Search results

 1. utakuja

  Kifurushi cha Tigo Home Internet

  Habari za asubuhi wakuu! Kwenye pita pita zangu kwenye menu ya tigo *147*00# nimekutana na hichi kifurushi cha Home Internet, na kwa bei hii nimeona kama kizuri kwa GB wanazotoa kwa mwezi especially hapo kwenye GB 100. Ningependa kujua kwa waliokitumia, experience yenu ilikuwaje kabla sijapoteza...
 2. utakuja

  Swali kuhusu Jumia na Kikuu (E-Commerce sites)

  Habarini wanajukwaa! Kuna kitu nilipenda kufahamu kwa wanaojua. Hivi ukinunua bidhaa kutoka Kikuu na Jumia nimeona wana kitu kinaitwa door-to-door delievery-- wanakuletea hadi mlangoni, swali langu ni kuwa... hizi kampuni zinafanya hichi kitu wenyewe au kuna kampuni (courier) wanaowapa bidhaa...
 3. utakuja

  Tigo 4G+

  Habarini wanajukwaa.. kwenye pita pita zangu mtandaoni nimekutana na tangazo hili katika Page ya Facebook ya Tigo (Kama inavyoonekana kwenye Picha). Tigo inadai kuwa mtandao wa pili (Ingawa mpaka leo TTCL sijawahi ona ikifikia spidi za LTE-A) kuwa na 4G+ hapa TZ yenye theoretical speeds za hadi...
 4. utakuja

  4G ya Vodacom ndio mfano wa kuigwa.

  Kusema ukweli, kwenye haya maswala ya intaneti— naweza kuwa kati ya wahenga nchini hapa; maana nakumbuka matumizi yangu yalianza mwanzo wa mwaka 2000, nikiwa bado mdogo sana. Enzi hizo nakumbuka tulikuwa tunapata intaneti nyumbani kutoka kwenye simu ya mezani ya TTCL: inayojulikana kama Dial-up...
 5. utakuja

  Ttcl kuzindua 4.5G

  Kwa Majibu wa account yao ya instagram leo, kampuni ya simu ya Ttcl imekuwa kati ya makampuni machache Africa kuzindua hii 4.5G au LTE-Advanced Pro, Mlimani City leo. Yenye theoretical 1Gbps speeds sawa na speeds za Broadband/Adsl (Internet za waya) Mfano wa demonstration ya speeds ya 4.5g...
 6. utakuja

  Natangaza rasmi mimi na huu mtandao KWISHAAAA

  Salam wakuu, mimi kwa miaka mingi Nimekuwa mzee wakuchepuka leo tigo, kesho voda, jioni halotel, kesho yake Ttcl lakini kwa niliyoyaona leo mimi na hii kampuni itwayo Tigo (line ninayo mwaka wa 10 sasa) ndio basi tena sirudi na kamwe siweki vocha hadi wabadilike.
 7. utakuja

  Swali: Smile 4G Unlimited bundle

  Habari za siku wakuu, leo hii nilikuwa katika pita pita zangu kwenye mtandao nikakutana na hii Sasa watumiaji wa huu mtandao naomba maelezo kidogo. Je; Kweli ni unlimited au ni unlimited zetu za kibongo zile za ukifika *GB flani unapunguziwa speed?
 8. utakuja

  S3 mini inauzwa.

  S3 mini, inauzwa kwa 100,000 FIXED. inatatizo na system ya charging na mic,Inakuja na kila kitu kasoro earphones. NI PM kama hupo interested tufanye biashara
 9. utakuja

  Samsung Galaxy S3 mini inauzwa.

