Search results

 1. Omuzirambogo

  Niwatakie heri ya krisimass na mwaka mpya

  NAWATAKIA WANA JF NYOOTE HERI YA KRISIMASS NA MWAKA MPYA. KWA WANASIMBA NAWAPONGEZA KWA USHINDI WA JANA. MUNGU ATUBARIKI SOTE. TUSHEREHEKEE KWA AMANI NA UTULIVU. KARIBU SANA TABATA TULE BATA.
 2. Omuzirambogo

  WAZIRI WA KAZI, VIJANA NA AJIRA LIMULIKE HILI

  Kumeibuka janga la waajiri kuitisha interview hewa na kuwataka wanaoomba kazi kulipa pesa ili waitwe kwenye interview. Mfano mzuri ni Happy English Medium iliyopo mkoa wa Kagera na Ndagara Secondary School. Wanatosa pesa kwa ajili ya interview hata kama hawana uhitaji. Je, hili ni sahihi?
 3. Omuzirambogo

  Sekretariat ya ajira mnawatia umasikini watanzania

  Napongeza kwanza kwa kutangaza na kuendesha mchakato wa ajira kwa wantanzania. Ila kwa sasa mnawatia umasikini wantanzania. Kazi inahitaji mtu mmoja, mnatoa orodha ya watu 500. Hawa mnawaita wafanye mtihani wa mchujo kwa ghalama zao; mtihani wa dakika 40 unaosahihishwa kwa saa mbili na kutoa...
 4. Omuzirambogo

  Kuna ukweli gani katika dhana ya kupanua njia kwa mama mjamzito?

  Kumekuwa na dhana ya wanaume kufanya mapenzi na wake/wenzi wao wajawazito kwa kisingizio cha kupanua njia ili mama asipate shida wakati wa kujifungua. Najiuliza kweli kuna ukweli? 1. Je, wenye vibamia wanapanua njia gani? 2. Je, wenye mipini wake zao hawapati shida katika kujifungua? Naombeni jibu!
 5. Omuzirambogo

  Fursa haiji mara mbili

  Nimetafakari picha ya NAHUJA kwa umakini sana. Sijui kijana huyu alikuwa na umri gani wakati ananong'onezewa jambo na mkuu huyu. Je,. alichoambiwa alikitekeleza? Kama jibu ni HAPANA angetekeleza angekuwa wapi sasa?
 6. Omuzirambogo

  Mimba ya jirani yangu inatishia maisha yangu

  Kuna mke wa jirani yangu amepata mimba nasikia kuwa anatamani kuvaa shati langu alimueleza mume wake hapo ndipo sakata lilipoanzia juzi jumamosi mume wake alinifuata na kunitaka nitoe maelezo ya kina kwanini mke wake atamani kuvaa nguo yangu. Hali hii ilipelekea mke wangu naye kuuwasha moto...
 7. Omuzirambogo

  Ulinzi Condoms: Jeshi la Uganda lazindua kondomu za kutumiwa na wanajeshi (BBC Swahili)

  Kondomu hizo zimepewa jina Ulinzi na zinatarajiwa kusaidia katika juhudi za kupunguza kuenea kwa virusi vinavyosababisha Ukimwi. Kitengo cha kukabiliana na maambukizi ya Ukimwi jeshini kilizindua nembo hiyo mpya kwa ushirikiano na mashirika mawili yasiyo ya kiserikali, Population Services...
 8. Omuzirambogo

  Tabia hii ya mchepuko wangu inanikera

  Nilishangaa mwanamke mkali kama huyu kuwa hajaolewa. Baada ya kuingia demu alikuja moto. Hakuna siku nitamuhitaji akazingua ila kwa mwezi mmoja niliokaa nae, nipo tayari kusema inatosha. TABIA YAKE NI HII Ikifika muda wa kucheza mchezo mtamu, dada huyu anataka sana kusuguliwa kwa kidole sana...
 9. Omuzirambogo

  Nimepata ofa ya penzi la bibi kizee safarini

  Nikiwa nimemaliza shughuli ya mdogo wangu, nilihitajika kibaruani maana nimeishatumia wiki mbili sasa. Mke wangu na watoto ninawaacha kwanza wapande maharage maana ndio msimu na watoto wapo likizo kwani shule zimafunga. Ninajipa matumaini kwamba sihitaji kukata tiketi mapema kwani sio msimu wa...
 10. Omuzirambogo

  Unakumbuka kitabu gani ulichosoma miaka 20 hadi 30 iliyopita?

  Kama ungepewa nafasi, ungetamani kitabu gani kichapishwe upya? Mimi nakumbuka vifuatavyo’ MIKATO MAKABURINI ALFU LELA ULELA WARIDI KISIWA CHENE HAZINA
 11. Omuzirambogo

  Mwanza: Walimu na mgambo wakamatwa wakiiba mtihani wa darasa la saba

  Habari zinazoenea kwa kasi ni kwamba mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Bulyahilu ya wilayani Buchosa Mwanza, pamoja na walimu watatu na mgambo wameiba mtihani wa Kiswahili, wakaufanya na kisha kuingiza majibu. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa mwanza Jonathani Shana amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
 12. Omuzirambogo

  Kuna ukweli gani katika dhana hii ya kufanya mapenzi chooni

  Hivi karibuni mdogo wangu ataoa kama kawaida tunamuweka ndani kumpa mawili matatu ya kuendeshea maisha yake kama mwanamme. Siku ya kwanza anakutana na marafiki zake wanampa maneno siku ya pili anakutana na shangazi, mama wadogo na mama yake nao wanamfunda siku ya tatu mpaka ya tano, anakutana na...
 13. Omuzirambogo

  Wanaume tuache manyanyaso kama haya kwa wake zetu

  Kuna msemo kwetu Buhaya “ensenene zagwa mbali batazilya” ikimaanisha senene ni wengi sehemu ambapo hawajui thamani yake. Juzi wakati naelekea katika kibanda umiza kuangalia mechi ya Man U maarufu Santiago au Kwa Kila, nilinasa sauti za malalamishi kutoka katika moja ya nyumba iliyopo njiani...
 14. Omuzirambogo

  Hii sio kupigania haki bali matusi

  Jamani akina mama mabango kama haya yanawadhalilisha
 15. Omuzirambogo

  Tunapishana ratiba ya kufanya mapenzi, nifanyeje?

  Wakazi wenzangu wa Dar mnajua hali ya hewa ya jiji ni joto sana. Lakini hata vyumba vya kupanga hasa vyoo na bafu za kushare. Sasa mwenzangu anataka tufanye mapenzi usiku. Nashindwa kwasababu nikimaliza lazima niende kuoga siwezi kulala na mijasho. Ila muda huo kwa bafu za kushare ni tabu...
Top