Search results

 1. P

  Falsafa ya kusoma picha na mzee Lowassa

  Wakati Tunampongeza Mzee Lowassa kwa kupata Mkwe pia tutumie nafasi hiyo kutafakari hadi wale wenye ujuzi wa kusoma picha
 2. P

  Afya Ya Mengi Ilianza Kuzorota 2017

  Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk Yeye...
 3. P

  Ongezeko la vilabu vya pombe kama miradi makambi ya Jeshi

  Hivi karibuni baada ya taasisi mbali mbali kutakiwa kubuni miradi ya Kujikimu , kumekua na Ongezeko kubwa Sana na Bar katika maeneo ya Jeshi Mfano ukianzia Hapo Mwenge hadi Lugalo kuna Bar zinazopokea Raia zaidi ya Sita Hiyo ni mbali ya Ranks , Officer and Brigade Mesa ambazo ni moja ya...
 4. P

  Nini kinaendelea mkwamo Ubungo Interchange ?

  Karibu mwaka mmoja tangu mradi wa Ubungo Interchange uanze, hadi sasa hakuna kazi ya maana iliyofanyika, kwani hata site clearence ambayo ni kazi ya kufanya wiki mbili tu katika hali ya kawaida hadi sasa haijakamilika . Contractor wa kichina wanasuasua sana kufika site na hata hakuna dalili...
 5. P

  JK Nyerere:- Moyo Kabla Ya Silaha , Kuasisi TPDF Kulinda Wananchi Si Watawala

  Utangulizi Kila tunapokabiliwa na wakati mgumu kwenye usalama wa ndani wa nchi yetu , wapo wanasiasa wanasahau dhima na lengo kuu la kuanzisha TPDF , ambayo ilianzishwa toka jeshi la kikoloni tulilorithi Kings African Rifle [Tanganyika Rifle] Kama jina lilivyoeleza ni jeshi la mfalme na...
 6. P

  Rais kuambatana na CDF, CJ , IGP , DG-TISS na wakuu kila tukio kunadumaza kazi zao

  Siku hizi imekua kawaida kwenye kila tukio hata ya kawaida tu ya muheshimiwa Rais wakuu wa Mihimili yote muhimu wanakua paraded Mbele yake kuanzia Spika , Jaji Mkuu , Mkuu wa Majeshi , Usalama, Polisi , Takukuru, Gavana , JKT na wengine nyeti. Tunatambua kuwa hao ndio nembo ya mamlaka ya Rais...
 7. P

  Conspiracy Of Michael Sata Death and Being Tanzanian immigrant

  Todate in the circle of powers and Zambaa intelligence , its is believed that’s Michael Sata demise was an inside job to cover up intelligence failure to stop him from ascending to power . —————————————————— Back in 2002, Sata sued Patrick Katyoka for alleging that his father, born in 1904...
 8. P

  Ulinzi wa Kagame, mbona hana Mwanajeshi nyuma?

  Huwa wakuu wote wa nchi wanapoenda nchi zingine kwa ziara rasmi wanapewa ceremonial aide de camp na host country ,nimefuatilia ziara ya jana sioni aide de camp wa TPDF nyuma ya PK as practiced.je ina maana gani ? Kuna picha nimeweka ya ziara ya mwaka 2016 nyuma ya PK kuna aide de camp wa TPDF...
 9. P

  Kifo cha upinzani ni maafa kwa uhuru ndani CCM na nchini

  Vyama vya upinzani vilianza kazi rasmi kwa mabadiliko ya katiba mwaka 1992 , hii ilitokana na mapendekezo ya Tume ya Nyalali ambayo hata hivyo kutokana na uelewa duni watu waliotaka nchi iingie vyama vingi walikuwa asilimia 20 tu na wale ambao walitaka nchi iendelee chama kimoja walikuwa 80%...
 10. P

  Sylvester Kasulumbai amaliza fitina nunua nunua ya wapinzani

  Sylvester Kasulumbai atoboa siri ya Manunuzi. Adai Machemli aliyekuwa Mbunge wa Ukerewe, alimpigia simu akitaka ajiunge CCM atapewa milioni 60. Wanataka niwe mropokaji wa kusema namuunga mkono Magufuli. Mimi sina bei. Huku Maswa wananiita yesu wa Maswa. Magufuli kapata kura kwa kile kinachoitwa...
 11. P

