Search results

 1. Boniphace Kichonge

  Mlinzi wa Ofisi ya Ruto Apatikana Amefariki kabla ya kuandikisha taarifa kuhusu sakata ya Jeshi

  Feb 21, 2020 Afisa wa Polisi anayehudumu katika Afisi ya Naibu Rais William Ruto (Harambee Annex) na ambaye alihitajika kuandikisha taarifa kuhusiana na sakata ya bilioni 39 inayomkabili waziri wa zamani Rashid Echesa alipatikana siku ya Alhamisi akiwa amefariki katika mtaa wa Imara Daima, hapa...
 2. Boniphace Kichonge

  Waziri Wa Ulinzi Wa Uturuki Aambatana Na Mkuu wa Majeshi Kutembelea Mpaka Wa Syria.

  Feb 21, 2020 Waziri wa ulinzi wa Uturuki, Hulusi Akar, akiwa na mkuu wa majeshi Jenerali Yaşar Güler pamoja na mkuu wa vikosi vya nchi kavu Jenerali Ümit Dündar kwa pamoja wamekagua vikosi vya majeshi ya Uturuki vilivyopo mpakani mwa Syria. Waziri Akar, jenerali Güler na jenerali Dündar kwa...
 3. Boniphace Kichonge

  News Alert: Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Katani Katani ajiuzulu na kujiunga CCM

  Mbunge wa Tandahimba (CUF), Katani Katani amejiuzulu Ubunge wake na kujiunga CCM ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally aliyepo ziarani Mkoani Mtwara Bashiru amewasili Mtwara leo kwa ziara ya siku 3 huku akitarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya za Mtwara Vijijini...
 4. Boniphace Kichonge

  Watendaji Wakuu Wa Chama Cha Mapinduzi Ziarani Mikoa Mbalimbali. Dkt Bashiru Yupo Mtwara, Humphrey Polepole Pemba

  Wadau. Watendaji Wakuu Wa CCM Ziarani Mikoani. Dkt Bashiru Ally ameanza Ziara ya Siku 3 Mtwara. Humphrey Polepole ameanza Ziara ya Siku tisa Kisiwani Pemba.
 5. Boniphace Kichonge

  Pompeo aishambulia China kwa kuziwekea nchi maskini mzigo mkubwa wa madeni

  February 21, 2020 WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo, ameishambulia China kwa kutoa mikopo na kuziwekea nchi maskini mzigo mkubwa wa madeni. Serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani imeanzisha hatua za kupunguza ushawishi wa China barani Afrika kwa kutumia mpango wake mpya wa...
 6. Boniphace Kichonge

  Waziri Simbachawene awataka Watendaji Wakuu wa Polisi kuwahoji Mahabusu

  Wadau. Leo Mheshimiwa Waziri George Simbachawene amekutana na kufanya mazungumzo na Watendaji Wakuu Wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Katika kikao hicho Waziri Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi Kuhakikisha linafanya Kazi kwa weledi ili Kuondoa mlundikano wa kesi na mahabusu na pia...
 7. Boniphace Kichonge

  Mike Pompeo atoa onyo kwa Serikali ya Afrika Kusini, asema kuchukua ardhi za Wananchi bila kulipa fidia kutaleta madhara makubwa kiuchumi

  Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo ameonya mipango ya serikali ya Afrika Kusini kunyakua ardhi pasipo fidia kuwa ''utaleta madhara mabaya sana'' kwa uchumi na taifa kwa ujumla. Bwana Pompeo alitoa kauli hiyo nchini Ethiopia, alipofanya ziara Afrika, ambapo pia alifanya ziara Angola...
 8. Boniphace Kichonge

  Diwani wa CHADEMA Tarime ahukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kukwepa kulipa deni

  DIWANI Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kata ya Matongo wilayani Tarime mkoani Mara, Philomena Tontora amehukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kukopa kiasi cha Sh milioni 4.5 na kushindwa kulipa. Diwani huyo inadaiwa alikopa fedha hizo kutoka kwa mfanyabiashara wa...
 9. Boniphace Kichonge

  Ni furaha ya sare?

