Search results

 1. green29

  Naomba msaada? Nini tofauti ya Passport number na Passport book number?

  Wakuu naomba msaada, najaribu kujaza mifomu ya kuomba viza ya obama sasa kuna haka kapengelea cha Passport Book NUmber nimeshindwa kukaelewa. Heeeelp?! Je Kwenye passport yetu ya Tanzania naipatia wapi?
 2. green29

  Jamiiforums tuanzishe Scholarship kama mchango wetu kwenye maendeleo ya Elimu

  Wanajamii wenzangu, natoa hili wazo kama mtanzania. Wapo wenzetu wengi wanaoishi kwenye mazingira magumu na wanasali na kuomba ili siku waamke wakute wamebahatika kujikuta wako shule/chuo wanapata elimu. Nahisi Jamiiforums, ikiwa si chama cha siasa bali ni Kusanyiko la Watanzania wanaoipenda...
 3. green29

  Msaada: Watanzania tunahitaji visa kwenda nchi za Burkinafaso, Siera Leon, na Mali?

  Wakuu naomba kuuliza; Hivi tunahitaji visa kutembelea nchi za Burkinafaso, Siera Leon, Mali na Senegal? Kama tunahitaji, swali la nyongeza, je tuna ubalozi wa hizi nchi hapa bongo?
 4. green29

  Nawezaje kuirudisha meseji nilitotuma kwenye yahoo messenger !! ndoa iko hatarini!

  wazee nimetuma message ya nyumba ndogo kwa wife kwa bahati mbaya. Nilikuwa nachati nao wote kupitia yahoo messenger sasa nikajikuta namtumia msg wife badala ya nyumba ndogo. wife alisha log out nahisi bado hajaisoma , nataka kujua kama naweza kuivuta ili asiikute. bahati mbaya nilikuwa...
 5. green29

  JKT kurejeshwa, wazo zuri au limepitwa na wakati?

  Mzee Madela wa madilu point yako katika thread ya Ubalozi wa israel imenikumbusha kitu muhimu sana kuhusu jeshi la kujenga Taifa JKT na ule utaratibu wa vijana wote kupitia huko. Sisi wengine hatukubahatika kupitia huko japo wakati mwingine tunadandiaga stori za huko kwa style ya Brazameni...
Top