  Kampeni Ya utaifa kwanza ni unafiki

  Tanzania hajawahi kuonyesha utaifa kama wakati wa vita ya kutafuta uhuru,tuliungana wote bila kujali rangi,kabila na dini hadi tukawa hutu Baada ya hapo utaifa uliimarishwa kupitia Lugha ya Kiswahili,vijijo vya ujamaaa ( pamoja na matatizo yaliyotokea) ,na utamaduni wetu uliunganisha makabila...
 12. P

  Askari wawili wa Tanzania wauliwa na 12 wajeruhiwa na ADF

  Ugandan rebels have attacked two military bases in the northeast of the Democratic Republic of the Congo (DRC), killing two United Nations peacekeepers and injuring a dozen others, PressTV reported. The UN mission in Congo, known as MONUSCO, said the casualties occurred during two simultaneous...
 13. P

  Rais Mgufuli Mwambie Raila Odinga Asichome KENYA

  Raila anaonekana hataki kukubali matokeo., ni.wakati sasa Rais Magufuli ambaye ni rafiki yake binafsi ajitenge na kusema hamuungi mkono tusikie Sisi watanzania hatutaki vurugu zitokee Kenya , Aige mfano wa.Edward lowassa ambaye pamoja na ushahidi wa kuibiwa kura kuwepo na vituo vya Tallying...
 14. P

  Rais Magufuli Mpongeze Uhuru HARAKA

  Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015 Urais ni taasisi na ukiwa hapo unasimamia maslahi mapana ya taifa na sio yako ...inawezekana ulitaka Raila kama ulivyotaka Kagame...
 15. P

  Kabla ya uhuru Kilimanjaro ina vyama vingi bila visasi

  Wiki iliyopita ilitawaliwa na maaamuzi ya mkuu wa mkoa Hai kuvamia shamba la Ukoo wa Mbowe na kulivunja vunja miuondombinu yake ,ili ni shamba ambalo kwa miaka karibu 100 limekuwa likirithishwa kwa vizazi vya familia hiyo (ardhi ya kimila) Ndani ya wiki hiyo pengine katika kufanya...watu...
 16. P

  CCM-MPYA chama kipya tawala Tanzania

  Sasa hivi ni wazi kuwa Tanzania inatawaliwa na chama kipya kiitwacho ,CCM-MPYA, hii ni baada ya kuwa wazi kuwa chama kiliitawala nchi hiyo hadi mwaka 2017 kilipoondolewa baada ya mapinduzi baridi yaliohusisha kuwaondoa wale viongozi wajulikanao kama "CCM ina wenyewe" kwenye mkutano mkuu wa chama...
 17. P

  Kudai malipo kwa ukombozi leo ni aibu,masimango na kinyume na nia ya mwalimu katika liberation

  Leo nimesikiliza hotuba ya Rais Magufuli akiongea mbele ya Rais Zuma kafanya kosa kubwa sana ambalo pengine linatokana na kutoijuwa vema historia ya ukombozi kusini mwa Africa , au kutojua historia ya TANU . Mwalimu Nyerere alisema "..Tanzania haiwezi kuwa huru kama nchi zingine za Africa...
 18. P

  Operesheni Ya Kuondoa Wahamiaji Haramu Maporini Mpakani Karagwe imesitishwa?

  Wimbi la wahamiaji haramu ambao huingia na kundi kubwa la mifugo wakitokea nchi jirani limerudi upya tena safari hii kwa kasi na kujiamini na kiburi .Wahamiaji hawa itakumbukwa walifurushwa na aliyekuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu Jakaya Mrisho Kikwete . Wiki iliyopita Serikali ya mkoa wa Kagera...
 19. P

  Simon wa UDA na sura mbili vita ya ufisadi ya Magufuli

  Pamoja na ushahidi kuwa wazi kuwa taratibu za ununuzi wa UDA zilikiukwa jambo ambalo lilileta matatizo makubwa na wabunge wa DAR wa vyama vyote wakiongozwa na kina Zungu,Mtemvu ,Mdee na Mnyika ..juzi Rais amebariki deal ya mauziano hayo kwa kukubali pesa bilioni 5 zitumike Bado watu hasa...
 20. P

  Siku hizi Utumishi wa Umma kukaimu haiangalii Seniority?

  Mara zote utaratibu wa utumishi wa umma upo kisheria , hata inapotokea mfano waziri mkuu ameteuliwa akiwa hana junior kama Wakati Sumaye alipopata uwaziri mkuu na kuwaacha mawaziri waandamizi kama Makweta,Kimiti na Wassira ....bado ilipotokea hayupo aliyekuwa akikaimu nafasi yake ni Waziri...
Top