  Wadau. Mpe neno MwanaYanga,!
 10. Boniphace Kichonge

  Rais Magufuli ameongoza kikao cha baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam

  Wadau. Rais wetu mpendwa Dkt John Pombe Magufuli leo ameongoza kikao Cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.
 11. Boniphace Kichonge

  Ukiwa Rais unafanya kila kitu, ukiondoka unafanywa kila kitu

  UKIWA RAIS UNAFANYA KILA KITU, UKIONDOKA UNAFANYWA KILA KITU MIAKA 38 ya mamlaka, amri, ushawishi na nguvu ya kufanya kila kitu, tamati yake ilikuwa Septemba 2017. Baada ya hapo, zikaingia zama za kufanywa chochote. Ni story kutoka Angola. Mhusika ni Rais wa Tatu, Jose Eduardo dos Santos...
 12. Boniphace Kichonge

  Tigo wamerejea kwenye ufahari wao

  Wadau
 13. Boniphace Kichonge

  Tahadhari: Matope Yana Athari Mbaya Kiafya

  Wadau. Ni kwa mujibu wa utafiti wa Kisayansi. Wanaopenda Kukanyaga au Kuchezea Matope wakati wa Mvua Wapo hatarini kupatwa na Maradhi Mbalimbali hususani yanayosababishwa na bacteria au vimelea vingine kama funza n.k. Aidha ipo hatari ya kukatwa na vitu vyenye ncha kali au pia kuteleza na...
 14. Boniphace Kichonge

  Wapi Naweza Kupata Jack Daniel Halisi?

  Wadau naambiwa huku mtaani baadhi ya Watanzania wamekuwa wabunifu sana. Wameanza kutengeneza kinywaji hicho chenye Heshima na hadhi kubwa kwa njia za kienyeji. Kwa Wazoefu hebu tupeni taarifa sahihi kuhusu uvumi huu. Ni Wapi tutapata kinywaji halisi na pia Ni jinsi gani ya kutambua halisi.
 15. Boniphace Kichonge

  Rombo, Kilimanjaro: Shindano la kunywa pombe kali lasababisha kifo

  Wadau. Taarifa Kutokea Rombo Mkoani Kilimanjaro Zinasema Kuwa Mtu Mmoja Amefariki na Wengine Wawili Kunusurika Kifo baada ya kushindana Kunywa Pombe Kali. Walionusurika Katika tukio hilo la aibu na kushangaza Wanaendeleaa Vizuri
 16. Boniphace Kichonge

  Coronavirus: China enacts tighter restrictions in Hubei

  16 February 2020 China is tightening curbs on movement in Hubei province as it battles the outbreak of new coronavirus. Sixty-million people have been told to stay at home unless there is an emergency, and the use of private cars has been banned indefinitely. Hubei and the city of Wuhan have...
 17. Boniphace Kichonge

  MUNICH - U.S. Secretary of Defense Mark Esper has said that China tops the list of the Pentagon’s potential adversaries.

  MUNICH - U.S. Secretary of Defense Mark Esper has said that China tops the list of the Pentagon’s potential adversaries. speaking at the Munich Security Conference in Germany, Esper said Beijing posed the greatest threat to the West, followed by Russia, what he called "rogue states," like North...
 18. Boniphace Kichonge

  Brigedia Jenerali Mbuge: Wazabuni wanakwamisha miradi ya SUMA JKT

  Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) nchini Brigedia Jenerali Charles Mbuge amesema kuwa baadhi ya wazabuni wanaouza vifaa vya ujenzi wamekuwa wakiuza vifaa kwa bei ya juu na kuchelewesha vifaa hivyo pale vinapohitajika, jambo linalopelekea baadhi ya miradi inayotekelezwa na Shirika la...
 19. Boniphace Kichonge

  Dkt Bashiru akagua na kuridhishwa na ujenzi wa soko la kisasa Morogoro

  Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ali Kakurwa leo Jumamosi Februari 15, 2020 ametembelea na kukagua hatua za mwisho ujenzi wa Soko kuu la kisasa katika Manispaa ya Morogoro. Soko hilo la kisasa linatarajiwa kukamilika Machi 30, 2020 limegharimu kiasi cha *T. Shs Billioni 11,267,070,127.77...
 20. Boniphace Kichonge

  Dkt. Bashiru atoa onyo kwa Makatibu wa CCM Wilaya na Mikoa

  15 Februari, 2020 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally ametoa onyo kwa Makatibu wa CCM wa Mikoa na Wilaya ambao hawajatekeleza agizo la kuandaa vitambulisho kwa ajili ya Wenyeviti wa mashina (Mabalozi) katika maeneo yao. Dkt. Bashiru ametoa onyo hilo kutokana na kuwepo...
Top