  Inauzwa kwa bei ya 380,000(negotiable kidogo) 4.0 inch superamoled screen 1gb ram 8gb internal memory with SD card support Android 4.1.2 (custom rom ya Dmod v6 with some S4 features) 5mpx camera,720p video recording Dual core novathor processor Slim and light no scratches or cracks...
 10. utakuja

  Original Samsung Galaxy SIII Mini 8GB for sale

  Simu imetumika 1 week tu. Bei ni 420,000/= Tshs Inakuja na screen protector,Charger,Earphone na Box Flip Cover ntakuuzia kwa 15,000 Kwanini nauza: Simu ina chukua 2 hrs and 45mins kucharge na Samsung Charger au sometimes 3 hours ivi kucharge na Usb charger. Sijazoea simu inayocharge muda...
 11. utakuja

  Ramadhan Special!!

  Pata simu mbili Samsung Chat e222 na Huawei y200 zote kwa 160,000 (inapungua hadi 155,000)zote zipo kwenye hali nzuri. Ni Pm ukiwa interested..Hii ni kwa wakazi wa Dar pekee.
 12. utakuja

  Samsung chat 222 for sale

  Used Samsung chat, double line, bado mpya mpya,kila kitu kinafanya kazi,full qwerty keyboard,facebook,twitter and great for music going for 75,000(Tunaongea bei yenye faida kwa wote)
 13. utakuja

  Huawei inauzwa

  Bado mpya, aina scratch, ipo rooted. Bei 145,000. wasiliana nami: 0717157424
 14. utakuja

  Naeza pata laptop mpya yenye core i3 kwa bei hii

  Habarini wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyo sema je naweza pata core i3 laptop MPYA kwa laki 6
 15. utakuja

  2 for 1 Phone Offer. Moja Yako ya Pili Unampatia Utaependa Wewe.

  Huawei Y200 na Samsung Chat zinauzwa kwa bei ya 189,000/= Tsh. Utapata simu mbili na charger na kwa Huawei y200 utapata receipt yake for warranty valid for 5 months (Kama kukitokea tatizo lolote unauweza kuwapelekea tigo kwa matengenezo au simu mpya bure). HUAWEI Y200 Huawei -IPS screen(nzuri...
 16. utakuja

  Ningependa kujulishwa bei ya hizi simu

  Habarini za mchana/asubuhi/usiku wakuu. Nilikuwa naomba kwa anayejua bei kamili ya hizi simu dukani au kashaziona kwenye pita pita zake hapa na pale, Angeni saidia kunitajia na pia hata duka alipoziona (especially kwa ya kwanza) maana nimezipenda mno alafu nimechoka simu yangu kwa sababu ya...
 17. utakuja

  Can this be possible,using our own payment systems to buy apps, music, games etc.?

  Imagine going to the Android store, iTunes store, eBay and purchasing what your heart desires and making payments with M-pesa, Tigo Pesa,Airtel money. can this wish of mine become a reality some day? Au Is there a law restricting them from participating in international transactions.
 18. utakuja

  Tatizo TOSHIBA Satellite L505-S5969

  Habarini za usiku, asubuhi au mchana, tafadhali naombeni mchango wenu, nina laptop yangu ya Toshiba sasa tokea juzi aingizi umeme kabisa nikiplug in adapter with battery na without battery lakini amna kitu hata kuwaka aiwaki, hata taa ya kuonyesha mashine ipo plugged in aiwaki. Je nini linaweza...
 19. utakuja

  Je Ungependa Kuroot Huawei Ascend Y200 Yako Ili Iwe Bora Zaidi ?

  Kama jibu lako ni Hapana ishia hapaaa................... Kama jibu lako ni Ndio........ Kwamba unataka uwezo wa kufuta ma application yakijinga yanojaza memory ya simu lakini ayafututiki,kuongeza processor kutoka 800mhz hadi 1094mhz, kuongeza Ram kwa 256mb kwa kutumia swapper itayo kuwezesha...
 20. utakuja

  Msaada kuhusu screen ya simu Huawei u8650

  Wanajukwaa nina simu yangu ya Huawei u8650 zile za tigo. Lakini juzi kwa bahati mbaya nikaidondosha ikaland kwenye screen na ikatokea crack upande wakushoto kwenda kulia chini ..na crack yenyewe inaniumiza roho mno sana sana nikiwa kwenye jua maana ndio inaonekana sana na sina ela ya kununua...
Top