MTUNZI: MUDHIHILI MNALI SIMU: 0652667153 LINDI-RUANGWA SEHEMU YA KWANZA 01 Anza nayo............... Ndani ya kijiji kimoja kijulikanacho kwa jina la BWAWANI. Kwenye familia moja ambayo ilikuwa chini ya usimamizi wa bwana Mzee MAMBO SASA, alikuwa anishi na familia yake...
 3. bioto yona raphael

  Simulizi: Maisha Yangu Ya Uvuvi

  RIWAYA:: MAISHA YANGU YA UVUVI MTUNZI:: Author Mudhihili SIMU:: 0652667153 LINDI-RUANGWA SEHEMU YA KWANZA 01 ENDELEA.............. .................Niliweza kuishi Maisha ya tabu baada ya kufukuzwa kazi ambayo niliamini kuwa ndio kitegemea uchumi wangu. Maisha yangu kiukweli nilishindwa...
 4. bioto yona raphael

  Simulizi: Sister Murcia

  SISTER MURCIA. NA HEMED MAYUGU. NO. (01). Ni sister ambaye alikuwa na upako mkubwa na inasadikika alikuwa na uwezo wa kuomba chochote na mungu akamtekelezea. hata kama alikuwa na njaa yeye alishushiwa chakuala mahara popote. Licha ya kuwa na upeo mkubwa. syster murcia alikwenda kuongeza elimu...
 5. bioto yona raphael

  Simulizi: Taifa La Moyo Was Shetani

  TAIFA LA MOYO WA SHETANI. NA..............HEMED MAYUGU. NO................(01). WHATSAPP.......0755577488. SHARE NYINGI NDIYO FURSA YA KUIFURAHIA KILA SIKU. NAOMBA KU-SHARE KWA WINGI. Ilikuwa tarehe mbili ya mwezi wa tano mwaka 2007 Sehemu nyingine zote za inchi ya Tanzania na mikoa yake pamoja...
 6. bioto yona raphael

  Simulizi: Sehemu isiyo na jina

  A PLACE WITH NO NAME. (Sehemu isiyo na Jina) SEHEMU YA (1) Mtunzi........hemed mayugu UTANGULIZI. Ni Hadithi nzuri iliyoandikwa na Jumanne katika kitabu chake alichokitoa mwishoni mwa mwaka wa elfu mbili na kumi na Moja, ni hadithi ambayo watu wengi waliipenda, hasa vijana wengi wa Tanzania na...
 7. bioto yona raphael

  Simulizi: Equatorial forest (msitu wa Equatorial)

  SIMULIZI: EQUATORIAL FOREST (msitu wa Equatorial) MTUNZI: AISHA KHAN SEHEMU YA 01 UTANGULIZI: kwa Jina naitwa Najma Abdallah, Nina umri wa miaka 22 na soma university mwaka wa pili sasa, wazazi wangu wote wapo hai ila baba yangu mzazi alifungwa jela sasa ni mwaka mmoja kwa kesi ya uchochezi wa...
 8. bioto yona raphael

  CHOMBEZO: Baba kama Punda

  "BABA KAMA PUNDA JAMANI" "KISA CHA KWELI, CHENYE KUSISIMUA" Umri__ Naitwa Koga nimezaliwa mkoani Shinyanga vijiji Mimi ni binti wa kisukuma, maisha yangu ukubwani nikiwa binti mkubwa niliyaishi sana mjini pamoja na dadaangu aliyekuwa kaolewa huko dar maeneo ya Tabata kimanga. Wazazi Wangu wao...
 9. bioto yona raphael

  RIWAYA: Hamunaptra - Mji uliopotea

  RIWAYA: HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA MTUNZI: Richard MWAMBE MAHALI: BAGAMOYO SIMU: 0766974865 Riwaya ya kufikirika, itakayokupa taharuki, tafadhalisoma kwa makini ikiwezekana rudia mara kadhaa iliupate uhusiano wa mtukio yaliyoitengeneza riwayahii kali, tamu, haijawahi tokea katika kare hii...
 10. bioto yona raphael

  Simulizi: John ze mwizi

  Simulizi:John ze Mwizi Na: Humph Isack Whatsapp: 0742817066 Sehemu ya Kwanza Koooooh!! koooh!! koooh!!" ilikuwa ni sauti ya babuyake john akikohoa kwa nguvu wakati amejilazakitandani,kikohozi kilitoka kikavu kilichopolelekea mpaka mwili wake uruke ruke na kufanya kitandakilichochoka...
 11. bioto yona raphael

  Riwaya: Merisa Jini Mwitu

  RIWAYA: MERISA - JINI MWITU MTUNZI: ZAYNAB TALY Zaynab Taly ni mwandishi chipukizi ambaye ndotozake ni kuja kuwa mwandishi mkubwa katika nchihii. Wapo waliokwisha msoma kazi zake na wapoambao bado hawajamsoma mwanadada huyu. Kwa kuwa Jamvi la Simulizi za Kusisimua ni pageambayo pia inapenda...
 12. bioto yona raphael

  Simulizi: Mauaji ya Kasisi

  RIWAYA: MAUAJI YA KASISI MTUNZI: richard MWAMBE WHATSAPP: +255 766 974865 UTANGULIZI MAUAJI YA KASISI © Richard Richard Mwambe Ni kizaazaa katika jiji la Nairobi, Kasisi wa kanisa katoliki anauawa katika lango kuu la kuingilia kanisani hapo mapema alfajiri. Sajini Maria na wasaidizi wake...
 13. bioto yona raphael

  Naombeni msaada jinsi ya ku-flash Infinix Note 3

  Wakuu heshima kwenu, Kama kichwa cha habari kilivyo naombeni msaada tafadhali nimetumia zile njia za kikamanda kubonyeza power button na volume button Kwa wakati mmoja imefikia sehemu sasa inataka niunganishe Wi-Fi nimekwama hapo. Msaada tafadhali
 14. bioto yona raphael

  Hizi dini zinazingua sana

  Ukweli utajulikana tu siku moja Sent using Jamii Forums mobile app
 15. bioto yona raphael

  Msaada

  Wakuu habari za muda huu, naombeni msaada takriban yaapata mwezi kila nikila chakula sishibi kabisa hata nikila kiasi kingi. Imefikia hadi kwa siku nakula zaidi ya mara tano na bado nitateseka kwa njaa.Ushauri tafdhali wakuu
 16. bioto yona raphael

  Mjomba

  Mjomba kile choo kimeshatitia, sasa hivi wananzengo hawana pa kujisaidia Mjomba, uliwateua wawe wakuu wa bandari, ila umesahau hawawezi kwa kuwa ni mabashitle Mjomba, wanadai wanatetea haki zetu kumbe wametupokonya milioni. 200, na kutuua tukiwa kwenye daladala Mjomba, mi ntoto wa dada yako...
 17. bioto yona raphael

  Deogratius Nalimi Kisandu

  Uko wapi mjukuu wa kisandu? nimemis post zako zisizo na mbele wala nyuma. Nilisikia mamwela walikunyaka... ni kweli? sema na wewe punguzaga matusi aisee
 18. bioto yona raphael

  natafuta future wife

  .
 19. bioto yona raphael

  Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

  Habari wana jamii form kwa muda mrefu kumekuwa na battle kati ya A-city Vs Rock City. Nimefuatilia kwa makini nimeona pande zote hakuna anayekubali kushindwa. Lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida ukweli ndio huu 01. Population arusha city iko half of Mwanza rock city 02. Kujengwa kwa city Chuga...
Top